Je, ni kweli kuhusu wasomi?

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
TUPATE SHULE KIDOGO....

Prof Juma Kapuya alifundisha Botany pale mlimani, lakini kinachomtambulisha sasa ni ubunge wa Urambo Magharibi/Kaliua huko na uwaziri wa elimu, michezo, kazi,vijana, ulinzi nk.

Prof Philemon Sarungi alikuwa mzalendo wa kwanza kuwa bingwa wa fani ya mifupa, lakini hiyo haikumsaidia "kula nchi", badala yake "kilichomtoa" ni ubunge, uwaziri, ukuu wa mkoa, ujumbe wa halmashauri kuu ya CCM.

Dr Mohamed Bilal ni mtaalam wa nuclear physics, lakini bado hakuonekana wa maana katika fani hiyo, hadi alipoingia siasa za ukatibu mkuu wakati huo Mkapa akiwa Waziri wa Elimu ya Juu,Sayansi na Technolojia,baadae uwaziri kiongozi, kugombea urais nk.Na sasa yeye na academics issues ndio basi tena

Dr Ali Mohamed Shein ni mwanasayansi mahiri tena katika fani yenye wataalamu wachache sana ya "molecular genetics", akiwa ameandika PhD thesis yake kuhusu "inborn errors of metabolism", lakini huko hakuona "utamu" hadi alipoingia kula nchi na wenye meno wengine kwenye siasa.Baada ya kifo cha Vice President Dr Omar Alli Juma,hakuwahi kugeuka nyuma.

Ukifanya "search" ya jina "Mark Mwandosya" kwenye google scholar utadondoshewa hints kibao za machapisho ya kisomi, na utashangaa kwa nini profesa kama huyu hakukaa chuo kikuu kufundisha na kuendeleza fani hiyo, badala yake yuko kwenye siasa!Kwanini hakutaka kurithisha maarifa haya na uweledi wake kwa vijana akazama kwenye siasa!?Jibu ni jepesi sana..... Maisha baada ya kustaafu!!Chapaaa!!

Wako wengine kibao kina Profesa David Mwakyusa, kina Dr Kadhege mzee wa LG100 wakaenda kuwa ma-DC huko Mbozi wakaacha taaluma zao kufundisha Udsm na wakawekwa kapu moja na kina Mulongo. Kuna kina Dr Kabwe S Kabwe, huyu ni daktari wa binadamu na Rais wa DARUSO-MUCHS(MUHAS siku hizi) enzi hizo. Kaacha taaluma yake na anakimbizana na vyeo vya kupewa,kajiweka kundi moja na kina Anthony Mtaka.

Gwiji wa Jiolojia Afrika,juzi tulivyopatwa na tetemeko Bukoba tukaambiwa moja ya changamoto ya GST sio mitambo tu,bali hata wataalamu wa fani hiyo,na kwa Tz wapo wawili tu level ya Phd.. Mmoja ndio huyo Muhongo Sospeter,na yeye "kakimbilia" kwenye siasa na hataki tena kurudi kufundisha ili kuzalisha kina "Muhongo" wengine kwa vizazi vijavyo. Halafu unasema mtu azidi kusoma!!Usome nini wakati bongo siasa ndio kila kitu?

Mwingine alikuwa mwalimu wa Kemia. Alifundisha Organic Chemistry kwa madaha na staha.Akaongeza masters na baadae Phd. Kaukacha ualimu na hana mpango wa kurudi tena.Kazama kwenye siasa mpaka kufikia "cheo cha juu" ktk ulimwengu wa siasa.Ualimu umebaki kwenye vyeti na kumbukumbu tu. Anahimiza twende Isukamahela, Sikonge-Tabora kuongeza nguvu za walimu wa Sayansi shule za kata.Mhhhh... Nani aende na wao walikimbia?Vijana komaeni na siasa... Huko hakuna maisha.

Tujiulize, ni matatizo ya mfumo (hauwatunzi wataalamu wake) au ya elimu ya wataalamu hawa (wanashindwa kuitumia kuleta mabadiliko kwenye fani zao?) Maana kipimo cha kwanza cha elimu kuwa inafaa au la, ni jinsi inavyoweza kuleta mabadiliko kwa msingi wa malengo ya elimu ile. Sasa hawa wasomi wetu ni kwamba elimu imewatupa au wao ndio wameitupa elimu?

Miaka kadhaa huko nyuma, Prof fulani maarufu Tz alistaafu kazi,baada ya kufundisha kwa zaidi ya miaka 30. Akitoa magwiji na wataalamu mbalimbali. Mafao yake hayakuzidi milioni 100. Huyu ni Phd holder,mtaalamu mbobezi... aliyetumia akili na koo lake miaka nenda rudi.. hicho ndicho kiasi alichofungshiwa kurudi nacho nyumbani.Wakati huku Bungeni Jah People na Maji marefu wanakunja 200 baada ya miaka mitano tu.Unakaa unajiuliza... Hivi inakuwaje mtu toka UN-Habitat anakuja kukaa kundi moja la Kibajaji wa Mtera? Jibu ni pesa...Pesa rahisi rahisi ipo huko.

Ooh vijana mjiajiri... Fursa zipo kila kona... Hizo fursa mbona nyie hamzitumii? Mbona nyie hamjiajiri? Kila siku kukimbizana na vyeo vya uteuzi kwenye bodi za mashirika ya umma na nafasi za kisiasa. Wacha tubanane huko huko...Siku elimu ikilipa watu watahamia huko.

Emeritus Prof... Walau unapata mkwanja hata baada ya kustaafu kwa serikali kuthamini mchango wako.Huku ni kapa bin kwapa. Ndio maana si ajabu kumkuta Prof mstaafu wa Udsm akila part time RUCO na Makumila ili kuganga njaa...

Wadogo zangu, tusiziache fursa za siasa, kwenye nchi yetu It pays more kuliko kujikita kwenye utaalamu.

Kidumu chama cha kutawala
 
Jambo moja ambalo inabidi tulitambue ni kwamba hawa watu walikuwa wanasoma that was not their passion. Academician anacho waza yeye ni kushinda nobel prize, kumake a great discovery na hana roho ya tamaa za mali. Hao waliokimbilia siasa ni kwamba walikuwa wanaenda na mkumbo tuu wa jamiii kwa wakati huo.
Na ukitaka kujua hilo wee angalia most winners wa nobel prize, ile prize money wana donate, wao wenyewe wanabakia na kiduchu.
 
Uzi bora sana huu tangu mwaka uanzee,utasikia wao ni wazalendo sijui uzalendo wa kutembelea MV8 na mashangingi.

Wasomi wote wa bongo ni waganga njaa,hakuna hata mmoja anaweza kuiheshimu taaluma yake wkt njaa inamuuma.
 
Kuna dkt yuko vizuri sana pale IFM nilisikia nae ile 2020 alienda kugombea huko chamani.
Ama kweli siasa inalipa kuliko taaluma aisee.
 
Cha kushangaza wakiingia huko kwenye siasa elimu yao inakuwa imefika mwisho na wengine hata kuikana.
 
Tujiulize, ni matatizo ya mfumo (hauwatunzi wataalamu wake)
Mkuu 'mtwa mkulu'. Heshima Kuu kwako, mkuu.

Ni ajabu, lakini nashangaa sijawahi kukutana nawe humu JF!
Kwa mada nzito kama hii, bila shaka zipo nyingine nyingi ambazo sikubahatika kuzisoma toka kwako. Sijui tumepishanapishana vipi.

Moja ya jibu ni hilo hapo uliloliweka hapo juu. "Mfumo" wetu ni mbaya kabisa. Hauwajali watu ambao taifa linagharamia kwa kiasi kikubwa ili washiriki kuleta mabadiliko katika taifa lenyewe.

Na ni zaidi ya mfumo pekee. Hawa watu wanaopatikana kwa gharama kubwa wao ndio wanaozidi kulitumbukiza taifa katika hali ngumu zaidi. Hapa siwasemi watu wenye kisomo cha juu zaidi peke yao, ni kada zote wanaoingia katika utumishi wa umma.

Uamini wangu juu ya jambo hili siku zote ni kwamba, kwa nchi kama Tanzania, kwa wasomi/wataalam waliopo sasa hivi ndani ya taifa hili, nchi hii inao uwezo wa kufanya mambo mengi sana yanayotakiwa kuliendeleza taifa hili.
Kama pakiwepo na uongozi ulioamua na kupania kwa dhati kabisa kwamba unataka kutumia raslimali yake (wat/wasomi) kuleta mbadiliko katika nyanja zote; hakuna ambacho tungeshindwa kukifanya sisi wenyewe kwa sababu za kukosa wataalam wetu wenyewe.

Kwa hiyo, kwa ufupi, ni huo mfumo, na kukosa uongozi wenye dira.

Ninakupongeza sana kwa kuleta mada kama hii wakati huu, lakini kama ujuavyo, tuna mambo mengine muhimu zaidi ya kujadili kuliko mjadala kama huu uliouweka hapa. Hii mada imekuwepo hapa toka jana, lakini angalia ilipofika hadi sasa!
Hiki pekee ni kielelezo tosha cha vipaumbele tulivyojiwekea sisi wenyewe. Na hawa viongozi wetu wasiokuwa na dira, wanalijua hilo, na hawajisumbui kubadili chochote.
 
TUPATE SHULE KIDOGO....
Na wakati "TUKIPATA SHULE KIDOGO....", inabidi pia tujiulize maswali muhimu kama hili hapa:

Hawa wasomi wengi wanaokimbilia kwenye siasa, je wamefanya lolote la maana kwa kutumia kisomo chao kuiboresha siasa yenyewe?
Ingewezekana kutoa mchango wao huko kwenye siasa, bila shaka tungeweza kuwa na pakuanzia kuboresha huko kwingine kote!
 
Mkuu 'mtwa mkulu'. Heshima Kuu kwako, mkuu.

Ni ajabu, lakini nashangaa sijawahi kukutana nawe humu JF!
Kwa mada nzito kama hii, bila shaka zipo nyingine nyingi ambazo sikubahatika kuzisoma toka kwako. Sijui tumepishanapishana vipi.

Moja ya jibu ni hilo hapo uliloliweka hapo juu. "Mfumo" wetu ni mbaya kabisa. Hauwajali watu ambao taifa linagharamia kwa kiasi kikubwa ili washiriki kuleta mabadiliko katika taifa lenyewe.

Na ni zaidi ya mfumo pekee. Hawa watu wanaopatikana kwa gharama kubwa wao ndio wanaozidi kulitumbukiza taifa katika hali ngumu zaidi. Hapa siwasemi watu wenye kisomo cha juu zaidi peke yao, ni kada zote wanaoingia katika utumishi wa umma.

Uamini wangu juu ya jambo hili siku zote ni kwamba, kwa nchi kama Tanzania, kwa wasomi/wataalam waliopo sasa hivi ndani ya taifa hili, nchi hii inao uwezo wa kufanya mambo mengi sana yanayotakiwa kuliendeleza taifa hili.
Kama pakiwepo na uongozi ulioamua na kupania kwa dhati kabisa kwamba unataka kutumia raslimali yake (wat/wasomi) kuleta mbadiliko katika nyanja zote; hakuna ambacho tungeshindwa kukifanya sisi wenyewe kwa sababu za kukosa wataalam wetu wenyewe.

Kwa hiyo, kwa ufupi, ni huo mfumo, na kukosa uongozi wenye dira.

Ninakupongeza sana kwa kuleta mada kama hii wakati huu, lakini kama ujuavyo, tuna mambo mengine muhimu zaidi ya kujadili kuliko mjadala kama huu uliouweka hapa. Hii mada imekuwepo hapa toka jana, lakini angalia ilipofika hadi sasa!
Hiki pekee ni kielelezo tosha cha vipaumbele tulivyojiwekea sisi wenyewe. Na hawa viongozi wetu wasiokuwa na dira, wanalijua hilo, na hawajisumbui kubadili chochote.
Labda zamani saivi nimekuwa nacomment tuu
 
TUPATE SHULE KIDOGO....

Prof Juma Kapuya alifundisha Botany pale mlimani, lakini kinachomtambulisha sasa ni ubunge wa Urambo Magharibi/Kaliua huko na uwaziri wa elimu, michezo, kazi,vijana, ulinzi nk.

Prof Philemon Sarungi alikuwa mzalendo wa kwanza kuwa bingwa wa fani ya mifupa, lakini hiyo haikumsaidia "kula nchi", badala yake "kilichomtoa" ni ubunge, uwaziri, ukuu wa mkoa, ujumbe wa halmashauri kuu ya CCM.

Dr Mohamed Bilal ni mtaalam wa nuclear physics, lakini bado hakuonekana wa maana katika fani hiyo, hadi alipoingia siasa za ukatibu mkuu wakati huo Mkapa akiwa Waziri wa Elimu ya Juu,Sayansi na Technolojia,baadae uwaziri kiongozi, kugombea urais nk.Na sasa yeye na academics issues ndio basi tena

Dr Ali Mohamed Shein ni mwanasayansi mahiri tena katika fani yenye wataalamu wachache sana ya "molecular genetics", akiwa ameandika PhD thesis yake kuhusu "inborn errors of metabolism", lakini huko hakuona "utamu" hadi alipoingia kula nchi na wenye meno wengine kwenye siasa.Baada ya kifo cha Vice President Dr Omar Alli Juma,hakuwahi kugeuka nyuma.

Ukifanya "search" ya jina "Mark Mwandosya" kwenye google scholar utadondoshewa hints kibao za machapisho ya kisomi, na utashangaa kwa nini profesa kama huyu hakukaa chuo kikuu kufundisha na kuendeleza fani hiyo, badala yake yuko kwenye siasa!Kwanini hakutaka kurithisha maarifa haya na uweledi wake kwa vijana akazama kwenye siasa!?Jibu ni jepesi sana..... Maisha baada ya kustaafu!!Chapaaa!!

Wako wengine kibao kina Profesa David Mwakyusa, kina Dr Kadhege mzee wa LG100 wakaenda kuwa ma-DC huko Mbozi wakaacha taaluma zao kufundisha Udsm na wakawekwa kapu moja na kina Mulongo. Kuna kina Dr Kabwe S Kabwe, huyu ni daktari wa binadamu na Rais wa DARUSO-MUCHS(MUHAS siku hizi) enzi hizo. Kaacha taaluma yake na anakimbizana na vyeo vya kupewa,kajiweka kundi moja na kina Anthony Mtaka.

Gwiji wa Jiolojia Afrika,juzi tulivyopatwa na tetemeko Bukoba tukaambiwa moja ya changamoto ya GST sio mitambo tu,bali hata wataalamu wa fani hiyo,na kwa Tz wapo wawili tu level ya Phd.. Mmoja ndio huyo Muhongo Sospeter,na yeye "kakimbilia" kwenye siasa na hataki tena kurudi kufundisha ili kuzalisha kina "Muhongo" wengine kwa vizazi vijavyo. Halafu unasema mtu azidi kusoma!!Usome nini wakati bongo siasa ndio kila kitu?

Mwingine alikuwa mwalimu wa Kemia. Alifundisha Organic Chemistry kwa madaha na staha.Akaongeza masters na baadae Phd. Kaukacha ualimu na hana mpango wa kurudi tena.Kazama kwenye siasa mpaka kufikia "cheo cha juu" ktk ulimwengu wa siasa.Ualimu umebaki kwenye vyeti na kumbukumbu tu. Anahimiza twende Isukamahela, Sikonge-Tabora kuongeza nguvu za walimu wa Sayansi shule za kata.Mhhhh... Nani aende na wao walikimbia?Vijana komaeni na siasa... Huko hakuna maisha.

Tujiulize, ni matatizo ya mfumo (hauwatunzi wataalamu wake) au ya elimu ya wataalamu hawa (wanashindwa kuitumia kuleta mabadiliko kwenye fani zao?) Maana kipimo cha kwanza cha elimu kuwa inafaa au la, ni jinsi inavyoweza kuleta mabadiliko kwa msingi wa malengo ya elimu ile. Sasa hawa wasomi wetu ni kwamba elimu imewatupa au wao ndio wameitupa elimu?

Miaka kadhaa huko nyuma, Prof fulani maarufu Tz alistaafu kazi,baada ya kufundisha kwa zaidi ya miaka 30. Akitoa magwiji na wataalamu mbalimbali. Mafao yake hayakuzidi milioni 100. Huyu ni Phd holder,mtaalamu mbobezi... aliyetumia akili na koo lake miaka nenda rudi.. hicho ndicho kiasi alichofungshiwa kurudi nacho nyumbani.Wakati huku Bungeni Jah People na Maji marefu wanakunja 200 baada ya miaka mitano tu.Unakaa unajiuliza... Hivi inakuwaje mtu toka UN-Habitat anakuja kukaa kundi moja la Kibajaji wa Mtera? Jibu ni pesa...Pesa rahisi rahisi ipo huko.

Ooh vijana mjiajiri... Fursa zipo kila kona... Hizo fursa mbona nyie hamzitumii? Mbona nyie hamjiajiri? Kila siku kukimbizana na vyeo vya uteuzi kwenye bodi za mashirika ya umma na nafasi za kisiasa. Wacha tubanane huko huko...Siku elimu ikilipa watu watahamia huko.

Emeritus Prof... Walau unapata mkwanja hata baada ya kustaafu kwa serikali kuthamini mchango wako.Huku ni kapa bin kwapa. Ndio maana si ajabu kumkuta Prof mstaafu wa Udsm akila part time RUCO na Makumila ili kuganga njaa...

Wadogo zangu, tusiziache fursa za siasa, kwenye nchi yetu It pays more kuliko kujikita kwenye utaalamu.

Kidumu chama cha kutawala
Bahati nzuri kwake kuwa hajawahi kupanda hata mti mmoja na maua pia!
 
wacha waende huko si kwa kikokotoo cha ( 1/580*kipindiulichochangia*wastani wa mishahara bora ya miaka mitau*12.5*33%) halafu ubaki kazini.ufe na njaa?
 
Mfumo wa katiba yetu hautoi fursa za maana za kuwa na maisha mazuri sana nje ya siasa kwa wasomi wataalamu.
 
Hapo nimecheka lakini ukweli nasikitika sana kwa hali hii nchini.
 
Back
Top Bottom