Ofisi ya Waziri Mkuu ina Msemaji?

Ofisi ya Waziri Mkuu ina Msemaji?

nashicha

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
279
Reaction score
524
Huwa nashindwa kuelewa je ndivyo ilivyo au ni kutokupangilwa tuu ofisi ya Waziri mkuu kutokuwa na msemaji wa kutoa taarifa sahihi kwa barua kama ilivyo kwa Zuhura Yunus pale Ikulu hii imeleta sintofahamu nyingi kiasi hata watu WANASEMA hadharani Waziri Mkuu kaongopa na hakuna kanusho lolote tunaomba basi kama hiyo Kurugenzi ya Mawasiliano ipo ifanye kazi yake ya kutoa taarifa sahihi za ofisi hii kubwa
 
Mbona mimi ndo msemaji?
 
Mtu Mwongo mwongo kama yule awe na Msemaji wa kazi gani? Uongo mwingi anatunga hapo hapo na kuutoa, Sasa kazi ya kukanusha uongo wake anaweza Nani? Yaani watu waseme Magu anaumwa yeye ahitokeze Msikitini aseme Magu ni mzima wa Afya anawaaalimia kumbe Mtu alishakata kauli sijui hizo salamu aliziandika? Hapo Msemaji anasahihisha nini labda?
 
Back
Top Bottom