Watumishi wa umma jiandaeni kisaikolojia

Watumishi wa umma jiandaeni kisaikolojia

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2,622
Reaction score
3,147
Ndugu zanguni watumishi wa umma, kama mnavyojua kuwa, sisi Awamu yetu hii tunategemea zaidi WAJOMBA a.k.a WAZUNGU ili kujikimu.

Nasikitika kuwaambieni kuwa, mpaka sasa WAJOMBA hawajatupatia msaada wa fedha kwa ajili ya LILE JAMBO LETU.

Mjomba mmoja mwenye ndevu ameahidi atatupatia kesho au kesho kutwa. Kwa hiyo, mkiona hakuna mabadiliko, msishangae sana.

Hata hivyo nimepanga kuwatafuta WAJOMBA 12 wale wenye ndevu ambao watakuwa ni walezi wetu. Hawa pia wanapesa nyingi sana.

Tanzania ni yetu, naomba tuvumiliane.
 
Hilo linajulikana, kuwa lile jambo letu limeota mbaya, yamebaki manyoya yale yanayoanza kuota
 
Bwana mkubwaaaa tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha

Bwana mkubwaaaa tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha

Lakini kwa neno lako nashusha nyavu!

By Shusho
 
Mbona mishahara ya watumishi mmeikazia shingo hivyo?

Hamtulii! Kwani vipi? Roho zinawauma?
 
Back
Top Bottom