Dkt. Kigwangalla: Rais Samia anaendelea mpaka mwaka 2030, watakaompinga kukiona

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,122
2,000
Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.

Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.

20210614_164219.jpg
 
Roadmap

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
2,423
2,000
Ovyo kabisa mnadharirisha mpaka hio tittle ya DR watoto wetu watakuja kushangazwa na huu ujinga wa wasomi wetu kulamba miguu ili wateuliwe, Kigwagwala aendelee kuchambana na mashangazi Twitter kule, post ya uwaziri ni kubwa sana kwake.
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
29,684
2,000
Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.
Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.

View attachment 1818634
Mnafiq sana huyu Mzee wa makafara,bado anaugua ugonjwa wa kuukosa uwaziri.
 
Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
17,599
2,000
Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.
Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.

View attachment 1818634
Kamuulize mwenda kuzimu
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
17,287
2,000
Hivi hawa watu huwa wanakula nini wakienda Bungeni?
Kweli unapanga maisha na roho na nafsi hizi hizi ambazo hazina mkataba

Yaani akili wanaziacha mlangoni wakirudi home wanasali tena
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom