Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu utaratibu ni mzuri sana. Kwenye mambo ya kimataifa na mikataba nyeti unamkuta Prof Kabudi Ukija kwenye Ulinzi na Usalama unamkuta mzee Mkuchika Utawala wa ndani unamkuta mzee Lukuvi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MADINI ACT WAZALENDO NDG. EDGAR MKOSAMALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023 Utangulizi Ndugu Waandishi wa Habari, kama...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hili janga la ukosefu wa ajira naona kama linazimwa hivi. Je, kuna mpango wowote wa kutatua? Au tusubirie saundi za kwenye kampeni.
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo. Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa...
16 Reactions
202 Replies
9K Views
Nguvu ya Umma Ila sina uhakika kama makamanda wa BAVICHA wanafanana na raia wa Sri Lanka Sabato njema!
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Naomba kujua hawa wanaume wa kampuni ya Madini ya Barrick wametekeleza makubaliano gani mpaka sasa maana tuliahidiwa mengi na makubwa ila kwa sasa ukimya umetawala tofauti na kilichokuwa...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Wana JF Kuna wakati fulani mtu alikuja na wazo la kujenga mabwawa kila wilaya lakini kiuhalisia kuna wilaya kubwa sana zinakaribia kuitwa mkoa kutokana na ukubwa wa eneo lakini wakazi wachache...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Swali kwa faida ya watanzania 🙏 Mh Nape Moses Nnauye/ Serikali kuna jambo linanitatiza hapa nadhani utanisaidia . Kuna hili zoezi la kuweka anuani za makazi Sasa na Wananchi...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua...
8 Reactions
56 Replies
5K Views
PALE MFALME ANAPOGEUKA WATU WAKE! Anaandika, Robert Heriel Pale Mfalme anapogeuka watu wake, Raia wa nchi yake hugeuka Watumwa wa Wageni. Wananchi hutumikishwa na Wageni, hufanywa vijakazi na...
1 Reactions
1 Replies
545 Views
Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi . Hivi vyama vina sifa kuu Moja...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Wasalaam Na Galila Wabanh'u Nimesoma makala ya Mhe Zitto Zubeir Kabwe mbunge wa Kigoma mjini akipotosha juu ya mradi wa bandari ya Bagamoyo kama moja ya mradi unaopaswa kutekelezwa katika eneo...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida ''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu...
9 Reactions
234 Replies
17K Views
Leo Waziri Mkuu mh Majaliwa alikuwa mgeni rasmi katika swala na Baraza la Eid al Adha iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni Waziri Mkuu ametumia Sherehe hizi kuwaeleza waislamu na...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Japo amesha lala usingizi wa mauti lakini kaacha watu wanaweweseka tu kila siku wanajaribu kuonesha kuwa hakuna alichofanya lakini wakigeuka huku wanaona midege ya ATCL huku wanaona hospitali za...
53 Reactions
129 Replies
7K Views
Kwa maoni yako binafsi bila kuangalia upo upande gani wa siasa, ukaambiwa utoe maoni yako juu ya upatikanaji wa katiba mpya ungechagua yapi kati ya haya: 1. Serikali moja, Rais wa JMT bila kuwepo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Waandamanaji nchini Sri Lanka wamefanikiwa kuingia Ikulu na kufika mpaka chumbani kwa Rais. Waandamanaji hao wamerusha picha kwenye mitandao zikiwaonyesha wakiwa wamelala kitandani kwa Rais huku...
18 Reactions
49 Replies
4K Views
Wakuu salaam, Kwa wiki kadhaa Sasa duru za kisiasa na kijamii zimetawaliwa na habari za wamasai wa Ngorongoro na Loliondo. Wengi wanafikiri kesi za wamasai wa maeneo haya zinafanana Ila ukweli ni...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama kweli alizua uongo acheni sheria ifuate mkondo. Japokuwa Nape sio, lakini msimsakame kama vile amefanya kwa amri zake binafsi.
1 Reactions
64 Replies
5K Views
Nauliza tu, inakuwaje Upinzani Zanzibar wanaweza kuisakama Serikali tu maximum na tunaona mpaka Raisi Hussein inabidi aonekane kwenye vyombo vya habari kujielezea mwenendo wa serikali yake? Ukija...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom