Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,124
- 5,698
Inasikitisha serikali imetoa elimu bure kuanzia shule za msingi hadi kidato cha sita.
Ajabu ni kuwa michango primary sasa imezidi elfu 30+ sekondari ndiyo basi.
Wanafunzi wanatozwa kila mtihani na asipotoa hafanyi.
Inaonekana wakuu wa shule na walimu wakuu hawapati fedha kutoka serikalini hivyo hawana namna ya kulinda posho yao ya madaraka zaidu ya kuwakamua wazazi.
Ombi langu kwa serikali itangaze ada rasmi ya shule ili wazazi wajiandae kuilipa siyo kusitukizwa michango
au
Itangaze rasmi aina na kiasi ambacho mzazi atatakiwa kukitoa kwa mwaka
au
Kama rais anahujumiwa na maafisa elimu apige marufuku mchango wowote wa lazima. Mzazi atoe mchango kwa hiari.
Serikali sikivu itasikiliza