Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
594
2,778
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
47,373
80,885

Usalama wa kitu gani labda? Ni kipi so special hapa bara ambacho Zanzibar ndio inapaswa kuwa kinga yetu? Au ni muungano wa kitambiko kiasi kwamba ukivunjika mizimu itafanya yake?
 
Kalamu

JF-Expert Member
Nov 26, 2006
1,047
209

Naupenda sana Muungano wetu; lakini hapo hapo sipendi kulazimishana au kufanyiana ujanja ujanja; mmoja akifaidika zaidi ya mwingine katika muungano huo.

Waasisi wa Muungano hawakuwa na malengo ya huu tulionao sasa, kwa kushindwa kwetu kuuimarisha na kuustawisha ili Muungano uwe na manufaa kwa wote.

Ni uamini wangu kwamba, hata Samia awe na nia ya kuuvunja Muungano, sidhani kwamba atakuwa na ujasiri wa kufanya hivyo na yeye akabaki amesalimika na heshima zake.
 
Kayamba Moses

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,748
4,188
Atakumbukwa na wengi wakiwemo wananchi waliotoa maoni kwenye tume zote kuhusu kero za Muungano. Atakumbukwa na wananchi wengi ikiwemo wale wa tume ya Warioba.

Atakuwa kauweza mfupa ulioshindwa kuguswa na wengi, koti la Tanganyika ndani ya Muungano litakuwa limevuliwa rasmi sasa tukae mezani kuamua muundo mpya wa Muungano.
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
16,431
28,721
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Zanzibar kupata mamlaka kamili inamtisha Nani? Mbona wahafidhina mna Mambo ya ajabu ajabu hivi? Kwa hiyo CCM kukubali mchakato wa Katiba mpya mnaona kina Mwigulu na kundi lenu mnakwenda kuangukia pua?
 
Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
3,056
3,632
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Acha afanye

Zanzibar huru na Tanganyika huru then tunabaki na mambo machache mno ya kushirikiana
 
Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
3,056
3,632
Usalama wa kitu gani labda? Ni kipi so special hapa bara ambacho Zanzibar ndio inapaswa kuwa kinga yetu? Au ni muungano wa kitambiko kiasi kwamba ukivunjika mizimu itafanya yake?
Hamna cha maana ambacho Zanzibar inaipatia Tanganyika

Mbona hatujaungana na Comoro upande wa kusini mashariki

All in all kila upande uwe na mamlaka yake, yaani kuwe na Zanzibar huru na Tanganyika huru
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

21 Reactions
Reply
Top Bottom