Rais Samia katika Mkutano wa Kawaida wa 22 wa wakuu wa Nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Uhuru baada ya kukaribia kuondokani, leo ameongea jambo la maana sana.

Samia bado anaongea huku akiangalia donors.
 
Tokea waanze kuungana mpaka leo wamefanikiwa wapi na wapi?
Tumefikia kwenye stage ya common market.
-stage ya kwanza ilikua ni makubaliano ya kupunguza kodi pekeyake
-tukaja kwenye stage ya pili ya free trada hapa ilikua kuondoa vikwazo vyote ya kodi na visivyo vya kodi
- baada ya hapo tukaja kwenye stage nyingine inaitwaa common union baada ya kukubaliana kwenye free trade tukaingia makubalioano mengine ya shera kuhusu kufanya biashara na nchi ambazo sio wanachama
-stage ya sasa tupo kwenye common market hapa kuna free trade kwa nchi wanachama, shera za kufanya biashara na nchi ambazo sio wanachama. Mfano mm nafanya biashara ya viatu kenya, viatu vyangu na import kutoka china. Lkn kenya ni member wa EAC inaruhusu kuuza bidhaa bila ya kodi kwa nchi wanachama (yani nawaza kuuza viatu vyangu tz, ug etc bila ya kodi). Kupitia shera za EAC siwezi kuuza bidhaa nilizo import kutoka china bila ya kodi kwa nchi wanachama kwa maana ili uweze kuuza bila ya kodi bidhaa zako zinatakiwa kuwa domestic manufactured aslimia 75-80. Mtu kama masudi kipanya yale magari yake anaweza uza popote ECA bila ya kodi

-Tunapo elekea ni Economic Integration kama EU, hapa tutakua na shera sera zinazofanana (Economic policy 1. FISCAL POLICY, 2. MONETARY POLICY, 3. TAXATION POLICY & SOCIAL WELFARE POLICY) pia tutakua na single currency pia benk kuu itakua moja. Kwa kuongezea jumuiya ya EAC itatambulika kama nchi moja kwenye majukwaa ya kimataifa kama WTO, UN, AU etc
 
Haya ni matamanio tu, lakini kwa ubinafsi wa nchi wanachama hayawezi kutekelezwa. Kama huo umoja ungekuwa unaongozwa na wazungu hapo sawa. Kinachoendelea hapo ni kufuja fedha za wananchi kwa kupiga porojo.
 
-kama wewe unavyo ingia kwenye mkataba. Unataka mkataba unao kubebe wewe (advantage kwako) sana kulivyo unyo mbebe unaoingia nae huo mkataba. Ndo hivyo hivyo ipo kwenye agreement hizi za economic integration kila nchi inajaribu ku push agenda zake. Changamoto kubwa ipo kwa kenya na tanzania

-hata hapa tulipo fika tumejitahidi sana, sema wanachi na wafanya biashara wengi hawajui manufaa na njia za kunufaika kutokana na hizi jumuiya
 
Mama hajaongelea suala la mikopo,kwamba tuungane ili tukope vizuri?
 
-kama wewe unavyo ingia kwenye mkataba. Unataka mkataba unao kubebe wewe (advantage kwako) sana kulivyo unyo mbebe unaoingia nae huo mkataba. Ndo hivyo hivyo ipo kwenye agreement hizi za economic integration kila nchi inajaribu ku push agenda zake. Changamoto kubwa ipo kwa kenya na tanzania

-hata hapa tulipo fika tumejitahidi sana, sema wanachi na wafanya biashara wengi hawajui manufaa na njia za kunufaika kutokana na hizi jumuiya
.
Mkuu inshort ni umoja ceremonial zaidi.
 
Haya ni matamanio tu, lakini kwa ubinafsi wa nchi wanachama hayawezi kutekelezwa. Kama huo umoja ungekuwa unaongozwa na wazungu hapo sawa. Kinachoendelea hapo ni kufuja fedha za wananchi kwa kupiga porojo.
Tindo ni mtanzania pure, very negative. Mitazamo yako bora ibakie huku huku CHADEMA, ikipata nafasi ya kuongoza nchi nina uhakika hakuna la maana itakachoweza kukileta kwa taifa hili.
 
Uhuru baada ya kukaribia kuondokani, leo ameongea jambo la maana sana.

Samia bado anaongea huku akiangalia donors.
Nimefurahi aliposema dhahabu na almasi zikifika kwao wanatuambia kwa nini mnatumia watoto kuchimba hivi vitu,lakini hawajawahi kurudisha hayo makitu huku sinapotoka hata siku moja.
 
Back
Top Bottom