Nchi yetu ina wasomi wengi ila wasomi wanaotendea haki taaluma zao ni wachache sana.
Peter Kibatala ni mmoja wao
Hii nchi ni yetu sote kama asali kila mtu anataka kulamba.
Kuna viongozi lukuki sana wapo serikalini na walikuwa upinzani na majority wanafanya vizuri sana
Sifa ya kuwa Jaji ni kuwa na shaada ya sheria na experience ya miaka isiyopungua kumi
Peter Kibatala anazo sifa zote hizo.
Jaji Augustino Ramadhani alikuwa Jaji Mkuu huku ana kadi ya CCM,punde tu baada ya kustaafu akagombea urais akiwa na kadi active kabisa.imelipiwa tangu 1977.
Tunahitaji mchango wa huyu msomi kulijenga Taifa letu katika kona nyingine akiwa kama Jaji.
Ni ombi tu