Leo hapa jijini kunafanyika kongamano la miaka 100 tangia kuzaliwa kwa Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere, 1922 huko Butiama mkoani Mara
Vijana wengi wa sasa hatukubahatika...
Mzee Sirro amekaribia kustaafu, kwa nidhamu na maendeleo ya Jeshi la Polisi sisi tunaofuatilia utendaji wa Ma RPC tunaweza kusema Muliro atachukua nafasi ya Sirro.
Kwa namna alivyotuliza Mwanza...
Ndani ya kipindi kifupi gharama ya bando/bundle ya internet imepanda kwa zaidi ya 45%.
Sisi watumiaji wa Vodacom tulikua tunanunua kifurushi cha Mwezi kwa shilingi elfu 50 na kupata GB 50...
Ndege moja ya Air Tanzania "Dodoma" Hapa kazi tu, iliyowahi kuzuiliwa Afrika kusini inaonyesha kuwa imepark kwenye uwanja wa ndege wa Maastricht. Huu ni utaratibu wa kawaida au tunadaiwa tena?
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala yao, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa ya soko la ajira.
DKT. SAMIZI ACHANJA MBUGA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NA KUHAMASISHA SENSA JIMBONI.
Leo imekuwa mwendelezo wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe Dkt. Florence George Samizi...
Nimepitia mitandao mingi ya kijamii hasa hasa youtube nimekuta clip za General Ulimwengu anasema Magufuli hakuwa Rais mzuri.
Kati ya komeenti 5876 ni comment 43 tu ndizo zimemsapoti. Ila comment...
Heshima sana,
Mimi Ngongo Balozi wa kumi natarajia kufika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yangu kuhusu Katiba.
Mosi,naunga mkono katiba mpya kwakuwa hii ya sasa imepitwa na wakati.
Natarajia...
Kuna hii habari nimeikuta kwenye vuombo vyetu vya habari Nchini, ni kuhusu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa taarifa ya kutoa maagizo kwa vyombo vyenye mamlaka ya kusimamia sheria ikiwemo...
Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao.
Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki.
Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje...
Raisi Samia sasa ndiyo anaamka usingizini na kugundua Sirro sio IGP mzuri. Sirro aliwekwa kwa ajili la kuwapiga na kuwanyanyasa wapinzani wakati wa Rais Magufuli lakini hakuwa na uwezo wala busara...
Mikopo hii imekopwa na serikali katika awamu ya sita pamoja na ukopwaji wa mikopo hiyo pesa nyingi haijulikani imepelekwa wapi, kitu pekee nachokifahamu katika mikopo hiyo ni:
Ujenzi wa vyoo vya...
Rais Samia afanya teuzi mbili:
1. Rais Samia amemteua Meja Jenerali (Mstaafu) Hamis R. Semfuko kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya usimamizi ya Wanyamapori Tanzania (TAWA)
2...
Nawasalimu sana wanajamvi,
Chondechonde kazi ya Uwaziri sio lelemama na hasa kwa nafasi yake. HUKU mikoani umeme hakuna, nchi ipo gizani lakini yeye yupo busy kugawa mitungi midogo ya gesi badala...
Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?
Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?
Kuna wapambe wasio na vichwa...
Kipindi cha utawala wa marehemu Magufuli watu walikuwa waoga wa kupitiliza.
Wengi walishindwa kujieleza hata kama walikuwa na point za maana.
Wengine wateuliwa walishindwa hata kuapa mbele ya...
Kiukweli hayati Magufuli aliwapenda Wananchi wote bila kujali itikadi za kisiasa.
Ukiangalia Maendeleo ya Miundombinu katika Majimbo ya Kawe, Ubungo na Kibamba huwezi kuamini kuwa halikuwa chini...
Nchi ni moja na rais ni mmoja kwa nini madiwani wa Zanzibar walipwe mishahara huku hawa wa bara hawalipwi? Huu ni ubaguzi usiofaa.
Bajeti Zanzibar Sh2.59 trilioni.
=======
Madiwani Z’bar...
Salaam Wakuu,
Mkuu wa Wilaya Godwin Gondwe alipokuwa Mkuu wa Wilaya Temeke, kulikuwa na Mgogoro Hospitali ya Dar Group.
Gondwe akaitembelea, na kuwaambia Wafanyakazi na Madaktari wafunguke...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa Sh69.44 trilioni ikilinganishwa na Sh60.72 trilioni kwa kipindi kama hicho mwaka 2021...