Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanasheria na rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi, ameibua hoja nzito kuhusu mchakato wa maridhiano, akisisitiza kuwa Ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumika kama...
6 Reactions
9 Replies
366 Views
Nash MC(Maalimu) awakumbuka wote waliokufa 29.10.2025. Sasa ujumbe ushahifadhiwa.. Tutahakikisha walioua wote hawalali kwa Amani.. Damu za watoto wetu zinawalilia.. Damu zimegoma kukauka...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Taasisi za mikopo ya mauzo nje za Sweden (Sweden’s export-credit institutions) zinatarajiwa kukamilisha makubaliano ya ufadhili kwa sehemu za tatu na nne (Lots 3 na 4) za reli ya kisasa ya...
1 Reactions
12 Replies
457 Views
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameandika historia ya aina yake kwenda Dodoma kufanya ziara, ambapo ametumia njia ya barabara na kufanya mikutano kadhaa katika mikoa yote ya njiani ya Pwani na...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 27 wakati Asasi 14 za kiraia zikitoa msimamo wao kuhusu ripoti ya Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani Oktoba 29, Wakili Jebra Kambole...
1 Reactions
5 Replies
261 Views
Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery) mkoani Tanga si ndoto tena, bali ni fursa halisi ya uwekezaji wa kimkakati inayo kusubiri. Uwepo wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...
7 Reactions
84 Replies
4K Views
NIMESOMA mtandaoni andiko la mwanasheria Mkuu wa Chama Cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wakili msomi na DR. Rugemeleza Nshalla (PhD) Katika andiko lake mitandaoni DR.Rugemeleza sababu (11)...
0 Reactions
15 Replies
405 Views
Wakili Peter Madelekea amesema akiambiwa anamuamini nani kati ya Rais Samia na Jaji Chande yeye atasema anamwamini Rais Samia Mimi siwezi kumuamini Chande kwa sababu vyanzo vya taarifa vya Chande...
2 Reactions
9 Replies
345 Views
Mama Samia ataunda tume kila siku bila haki ni kazi bure matatizo hayataisha kwa tume za michongo na kukusanya makada ambao ni machawa. Kama unataka kusaidia hii nchi ni kuweka katiba ambayo...
3 Reactions
27 Replies
332 Views
Unamjua lakini? Ni kijana aliyezaliwa mwaka 1981. Haiba yake na sura yake haviendani na umri mdogo alio nao. Kwa nini? Amejaa ganzi na gesi zinazomfanya ajisikie kuripuka kila wakati. Fikiria...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Yaan kwamba una Jeshi la Polisi, Una TISS , lkn bado Wananchi wako wanatekwa kwa sababu za Mapenzi na Kishirikina Yaan kwa Chande yeye, Ukitekwa kisa Mapenzi, au ushirikina , aaahhhhhh ni sawa tu...
5 Reactions
12 Replies
373 Views
WAZIRI KOMBO ATETA NA BALOZI MKINGULE, AMHIMIZA KUIMARISHA MAHUSIANO YA TANZANIA NA CUBA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)...
0 Reactions
1 Replies
133 Views
"Heela! Itafakari nchi inayoinua mkono na kumwaga damu ya Mwafrika mwenzake, kwa kisingizio dhaifu kuwa mgeni anachuma matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa kuituliza. Ni fedheha kuona ubaguzi...
3 Reactions
35 Replies
496 Views
Wakili Peter Madelekea ameyasema hayo leo Aprili 27, 2026 wakati akichambua ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
1 Reactions
2 Replies
152 Views
Wakili Peter Madelekea ameyasema hayo leo Aprili 27, 2026 wakati akichambua ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025
0 Reactions
1 Replies
120 Views
Asasi za Kiraia (AZAKI) zimetoa uchambuzi wa awali wa ripoti ya Tume ya Jaji Chande iliyochunguza matukio ya ghasia yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Wametaka...
1 Reactions
4 Replies
153 Views
Wakuu, Mambo ni motooo, wajinga wate wanawekwa kando, huwezi ukawa mpuuzi halafu watu wakuangalie tu... akaungane na mboga mboga kushangilia mauaji ya Oktoba 29! ====== Mwanachama na...
6 Reactions
36 Replies
929 Views
Hamjambo! 1. Kama Mtibeli jukumu langu ni kuwafundisha.. 2. Kwenye Saikolojia kuna kanuni za kumaintain power na kubaki na heshima. Bila kutumia nguvu na mabavu. 3. Hapa nazungumzia Stoicism...
3 Reactions
19 Replies
360 Views
Kupitia ukurasa wa LHRC wamechapisha taarifa hii; Asasi za kiraia na watetezi wa haki za binadamu tuna jukumu kubwa katika jamii la kulinda na kutetea haki za binadamu, pamoja na kufuatilia...
2 Reactions
3 Replies
228 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…