OMBI: Rais Samia naomba kazi ya kukusaidia kuisimamia EWURA/ au Kilimo

7 ELEVEN

Member
May 29, 2017
74
138
Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu.

Kabla sijaendelea kuelezea kusudio la kutaka kukusaidia kusimamia maeneo niliyotaja hapo juu, naomba nikuhakikishie kwanza mimi sio mganga njaa / almaarufu kama mchumia tumbo na sina lengo la kuwa chawa/tegemezi kwa mtu yeyote. Kifupi ni kuwa nina kipato changu halali na naridhika nacho. Ni mtumishi wa umma mwenye mshahara wa unafuu, lakini pia ni mkulima mdogo ( nalima kwa sababu kilimo ni asili yetu na nimesomeshwa kupitia kilimo, hivyo nakifahamu kilimo A to Z).

Nirudi kwenye mada husika.

Nafahamu kazi kubwa unayofanya ya kuendesha serikali, na nakupongeza kwa hilo. Pamoja na jitihada ulizonazo za kuwapambania watanzania - lakini kuna baadhi ya watendaji wako wanakuangusha sana na hili linapelekea/litapelekea wewe kuwa na wakati mgumu kiutawala miezi michache ijayo, na hali itakuwa mbaya zaidi kiutawala kwako kuanzia December 2022 na kuendelea. Trust my words.

Moja ya eneo litakalokuletea dhahama kubwa na kukufanya uonekane wa hovyo ni EWURA. Hawa ndio adui wako namba moja na wapo pale kwa ajili ya upigaji. Upigaji huo unaanzia mbali sana na wanaofanya hivyo wana malengo mawili: 1) wakuharibie wewe uonekane hufai kuiongoza nchi ili wao waje waibuke baadae baada ya wewe kubwaga manyanga chini ( maana utashinikizwa/shauriwa kufanya hivyo na watu ) huku wakiwa tayari wamejipanga ku-take over.

Mchezo mzima unaanzia kwa rais wa kuandikwa kwenye mawe - na anajiona ndio rais ajaye baada ya wewe, na kule yupo February Marope - ambaye ndio engineer wa kusuka mipango na kufanya ufisadi kwa kushirikiana na wafanya biashara wakubwa huku EWURA wakitumika kuhalalisha mateso hayo kwa wananchi wa chini ambao ndio last consumers.

Kama nilivyotanabaisha hapo juu, mimi sio mchumia tumbo - to me : black is black and white is white, not otherwise. KWA NIA NJEMA KABISA NAKUOMBA UNIPE NAFASI NIISIMAMIE EWURA - hiki ndio chanzo kikuu cha maisha magumu kwa watanzania. Ukishindwa kusimamia biashara ya mafuta na ukaruhusu wajanja wachache kujinufaisha basi itakuletea shida sana maana kila kitu sasa hivi kimepanda bei na wananchi wa chini ambao ndio wapiga kura wako wanaendelea kuteseka na watateseka zaidi na zaidi ya hali ilivyo sasa.

Kwa kuhitimisha hoja yangu hiyo ya kwanza: NAKUKUMBUSHA TU RAIS WA MAWE NA FEBRUARY MAROPE wanatumia nafasi zao kujinuifasha kimaslahi (upigaji madili ili ku-accumulate capital) kwa minajili ya kupambania hiyo nafasi uliopo kama mrithi wao. Mengine jiongeze mwenyewe kwa kuangalia matendo yao ili ujiridhishe.

MHESHIMIWA RAIS,
Hoja yangu ya pili ni kuhusu kilimo.
Nchi hii karibu asilimia 70 ni wakulima tena wakulima wa jembe la mkono. Asilimia 20 ni wafanya biashara, na asilimia 10 ndio wafanyakazi - sekta binafsi na serikalini.

Ninachotaka kukuambia ni kuwa mwaka huu hali ya chakula sio nzuri sana na itakuletea changamoto kubwa sana kiutawala wako. Maneno yatakuwa mengi, utasemwa vibaya sana na hata wengine kufikia hatua ya kukutukana mitandaoni - kisa ikiwa ni njaa. Kumbuka njaa haina adabu.

Mashuleni hasa shule za bweni hali ya utoaji huduma ya chakula itakuwa mbaya wazabuni watapata shida ku-pata vyakula. Wanafunzi vyuo vikuu hali ya kumudu kununua chakula itakuwa ngumu na watoto wa kike wengi wataishia kujiuza ili tu kupata hela ya kusapoti kununua chakula maana bumu halitawatosha na bei ya chakula itakuwa juu sana kwa wao kumudu. Mfano Dsm kwa sasa chips kavu sh.2000/= na bei ya viazi kwa sasa ipo juu sana.

Hayo yote chanzo chake ni waziri wako wa kilimo. Waziri wako ni muongo muongo sana lakini ana kipaji cha kuongea na kujua kujenga hoja na hapo ndipo anapokupiga. Alianza mheshimiwa Magufuli - alipoona anakosoa sana serikali kwa hoja zake akaona ampe unaibu waziri. Wewe ndio umemuongezea cheo kuwa waziri kamili. Hapo sasa ndio ametimiza lengo lake.

Waziri wako anatumia ujanja wa hali ya juu kujinufaisha kimaslahi hasa kwenye miradi ya kimkakati ya kilimo lakini hayupo kwa lengo la kukusaidia ili kuwanufaisha wakulima wa kipato cha chini.

Nakupa mifano kadhaa hapa chini:

1. Alikuja na hoja ya kilimo cha alizeti kwa lengo la kupunguza tatizo la mafuta. Ameleta mbegu feki za alizeti kwa mgongo wa mbegu za ruzuku za serikali . Hizi mbegu hazitoi mavuno mazuri hata kidogo ni bora yule aliyepanda mbegu za kienyeji amepata alizeti na kupata mafuta kuliko aliyetumia mbegu hizi feki za waziri wako; na hapo yeye ameshapiga mgao wake.

Fanya ufuatikiaji kwa hili utajua ukweli. Anamdanganya waziri mkuu/ na bunge kuwa tutazalisha mafuta mengi ya kutosha nchi nzima hali akijua huo ni uwongo na sio kweli.

Imagine , hiki ndio kipindi cha mavuno ya alizeti na bei ya mafuta ya kula imesimama kwa sh. 6000/= kwa lita; sasa ikifika December bei ya mafuta ya kula itakuwa sh. Ngapi? Mheshimiwa Rais kama ulilala usingizi nakuomba uamke sasa, hao hao watakucheka na kusema mama nchi imekushinda.

Leo hii Dar bei ya kilo ya unga wa sembe ni sh. 1,600/= ; kule musoma mahindi sado moja ni sh. 4000/= na debe moja ni sh. 20,000/=.
Kule Songea kilo moja ya mahindi ni sh. 700/= , gunia moja sh. 90,000/= na hiki ndo kipindi cha mavuno na wenye mahindi ni wachache kwa sababu wengi hawakuweza kununua mbolea kwa bei ya mfuko sh. 150,000/=.

Mkoani mbeya kwa sasa debe la mpunga ni sh. 15,000/= na huo mpunga haupatikani. Debe moja la mchele ni sh. 45,000/= na super unaanzia sh. 50,000/= muulize mkuu wako wa mkoa atakupa ukweli huo kama na yeye sio muoga / maana anaweza kukudanganya ili kulinda ugali wake.
Haya yote chanzo chake ni waziri wako wa kilimo hasa suala la mafuta ya kula na upandaji bei ya mbolea kiasi kwamba wananchi wengi wameshindwa kulima kwa kushindwa kununua mbolea.

Nafahamu atakudanganya katika utetezi wake kuwa hali ya mvua haikuwa nzuri au vita ya Ukraine - HUO NI UWONGO .

Mvua ilikuwa ya kutosha sana tu tatizo ni bei ilikuwa juu na alishindwa kumonitor halafu analeta ututezi wa vita ya Ukraine.

Mfano: mimi nililima eneo dogo tu la ekari tano na nimehudumia vema na kupata gunia 100 za mahindi, je mvua ilitoka wapi?

Naomba niteue niwe katibu mkuu wa wizara hiyo ya kilimo ili niweze kuwatendea haki watanzania walio wengi - almost 70% ni wakulima na nakuhakikishia nitasimamia show kuondoa uozo wote ndani ya wizara hii .

Nahisi nimechoka kuandika, naomba niishie hapa kwa leo. Nimekuambia hayo yote kwa nia njema sana na sio kwa chuki na mtu yeyote.

NAOMBA TU NIKUKUMBUSHE NAOMBA NIKUSAIDIE KUSIMAMIA - EWURA AU KILIMO (Katibu mkuu) kwa sababu kilimo nakifahamu kwa kusoma na pia ni asili yangu.

MHESHIMIWA
Usipate shida kunitafuta maana CV yangu unayo hapo jengo jeupe la chama. Ukihitaji kunifahamu kwanza soma CV yangu - muulize Katibu mkuu ndugu D. Chingolo kuwa kuna mtu kutoka bombii hiii nyumbiii hii aliomba chama kimpendekeze kugombea nafasi ya SPIKA baada ya ndugai ku-step down ( ni miongoni mwa wale wafuasi 70 waliojitokeza kuomba kuteuliwa na chama chetu - maana usije dhani naongea hayo eti mi ni mpinzani....mimi ni wa kijani mwenzako ila ni mtu ninayeaamini katika ukweli - nadhani falsafa ya ki-norsk imenifanya niwe hivyo).

Mwisho nikutakie kazi njema na Mungu akujalie hekima na busara zaidi katika kufanya maamuzi magumu kwa ajili ya maslahi mapana ya watanzania hasa watanzania wengi wa hali ya chini.

ASANTE
 
Asante ila kwa bahati mbaya kabisa nchi nyingi zinaongozwa na watu wasiojali kabisa maendeleo na hali duni za watu. Watu kama mimi na wewe inakuwa vigumu kabisa kupewa nafasi hizo, ila usikate tamaa songa mbele.
 
Duh mwamba hongera kwa kujitoa mhanga, maana sio kwa gazeti hilo. Kama mheshimiwa Rais atasoma huu ujumbe wako naamini kuna kitu kikubwa atakuwa amepata. Ila kukuteua hilo sahau maana aliye juu huongezewa wewe wa chini pambana na hali yako mwamba nchi ina wenyewe hii
 
Hapo karibia na mwisho ndio kumekuharibia sana. Ukiwa kijani tu moja kwa moja wewe ni mpigaji.
 
Aiseee hiyo mambo ya chakula nadhani huku kwetu nanjilinji hali itakuwa mbaya sana kwa sababu huku sisi twategemea sana mahindi/sembe la kutoka songea.
Petrol ipo juu na bodaboda bila buku jero hawakubali kwa sababu ya mafuta kuwa juu. Chips sisi huku kwetu ni anasa kwa sasa
 
Kwa jinsi wanufaikaji wa huo uozo walivyojichimbia, vita yake sio ndogo.
Lakini hongera Kwa kuthubutu na kuonyesha nia ya kuleta mabadiliko mkuu.

Ukiingia ndani utashangaa watu waliotakuwa ufanye nao kazi keleta mabadiliko ndio kikwazo namba moja.
 
Kwa ufupi tu, unatafuta ajira, na kwa mwandiko huu hata kituo 1 cha mafuta hauwezi kusimamia, haya twambie mbinu wanazotumia kutuibia sisi wananchi.Usitake kuuchafua uongozi wa Mhe.Rais, wee omba ajira kivyako.
 
Umeandika maneno yako kwa uchungu na inaonyesha una uzalendo na nchi yako. Shida inakuja pale ukiteuliwa na kuonja cake ya taifa nawe unakuwa walewale.

By the way ikitokea umeula kawe makini wanaweza kukukolimba maana huko kote ulikotaja ni mirija ya ya watu kwa ajili ya upigaji.
 
Back
Top Bottom