Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Nataraji baada ya kazi ngumu kwa wale wageni mliotoka nje ya mipaka yetu mtakuwa na muda wa kuzunguka na kuiona vema Tanzania. Waheshimiwa Maaskofu, Wajumbe wa kutano...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Kabla sijaendelea kuelezea kusudio la kutaka kukusaidia kusimamia maeneo niliyotaja hapo juu, naomba...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
TUPATE SHULE KIDOGO.... Prof Juma Kapuya alifundisha Botany pale mlimani, lakini kinachomtambulisha sasa ni ubunge wa Urambo Magharibi/Kaliua huko na uwaziri wa elimu, michezo, kazi,vijana...
16 Reactions
16 Replies
2K Views
BAJETI YA SERIKALI 2022/2023 ILIVYOGUSA MAISHA YA VIJANA (Rais Samia anaziishi ahadi zake kwa vitendo) Na Victoria Charles Mwanziva. Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Jambo kubwa...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Huwa nashindwa kuelewa je ndivyo ilivyo au ni kutokupangilwa tuu ofisi ya Waziri mkuu kutokuwa na msemaji wa kutoa taarifa sahihi kwa barua kama ilivyo kwa Zuhura Yunus pale Ikulu hii imeleta...
0 Reactions
6 Replies
780 Views
Hapa duniani kuna Watu wamefanya maajabu kiasi cha kushindwa kuwasahau. Shujaa Magufuli ametemda mengi hivyo Siyo mbaya kama tutamkumbuka kwa ile Reli ya SGR kwa kuiita Magufuli Railways Na huyu...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
KUNI NA MKAA HUSABABISHA VIFO VYA GHAFLA Na Mwandishi wetu Musoma, Mara. Waziri wa Nishati, Mh. January Makamba akiwa kwenye siku ya kwanza ya ziara inayolenga kuhamasiha matumizi ya nishati...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
KIDOGO LEO KUHUSU HARAKATI ZA MAGEUZI NA NCCR-Mageuzi Kwa Hisani ya Bubelwa Kaiza. ."...ilitosha kuelewa kwamba Watanzania waliojitolea kuasisi Mageuzi ya demokrasia ya siasa za ushindani wa...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ni Wasaidizi wake wanaelewa fika ni Kwanini Halima Mdee na wenzake wako bungeni ijapokuwa majina yao hayakupitishwa na CC ya chama hicho chenye makao makuu...
0 Reactions
6 Replies
750 Views
Kwa masikikito makubwa na kwa kilio kikubwa tunakuomba uheshimu chama cha mapinduzi. Umekuwa ukipokea rushwa kwa wagombea wote wanaochukua na kurudisha fomu za jumuia ya wazazi wilaya ya Hai mkoa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni kwamba Samia alikua anamuogopa boss wake ama?
5 Reactions
67 Replies
7K Views
Wote Tunajua kwa mikakati Nccr mageuzi tangu 1995 wako Makini kuliko Chadema Hivyo kuzaliwa upya kwa Nccr mageuzi ambamo ndani yake watakuwemo Sukuma Gang ( UP) kutaimarisha siasa zetu kwa kiasi...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Wasomi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Hawana msaada wa kitaaluma kwa taifa letu tena. Hawakosoi kwa manufaa ya umma -- Mwanazuoni mkongwe nchini, Profesa Issa Shivji amesema sehemu kubwa ya...
14 Reactions
59 Replies
5K Views
Hawajishughulishi Hawaulizi Hawasomi Hawafanyi utafiti. Hawajiongezí wala hawajisumbui kufanya tafakuri kabla ya kuchangia bungeni.. Wanachowaza ni posho, vimada na kula raha mjengoni. Mbunge...
32 Reactions
98 Replies
6K Views
Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi. Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi...
2 Reactions
93 Replies
5K Views
Ukiacha Waziri wa Fedha Mramba nitajieni viongozi walioshitakiwa kwa ubadhilifu wa fedha za umma hadi kupelekea kukaa jela hata miaka mitano katika nchi hii! CCM imetuongoza tangu tumepata uhuru...
0 Reactions
1 Replies
674 Views
USHIRIKI WA WANANCHI WA KIBADA KWENYE MIKUTANO YA HADHARA HAURIDHISHI - MHE. NDUGULILE "Nimesikitishwa na ushiriki wa wakazi wa Kibada katika mikutano wa hadhara. Mahudhurio yenu hayaridhishi...
7 Reactions
90 Replies
6K Views
Idara ya utumishi na Tsc Kuna watumishi mliwahamisha vituo vya kazi tangu mwezi July mwaka jana Hadi leo hamjawalipa stahiki zao za uhamisho na BADO wapo vituo mama wakisubiri fedha zao Hadi leo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari JF ,Kiuhalisia unapozungumzia sifa NZURI za kiongozi hasa kwa Ngazi ya Urais huwa Hatuna kiongozi Bora ila tuna Mwanasiasa Bora au Kiongozi Mzalendo. Kiongozi bora maana yake ni...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom