Nimesikitishwa na kauli za Rais wa Zanzibar juu ya mkandarasi aliyekuwa akijenga jengo la serikali huko Zanzibar.
Mwinyi naona kaingiza siasa kwenye kazi za kitaalam isivyo.
Kwa muonekano tu...
Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.
Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka...
. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema chama tawala, CCM kinapaswa kulaumiwa kwa maumivu yote ambayo Watanzania wameyapata katika miaka 30 ya mfumo wa...
Kufuatia maandalizi ya maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa baba wa taifa la tz, hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere, naomba kufahamishwa kama kumewahi kuwa na desturi au utamaduni kwa...
Ndiyo sifa zote za serikali za kifisadi duniani huwa hazina uwezo wa kukusanya kodi kutoka kwa matajiri ,hivyo hukimbilia kuwatoza kodi za hovyo watu masikini.
Tunatambua makusanyo ya kodi ni...
Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya...
Ndugu zanguni watumishi wa umma, kama mnavyojua kuwa, sisi Awamu yetu hii tunategemea zaidi WAJOMBA a.k.a WAZUNGU ili kujikimu.
Nasikitika kuwaambieni kuwa, mpaka sasa WAJOMBA hawajatupatia...
Mbunge wa Siha (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Dk Godwin Mollel amemtaka mkandarasi aliyejenga mradi wa maji wa Gararagua kutafutwa popote alipo kwani umejengwa chini ya kiwango.
Amesema hayo leo...
Kumbe nilikuwa nawaza tofauti kabisa kuwa MTUMISHI wa Umma akistaafu akiwa na Umri wa Miaka 60 anapaswa APUMZISHE Mwili na AKILI kwani Anakuwa Katumika sana alipokuwa Kazini. Kumbe nilikuwa Nawaza...
Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Ngollo Malenya ameagiza kukamatwa kwa Wazazi wawili Thomas Ulanda
na Adelyda Nakashawa na kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria baada ya kuwatelekeza...
Nchi yetu ina wasomi wengi ila wasomi wanaotendea haki taaluma zao ni wachache sana.
Peter Kibatala ni mmoja wao
Hii nchi ni yetu sote kama asali kila mtu anataka kulamba.
Kuna viongozi lukuki...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) Arusha, leo...
Utamaduni wa uvivu ndiyo umesababisha tatizo kubwa la bei ya Chakula. Hakuna sababu ya Tanzania kuagiza mbolea, ngano, mafuta ya kupikia na sukari.
Uvivu huu sio kwa Tanzania nzima lakini mikoa...
Leo na kesho kutakuwa na mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika mashariki huko Arusha. Kwa mtazamo wangu mkutano huo ni wa upotevu wa muda, fedha za wananchi kwani hakuna lolote la maana...
Katika kikao cha Baraza la Wawakilishi leo asubuhi, Mwanasheria mkuu wa Zanzibar ameweka bayana na kuwataka wawakilishi kwenda kifua mbele na kuitetea mipaka ya nchi yao kwa hoja ambayo imo...
Wadau wametoa maoni yao juu ya kauli ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera (RPC), Wankyo Nyigesa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumteuwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania haliyakuwa (IGP)...
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa...
Kesi ya Mbowe iliondolewa kwa nolle prosequi, serikali ikiondoa kesi kwa mfumo huo, inaweza kuirejesha.
Sasa Kingai ndio Yuko jikoni akikarangiza upelelezi. Ikimpendeza aisuke ili twende raundi...
Rais Samia : kila kitu kibinafisishwe ,serikali ya Tanzania haitafanya biashara yoyote.( 13/6/2022, akiwa Oman)
Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha...
Naona wadau wengi wa Katiba mpya wanaipigia chapuo Rasimu ya Jaji Warioba
Ndio najiuliza kwanini huyo Rasimu isipitishwe tu kuwa Katiba mpya?
Maana Kikosi kazi cha Prof Mkandalla na zitto kabwe...