Inasikitisha serikali imetoa elimu bure kuanzia shule za msingi hadi kidato cha sita.
Ajabu ni kuwa michango primary sasa imezidi elfu 30+ sekondari ndiyo basi.
Wanafunzi wanatozwa kila mtihani...
Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia...
Wajuzi wa mambo wanaeema kwamba, kumuweka Mh. Freeman Mbowe ndani kwa kesi ya ughaidi, imemuongezea Nguvu kubwa mno kisiasa.
Mbowe amepata nguvu kubwa mno na huruma kubwa mno kutoka kwa wananchi...
Nchi yetu ilianza kama nchi ya kijamaa chini ya Rais Julius K Nyerere. Tuliamini katika mfumo wa kijamaa na tulijua kuwa mfumo huu ndio pekee unaoweza kutuletea maendeleo.
Katika mfumo wa kijamaa...
Ikumbukwe kuwa Chadema walianzisha utaratibu wa kufanya kampeni za uchaguzi wa Rais kwa kutimia chopa.
Shujaa Magufuli yeye alitumia gari na alisimama kila kijiji anapanda Juu ya gari akahutubia...
RAI YA MZEE ABOUD JUMBE NA UTAKATIFU WA NYERERE
Ukiachilia mbali kitabu chake cha THE PARTNERSHIP, (Miaka 30 ya dhoruba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar) Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa...
Waziri Makamba amekuja na kampeni ya kutembelea vijijini na kuhimiza matumizi ya gas na umeme badala ya kuni.
Waziri makamba ni kweli hajui hali waliyonayo wanakijiji huko? Kwa data za world...
Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030...
Yaliyomshinda Mbunge wangu Kigamboni:
Sina pa kusemea, ukurasa wangu hapa facebook ndio kipaza Sauti changu.
Anyways, Sikuwa na matarajio mkubwa kwake kwa kuwa Sina Imani na kikundi cha...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo 2025, Serikali inalenga Sekta ya Madini iweze kuchangia 10% ya Pato la Taifa. Ameeleza hayo katika Hafla ya Utiaji Saini Mikataba baina ya Serikali na...
Tanzania imeandaa mkakati kabambe wa kuondoa kabisa utegemezi wa zao wa ngano kutoka nje ambapo malengo yaliyowekwa hadi ni kufikia uzalishaji wa tani milioni moja ifikapoi 2025.
Tanzania huagiza...
Maradhi na ukame vilikuwepo tangu enzi za mababu zetu tena magonjwa makali sana kuliko haya.
Hizi kejeli za kukosoa mradi wa bwawa la umeme kwa kisingizio cha kuharibu mazingira zikome kabisa...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa eneo la Kikombo, wilaya ya Chamwino Dodoma, tarehe 12 Julai...
CHONGOLO AKEMEA WANAOSAKA UBUNGE SASA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amekemea tabia ya baadhi ya wanachama kuanza kujipitisha katika majimbo kutafuta wapambe ili...
Hii kesi Mbowe amefutiwa kwa huruma ya viongozi wa dini baada ya kumlilia na kumwangukia Rais Samia aingilie uhuru wa mahakama.
Siyakuzi na wala sina hayo mamlaka. Sina hata ndugu UVCCM.
Hoja ni...
Habari Wana JF,
Ufisadi Tanzania sio kitu kigeni nimekaa kwa kipindi kirefu, nimefanya Utafiti usio rasmi nimegundua kuna vitu vinne ambavyo vinafanya uendelee kuwepo kama Ifuatavyo:
1. KATIBA...
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kusamehewa riba ya kodi ya pango la ardhi kwa wadaiwa sugu kwa masharti kwamba wadaiwa hao wawe wamelipa madeni ya msingi ndani ya miezi sita kuanzia mwezi Julai...
Wanajamvi wenzangu wa The Home of Great Thinkers niwasalimu. kwanza nichukue nafasi hii kuwaaga wale wadarisalama maana sisi wenzenu watumishi wa umma kikokotoo cha kutuhamishia Dodoma ndio...
Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?
Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi...
Imebidi nijitokeza kukuuliza hadharani kwa vile mpaka sasa bado sijasikia ripoti yoyote ya polisi kuhusiana na jambo hili lililoitia aibu Nchi kote duniani
Nilikuwepo kwenye kikao chako cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.