Je, Waziri Makamba anayofanya yana baraka za Rais Samia?

Bikirajohola

JF-Expert Member
Jun 11, 2022
356
632
Rais Samia : kila kitu kibinafisishwe ,serikali ya Tanzania haitafanya biashara yoyote.( 13/6/2022, akiwa Oman)

Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa.
Umeme
Bandari
Reli
Viwanja vya ndege
Mbuga etc

Baba wa taifa mwl Nyerere kwenye hotuba yake moja mwaka 1995 alikemea vikali akili ya kuchukua mali ya uma na kuwakabidhi watu wachache, mfano umeme ndiyo injini ya uchumi wa nchi kwa kuvutia kujengwa kwa viwanda vingi na kuzalisha bidhaa za bei ndogo zitakazoshindana kwenye soko, kamwe hatuwezi kuwapa watu wachache watufanyie biashara kwa kutuuzia umeme alafu tukategemea bidhaa zetu zishindane kwenye soko la Dunia.

Enzi za Kikwete Tanesco nusura ibinafisishwe baada ya kuwa na madeni makubwa ya kulipia capacity charges kutoka kwenye generator za kampuni la symbion.

Alipoingia Magufuli akafuta baadhi ya mikataba ya hovyo na kuliwezesha shirika kukusanya zaidi ya trillion 2 kwa mwaka hivyo likaacha kujiendesha kwa kutegemea ruzuku ya serikali na kufuta mpango wa kulibinafisisha shirika hili la uma.

Ameingia rais Samia na alipomteua waziri January Makamba tayari ameingia na mentality ileile ya enzi za Kikwete.

1. Pamoja na kwamba Tanesco ya leo hawaagizi nguzo nje ya nchi kama walivyokuwaga wanafanya huko nyuma lakini bado Makamba anataka shirika libinafisishwe.

2. Pamoja na kwamba Tanesco ya leo wanakusanya zaidi ya trillion mbili kwa mwaka lakini bado waziri Makamba anataka shirika libinafisishwe!

3. Pamoja na kwamba kupitia REA Tanesco imetapakaa nchi nzima lakini bado waziri anataka shirika libinafisishwe.

4. Pamoja na kwamba sasa hivi Tanzania inajenga bwawa kubwa kabisa la kufua umeme lakini bado waziri anataka Tanesco ibinafisishwe.

Hii speed ya 4G ya Makamba kutaka Tanesco ibinafisishwe inasukumwa na nini? Hivi kwa akili hii vipi huyu Makamba angeshinda urais mwaka 2015?
View attachment 2260163
 
Huyo baba wa Taifa aliwafanga kuwa maskini na mandezi ndio maana mnachoweza ni kulaumu na kulalamika ila ufanisi ni zero..

Bila ubinafsishaji hata mabenki leo yangeshakuwa yamekufa zamani sana.

Kwani wewe umeambiwa watabinafsisha kila kitu?
Mkuu hawa sukuma gang wakafuhe ng'ombe tu haya mauala hawa yawezi. Hivi umeme huu wakukatika katika na mdgo usiotosha kwa taifa lote tuutegemee huo huo na hiyo miradi inayojengwa na uhitaji wa jamii kwa ujumla hautoshi kabisa. Ni jambo jema serikali ikitafuta wazalishaji wengine ili tupate nishati kwa wingi na kwa bei zitashuka pia uhakika utakuepo. Katika dunia ya ubepari hawajui kuwa ushindani ndio huleta maendeleo na upatikanaji wa huduma muhimu kwa wakati na kila.sehemu
 
Usikariri maisha mkuu, nyakati hazirudi nyuma zinakwenda mbele. Mambo ya SU kwa maana ya shirika la umaa yanakwenda yakipoteza umuhimu.

Uwekezaji maana yake ni matumizi makubwa ya nishati, unaongelea viwanda vya kisasa na ni vingi kwa wakati mmoja.

Unaongelea treni za umeme zinazokwenda kuendesha nchi. TANESCO isipoletewa mshindani basi na ifanyiwe mapinduzi makubwa ya kiutendaji ili liwe ni shirika lenye tija kwa Taifa.
 
Acha hasira. Kwani ugomvi. Umeme nao pia kuwepo na wazalishaji wengi ili bei iwe elekezi kwa walaji na huduma iwr ya uhakika na iwafikie watu kwa wingi. Katika ubepari ushindani ndio msingi wao.
Umeelewa kweli hapo?
 
Mkuu hawa sukuma gang wakafuhe ng'ombe tu haya mauala hawa yawezi. Hivi umeme huu wakukatika katika na mdgo usiotosha kwa taifa lote tuutegemee huo huo na hiyo miradi inayojengwa na uhitaji wa jamii kwa ujumla hautoshi kabisa. Ni jambo jema serikali ikitafuta wazalishaji wengine ili tupate nishati kwa wingi na kwa bei zitashuka pia uhakika utakuepo. Katika dunia ya ubepari hawajui kuwa ushindani ndio huleta maendeleo na upatikanaji wa huduma muhimu kwa wakati na kila.sehemu
Umeme tulio nak sasa hivi ni MW1700 na juzijuzi ktk kipindi kilichorushwa na tv matumizi halisi hayazidi MW1400. Wewe UNATOKEA NCHI GANI KINACHOTAKIWA NI MIUNDOMBINU KUIMARISHWA MAANA MINGINE NI CHAKAVU. Sasa hii ndio ifanye TANESCO IUZWE? HALAFU TUNASUBIRI BWAWA NA WENYE UJUZI WA KUZALISHA UMEME WA MAJI NI TANESCO!!!
 
Jibu la mada yako ni kwamba:-
NDIYO. Anayoyafanya Makamba yana baraka za rais Samia. Unasemaje sasa?
 
Umeme tulio nak sasa hivi ni MW1700 na juzijuzi ktk kipindi kilichorushwa na tv matumizi halisi hayazidi MW1400. Wewe UNATOKEA NCHI GANI KINACHOTAKIWA NI MIUNDOMBINU KUIMARISHWA MAANA MINGINE NI CHAKAVU. Sasa hii ndio ifanye TANESCO IUZWE? HALAFU TUNASUBIRI BWAWA NA WENYE UJUZI WA KUZALISHA UMEME WA MAJI NI TANESCO!!!
Kwani watu wote Tanzania washaunganishwa na umeme.? Asilimia kubwa ya watz wapo gizani. Na muda unapo kwenda ndivyo mahitaki yataongezeka. Na kingine umeme wa maji hautabiriki kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Mbona unasahua kupambanua.
 
waachwe wengine wazalishe lakini si kuliuza shirika.
Kwani likibinafsishwa si taifa litapata faida. Benk zilipo binafsishwa wajuaji mlisemaje..? Kuchukua kodi za watz na kuendeshea shirika au kulibinafsisha afu serikali ichukue kodi kipi bora.? Tenesco ndilo shirika linaloongoza kwa madeni mbona hujaliangalia hilo.?
 
Huna elimu kabisa
 
Huna elimu kabisa
Wewe nsio huna elimu bali una vyeti ambavyo havina faida.
Zilipo binafsishwa benk mbalimbali ulikua wapi.? Zile benki now zinasaidia wajasiriamali kwa mikopo nafuu. Unadhani zingekua zina endeshwa na serikali tungekopeshwa kwa riba nafuu.? Acha umaamuma.
 
Huyo baba wa Taifa aliwafanga kuwa maskini na mandezi ndio maana mnachoweza ni kulaumu na kulalamika ila ufanisi ni zero.

Bila ubinafsishaji hata mabenki leo yangeshakuwa yamekufa zamani sana.

Kwani wewe umeambiwa watabinafsisha kila kitu?
Tanesco imekufa wapi kama sio kuanza kufa ktk kipindi hiki cha walaji na mafisadi!

Enewei! Endelea kubweka maana ndio kazi yako uloajiliwa kuwabekea wanaoenda kinyume na mipango ya wanaokulipa
 
Back
Top Bottom