Natafuta Watu 'Serious' niwape 'Strategies' na waunde Chama 'Strong' cha Upinzani Tanzania kwani vilivyopo sasa viko ICU vinasubiri Kufa na Kuzikwa tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,464
108,620
Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi.

Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na Chama Cha Upinzani ili awe makini muda Wote Kiuingozi wake na Watu wa CCM wasibweteke bali nao muda mwingi wawe Wanaumiza Vichwa kuwaletea Maendeleo Wananchi wake.

Tanzania haiwezi kuwa 'imesizi' hivi Kisiasa na haichangamki. Pia nataka tuwe na Chama Cha Upinzani Imara ili hata Polisi na Watu wa Usalama wa Taifa muda wote wawe Wanakasirika tu na Kukinunia kwa 'Spana' za uhakika ili tuweze kumsaidia Rais Samia asijione kuwa ameshazimaliza Changamoto zote za Kijamii, Kiuchumi na za Kimaendeleo za Watanzania.

Nataka nikiunde hiki Chama ili angalau kila Wiki Watendaji wake wake wanaitwa ama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini au kwa DCI au pale Central Police Station kwa Mahojiano zadi.

Sharti Kuu la Watu ambao watapenda kuwa tayari niwatengenezee Chama Cha Upinzani Imara na Makini Tanzania nzima ni kuwa naturally Wawe ni Intelligent, wawe Wakweli daima, wasioogopa Kufa na wasiwe Wanafiki na wakubali Kuteseka Kimaisha (Kufa na Tai Shingoni) kwa Maslahi ya Tanzania ya sasa na ile ya Kesho na Keshokutwa.
 
Motivational speaker!
 
Vyama vingi vilianzishwa lakini vikafa mapema. Ni CHADEMA imeweza kusurvive mawimbi yote. Ili uwe chama Cha upinzani imara lazima CHADEMA iwe bench mark yako.
 
Hiyo mizizi haiwezi kuchimbuliwa?
Labda ufanye mapinduzi na mapinduzi yenyewe kuyakamilisha ni ngumu na hata yakifanyika kudumu kwa masaa mawili tu ni bahati.

Mungu tu aamue ila hiyo ni habari nyingine. Mifumo yetu ipo imara sana mkuu.

Hakuna kitu utafanya watu wasijue. Utajulikana tu.

Kwahiyo hizo ndoto potezea endelea na mambo mengine.
 
Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi.

Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na Chama Cha Upinzani ili awe makini muda Wote Kiuingozi wake na Watu wa CCM wasibweteke bali nao muda mwingi wawe Wanaumiza Vichwa kuwaletea Maendeleo Wananchi wake.

Tanzania haiwezi kuwa 'imesizi' hivi Kisiasa na haichangamki. Pia nataka tuwe na Chama Cha Upinzani Imara ili hata Polisi na Watu wa Usalama wa Taifa muda wote wawe Wanakasirika tu na Kukinunia kwa 'Spana' za uhakika ili tuweze kumsaidia Rais Samia asijione kuwa ameshazimaliza Changamoto zote za Kijamii, Kiuchumi na za Kimaendeleo za Watanzania.

Nataka nikiunde hiki Chama ili angalau kila Wiki Watendaji wake wake wanaitwa ama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini au kwa DCI au pale Central Police Station kwa Mahojiano zadi.

Sharti Kuu la Watu ambao watapenda kuwa tayari niwatengenezee Chama Cha Upinzani Imara na Makini Tanzania nzima ni kuwa naturally Wawe ni Intelligent, wawe Wakweli daima, wasioogopa Kufa na wasiwe Wanafiki na wakubali Kuteseka Kimaisha (Kufa na Tai Shingoni) kwa Maslahi ya Tanzania ya sasa na ile ya Kesho na Keshokutwa.
Wafe WAKATI wewe unakula bata sio!!!?

Katiba mpya itavilinda vyama vya siasa na kuifanya siasa iwe kichocheo cha maendeleo na sio uchawa kama ilivyo Sasa!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!!
 
Hicho chama Cha ''NDOTONI'' kitakuwa halisi ikiwa:

Tutaandika KATIBA mpya. Na KATIBA hiyo itokane na RASIMU ya Judge Warioba.

Katiba mpya itaondoa vyama vya mfukoni maana havitazidi 3.

Katiba mpya itazuia vyama kujimilikisha Mali za umma .

Usalama wa Taifa hautalinda vyama uchwara, utalinda maslah mapana ya nchi, haitaingilia siasa.

Vyama vitajitegemea kimapato, havitakuwa ombaomba Kutoka mataifa ya nje.

Katiba mpya itamvua kofia mbili avaazo Rais, hatokuwa Rais na mkt wa chama wakat huo huo.

Katiba mpya itavielekeza vyama vyote vya siasa kuwa na sera na Maono ya Taifa ya miaka mingi.

Ameeeeen.
 
Uchaguzi ni maigizo ya kuhalalisha mikopo na misaada..na kupunguza 'joto' yasije tokea ya Libya...kimsingi rais wa nchi anateuliwa na deep state,hata kule dodoma huwa ni maigizo tu....mamvi alisema 'mwenyekiti alivuka taa za ubungo na majina matano mfukoni'....yalipobaki matatu,mlengwa akaachwa na upinzani dhaifu
 
Ungeenda kwenu Rwanda kukianzisha
images - 2022-04-24T123124.344.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom