Msimlaumu Hayati Magufuli bali ilaumuni CCM

Umekuja na hoja moja nzuri sana, big Up!

Unajua kitu, hawa wanaopiga kelele kuhusu Magufuli mitandaoni huwa nawaona wameganda akili/fikra zao.

Mazingira yote yaliyowezesha kupatikana Magufuli bado yako vile vile, hakuna chochote kilichobadilika.

Tabia ya KK ya CCM kututeulia Rais wa nchi badala ya kura za watanzania nayo bado iko pale pale.

Tume ya uchaguzi inayomuwezesha kila mgombea wa CCM kushinda urais nayo bado iko pale pale.

Sasa kwanini asipatikane "Magufuli" mwingine huko mbele ya safari?

Kwa sababu kinachoonekana sasa, ni kama vile tunawaomba CCM wasituletee "Magufuli" mwingine.

Sasa jiulize, kwani wakati ule CCM wanamteua Magufuli awe mgombea Urais walijua kama angekuja kuwa vile alivyokuwa?

Jibu ni kwamba hawakujua, hivyo kama hawakujua, na wao sio malaika ili wajue mapema, basi kuna uwezekano mkubwa wa kuja kutokea "Magufuli" mwingine mbele ya safari, mark my words!.
 
Jiwe mwingine atapatikana tu siku zijazo, suala ni kuwa katiba na taasisi imara za kumdhibiti kama ilivyokuwa kwa Trump US.
Umekuja na hoja moja nzuri sana, big Up!

Unajua kitu, hawa wanaopiga kelele kuhusu Magufuli mitandaoni huwa nawaona wameganda akili/fikra zao.

Mazingira yote yaliyowezesha kupatikana Magufuli bado yako vilevile, hakuna chochote kilichobadilika.

Tabia ya KK ya CCM kututeulia Rais wa nchi badala ya kura za watanzania nayo bado iko pale pale.

Tume ya uchaguzi inayomuwezesha kila mgombea wa CCM kushinda urais nayo bado iko pale pale.

Sasa kwanini asipatikane Magufuli mwingine huko mbele ya safari?

Kwa sababu kinachoonekana sasa, ni kama vile tunawaomba CCM wasituletee Magufuli mwingine.

Sasa jiulize, kwani wakati ule CCM wanamteua Magufuli awe mgombea Urais walijua kama angekuja kuwa vile alivyokuwa?

Jibu ni kwamba hawakujua, hivyo kama hawakujua, na wao sio malaika ili wajue mapema, basi kuna uwezekano mkubwa wa kuja kutokea "Magufuli" mwingine mbele ya safari, mark my words!.
 
Magufuli aliboronga nini?
  • Kupambana na mabeberu na vibaraka wao
  • Kuwakataa wanasiasa wa upinzani walamba asali
  • Kupambana na wauza madawa ya kulevya
  • Kuondoa wahalifu wa vyeti feki kwenye Utumishi wa Umma
  • Kujenga miundombinu bora nchi nzima na miradi ya kimkakati
  • Kuleta uwajibikaji, n.k?
Hebu mwacheni shujaa wetu astarehe Mbinguni.
 
Mbinguni?
 
Katiba mpya ikipatikana hakutakuwa na haja ya kumlaum mtu wala chama cha siasa kwasababu katiba ndio itamsimamia mtu na chama na sio mtu wala chama kuisimamia katiba na lawama zote zitaisha!!!

Ndio maana wimbo wa wenye hekima ni HUU hapa na wewe ungana nao kuuimba:-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba mpya""!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom