Serikali isiyo na uwezo wa kutoza kodi hukimbizana na wanyonge

Bikirajohola

JF-Expert Member
Jun 11, 2022
356
632
Ndiyo sifa zote za serikali za kifisadi duniani huwa hazina uwezo wa kukusanya kodi kutoka kwa matajiri ,hivyo hukimbilia kuwatoza kodi za hovyo watu masikini.

Tunatambua makusanyo ya kodi ni lazima kwa kila mwananchi ili kuleta maendeleo ya taifa ila kinachoonekana ni kuwa watawala wanafanya ufahari na kuishi maisha ya isirafu bila kujali, wanatembelea magari ya bei ghali, kulipana mishahara mikubwa na posho za kuzidi kiwango, kupeana incentives kiasi kwamba hawajali kabisa na kutambua kuwa upande wa pili wa shilingi Watanzania wanaoogelea kwenye tope la umaskini.

Mikopo ni karibia kila week sasa kuna mkopo mpya unatangazwa wa mabilioni kama si matrillion ya fedha ila bado wananchi tunakamuliwa vilivyo. Maendeleo yanayomgusa mwananchi yako wapi? Maboresho ya huduma za kumpa unafuu mwananchi mbona hatuyaoni? Kama mtu anaweza akafia hospitali sababu tu Network ya NHIF iko down mna sababu gani ya kuendelea kukamua kodi kwa wananchi?

Miradi haimaliziwi, kazi ya kutengeneza mikataba mipya ya kudokoa 10% ndio inaonekana kushika hatamu awamu hii. Tulishayasahau haya kwanini tunarudishana nyuma?

Hilo ndilo ambalo wananchi waliwatuma huko serikalini? Bila aibu wala soni mnasifia ubadhirifu wa fedha za kodi zetu kwa kuhonga wapinzani na kupalilia udokozi kwa kuita "Kulamba Asali". Hii ni zaidi ya dharau jamani.

Mmeanzisha tozo za miamala juu ya 18% VAT ambayo ilikuwa inachajiwa awali ila bado hamjaridhika..Sahizi mnataka mlete tozo kwenye ving'amuzi. Tupeni basi mchanganuo wa hizo tozo mnazokusanya. Mlidai zinajenga mashule hizo shule hazijaisha tu kwa mabilion mliokwisha kusanya kwa mwaka mzima?

Mmeleta tozo kwenye luku hizo pesa zote zinaenda wapi na mtaani hela hakuna? Huduma za kijamii mbovu kabisa. Toeni malengo na utekelezaji wa kila senti ambayo imekusanywa kwenye tozo za awali kwanini mnaficha ripoti za makusanyo na matumizi?

Msituchukulie poa jamani hii hali inachosha kiukweli tunapoenda watu wanaweza wakawa mbogo tukavuruga ule urithi aliotuachia hayati baba wetu wa Taifa.
 
Karibu sana mkuu ! Wanyonge hunyongwa na serikali ya kifisadi! Matajiri hawagusiki hata kidogo lakini wanyonge kuanzia mamalishe na wauza mbogamboga kila siku nikukimbizana na migambo
 
Lipa kodi, we mwanaume mzima. Wa afya unategemea serikali ikusomeshee Watoto bure halafu usilipe kodi unjiita mnyonge?

Wanyonge ni watoto, walemavu na wazee
 
Ndiyo sifa zote za serikali za kifisadi duniani huwa hazina uwezo wa kukusanya kodi kutoka kwa matajiri ,hivyo hukimbilia kuwatoza kodi za hovyo watu masikini.

Tunatambua makusanyo ya kodi ni lazima kwa kila mwananchi ili kuleta maendeleo ya taifa ila kinachoonekana ni kuwa watawala wanafanya ufahari na kuishi maisha ya isirafu bila kujali, wanatembelea magari ya bei ghali, kulipana mishahara mikubwa na posho za kuzidi kiwango, kupeana incentives kiasi kwamba hawajali kabisa na kutambua kuwa upande wa pili wa shilingi Watanzania wanaoogelea kwenye tope la umaskini.

Mikopo ni karibia kila week sasa kuna mkopo mpya unatangazwa wa mabilioni kama si matrillion ya fedha ila bado wananchi tunakamuliwa vilivyo. Maendeleo yanayomgusa mwananchi yako wapi? Maboresho ya huduma za kumpa unafuu mwananchi mbona hatuyaoni? Kama mtu anaweza akafia hospitali sababu tu Network ya NHIF iko down mna sababu gani ya kuendelea kukamua kodi kwa wananchi?

Miradi haimaliziwi, kazi ya kutengeneza mikataba mipya ya kudokoa 10% ndio inaonekana kushika hatamu awamu hii. Tulishayasahau haya kwanini tunarudishana nyuma?

Hilo ndilo ambalo wananchi waliwatuma huko serikalini? Bila aibu wala soni mnasifia ubadhirifu wa fedha za kodi zetu kwa kuhonga wapinzani na kupalilia udokozi kwa kuita "Kulamba Asali". Hii ni zaidi ya dharau jamani.

Mmeanzisha tozo za miamala juu ya 18% VAT ambayo ilikuwa inachajiwa awali ila bado hamjaridhika..Sahizi mnataka mlete tozo kwenye ving'amuzi. Tupeni basi mchanganuo wa hizo tozo mnazokusanya. Mlidai zinajenga mashule hizo shule hazijaisha tu kwa mabilion mliokwisha kusanya kwa mwaka mzima?

Mmeleta tozo kwenye luku hizo pesa zote zinaenda wapi na mtaani hela hakuna? Huduma za kijamii mbovu kabisa. Toeni malengo na utekelezaji wa kila senti ambayo imekusanywa kwenye tozo za awali kwanini mnaficha ripoti za makusanyo na matumizi?

Msituchukulie poa jamani hii hali inachosha kiukweli tunapoenda watu wanaweza wakawa mbogo tukavuruga ule urithi aliotuachia hayati baba wetu wa Taifa.
Haya unaongea ukiwa umejifungia kwenye mtaro au?
Maana unachoongea sio kile ambacho serikali inafanya,hujaona mamia kwa mamia ya Kodi yaliyopunguzwa na kufutwa?

Hujaona uwekezaji mkubwa kwenye Kilimo,maji,afya,elimu nk?

Hujaona juhudi za serikali kupunguza matumizi yake kiasi cha bil.500?

Mbona mna matatizo vichwani nyie? Mafuta ya kula yameondolewa Kodi,mbolea,sukari nk
 
Watanzania hawapendi kulipa kodi hata wafanya biashara wakubwa ila mfanyakazi wa umma mshahara wake unaopitia utumishi ndio kodi zote zina muhusu, alafu huku utakuta ndio wana tukanwa kila siku ila kodi zao ndio zina beba wengi.
 
Haya unaongea ukiwa umejifungia kwenye mtaro au?
Maana unachoongea sio kile ambacho serikali inafanya,hujaona mamia kwa mamia ya Kodi yaliyopunguzwa na kufutwa?

Hujaona uwekezaji mkubwa kwenye Kilimo,maji,afya,elimu nk?

Hujaona juhudi za serikali kupunguza matumizi yake kiasi cha bil.500?

Mbona mna matatizo vichwani nyie? Mafuta ya kula yameondolewa Kodi,mbolea,sukari nk
Hata kufutwa karo kidato Cha tano na sita hajaona!
 
Watu wame default madeni yao ya loans board kwakua hawako kwenye mfumo rasmi wa ajira ila mfanyakazi wa umma ni rahisi kumkamata, huku ni matusi tu kwa walimu na manurse.
 
Ndiyo sifa zote za serikali za kifisadi duniani huwa hazina uwezo wa kukusanya kodi kutoka kwa matajiri ,hivyo hukimbilia kuwatoza kodi za hovyo watu masikini.

Tunatambua makusanyo ya kodi ni lazima kwa kila mwananchi ili kuleta maendeleo ya taifa ila kinachoonekana ni kuwa watawala wanafanya ufahari na kuishi maisha ya isirafu bila kujali, wanatembelea magari ya bei ghali, kulipana mishahara mikubwa na posho za kuzidi kiwango, kupeana incentives kiasi kwamba hawajali kabisa na kutambua kuwa upande wa pili wa shilingi Watanzania wanaoogelea kwenye tope la umaskini.

Mikopo ni karibia kila week sasa kuna mkopo mpya unatangazwa wa mabilioni kama si matrillion ya fedha ila bado wananchi tunakamuliwa vilivyo. Maendeleo yanayomgusa mwananchi yako wapi? Maboresho ya huduma za kumpa unafuu mwananchi mbona hatuyaoni? Kama mtu anaweza akafia hospitali sababu tu Network ya NHIF iko down mna sababu gani ya kuendelea kukamua kodi kwa wananchi?

Miradi haimaliziwi, kazi ya kutengeneza mikataba mipya ya kudokoa 10% ndio inaonekana kushika hatamu awamu hii. Tulishayasahau haya kwanini tunarudishana nyuma?

Hilo ndilo ambalo wananchi waliwatuma huko serikalini? Bila aibu wala soni mnasifia ubadhirifu wa fedha za kodi zetu kwa kuhonga wapinzani na kupalilia udokozi kwa kuita "Kulamba Asali". Hii ni zaidi ya dharau jamani.

Mmeanzisha tozo za miamala juu ya 18% VAT ambayo ilikuwa inachajiwa awali ila bado hamjaridhika..Sahizi mnataka mlete tozo kwenye ving'amuzi. Tupeni basi mchanganuo wa hizo tozo mnazokusanya. Mlidai zinajenga mashule hizo shule hazijaisha tu kwa mabilion mliokwisha kusanya kwa mwaka mzima?

Mmeleta tozo kwenye luku hizo pesa zote zinaenda wapi na mtaani hela hakuna? Huduma za kijamii mbovu kabisa. Toeni malengo na utekelezaji wa kila senti ambayo imekusanywa kwenye tozo za awali kwanini mnaficha ripoti za makusanyo na matumizi?

Msituchukulie poa jamani hii hali inachosha kiukweli tunapoenda watu wanaweza wakawa mbogo tukavuruga ule urithi aliotuachia hayati baba wetu wa Taifa.
Watu mna Madini hadi Yanamwagika...!

Hata mie nimeshangaaa yaani baada ya kushindwa kuacha kodi ya meza asubuhi ndo nikatuma 5,000 mchana iokoe jahazi...eeh kutaamaki Wamekata panga la Maana kuuliza nambiwa tozo.
Walamba Asali Mungu anawaona..!
 
Inasikitisha sana
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom