Huyu ndio John Heche

Huyu ndio John Heche

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,800
Reaction score
27,928
Unamjua lakini? Ni kijana aliyezaliwa mwaka 1981. Haiba yake na sura yake haviendani na umri mdogo alio nao. Kwa nini? Amejaa ganzi na gesi zinazomfanya ajisikie kuripuka kila wakati.

Fikiria, ni kijana anayetoka eneo lililobarikiwa na Mungu madini ya kutosha ya dhahabu. Akili yake isivyoweza kuona mbali, amejiweka kwenye harakati za kuichafua nchi yake badala ya kukamata fursa. Ni mwanasiasa aliyefilisika katika mambo yafuatayo:

1. Alitaka kuwa Chacha Wangwe mpya. Watanzania walimshtukia mapema na kumweka sehemu anayostahili.

2. Alishiriki kampeni ya kumpaka matope Freeman Mbowe kwa kumsaidia Tundu Lissu kuendesha kampeni ya kumdhalilisha mwenyekiti wake. Juhudi zake hizo, zimekigawa chama chake na baadhi ya viongozi kukimbilia kwingineko.

3. Anatamani Tundu Lissu aendelee kukaa ndani ili atumie nafasi hiyo kuongoza chama chake kwa kipindi kirefu.

4. Anatamani kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Kila akimtazama Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba anazidi kuumia roho, akihisi yeye ndiye angefaa kuchukua nafasi hiyo. Uwaziri Mkuu ni nafasi yenye heshima yake; siyo ya wavuta bangi wa milimani.

5. Alianzisha kampeni haramu ya kuwakimbiza wawekezaji wa uchimbaji wa madini wa Kampuni ya North Mara huko kwao Nyamango, akiwahamasisha vijana kuvamia mgodi kila mara. Kiu yake ya kutafuta umaarufu kwa gharama ya damu za watu iliendelea kumwanika vibaya kama mwanasiasa aliyefilika.

6. Ni mwanasiasa anayehamasisha siasa za chuki na kutumia damu za watanzania ili kufikia maslahi yake ya kisiasa.

7. Ni mwanasiasa anayeamini kuwa Tanzania inatakiwa kuongozwa na umoja wa mataifa – msimamo unaoanika akili kisoda alizo nazo. Anajitoa akili kuwa alitaka kuzuia uchaguzi ambao chama chake hakikushiriki na akashindwa. Kumbe yeye na chama chao walikuwa wanaamini kuwa nchi yetu inapaswa kukabidhiwa umoja wa mataifa. Imagine!

USSR
 
Unamjua lakini? Ni kijana aliyezaliwa mwaka 1981. Haiba yake na zura yake haviendani na umri mdogo alio nao. Kwa nini? Amejaa ganzi na gesi zinazomfanya ajisikie kuripuka kila wakati. Fikiria, ni kijana anayetoka eneo lililobarikiwa na Mungu madini ya kutosha ya dhahabu. Akili yake isivyoweza kuona mbali, amejiweka kwenye harakati za kuichafua nchi yake badala ya kukamata fursa. Ni mwanasiasa aliyefilisika katika mambo yafuatayo:

Zamani maandiko kama haya yalikuwa ya wanawake kwa wanawake

Ni aibu mwanaume kumwandika mwanaume mwenzako kwa wivu mkubwa
 
Mama yako kahama pale Buguruni Kimboka?, maana nataka nipite mara moja
 
Hatutoki kwenye reli tuko na nyinyi mnakula strays za kutosha Chande na Machande wake..
20260424_142328.jpg
 
Unamjua lakini? Ni kijana aliyezaliwa mwaka 1981. Haiba yake na sura yake haviendani na umri mdogo alio nao. Kwa nini? Amejaa ganzi na gesi zinazomfanya ajisikie kuripuka kila wakati.

Fikiria, ni kijana anayetoka eneo lililobarikiwa na Mungu madini ya kutosha ya dhahabu. Akili yake isivyoweza kuona mbali, amejiweka kwenye harakati za kuichafua nchi yake badala ya kukamata fursa. Ni mwanasiasa aliyefilisika katika mambo yafuatayo:

1. Alitaka kuwa Chacha Wangwe mpya. Watanzania walimshtukia mapema na kumweka sehemu anayostahili.

2. Alishiriki kampeni ya kumpaka matope Freeman Mbowe kwa kumsaidia Tundu Lissu kuendesha kampeni ya kumdhalilisha mwenyekiti wake. Juhudi zake hizo, zimekigawa chama chake na baadhi ya viongozi kukimbilia kwingineko.

3. Anatamani Tundu Lissu aendelee kukaa ndani ili atumie nafasi hiyo kuongoza chama chake kwa kipindi kirefu.

4. Anatamani kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Kila akimtazama Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba anazidi kuumia roho, akihisi yeye ndiye angefaa kuchukua nafasi hiyo. Uwaziri Mkuu ni nafasi yenye heshima yake; siyo ya wavuta bangi wa milimani.

5. Alianzisha kampeni haramu ya kuwakimbiza wawekezaji wa uchimbaji wa madini wa Kampuni ya North Mara huko kwao Nyamango, akiwahamasisha vijana kuvamia mgodi kila mara. Kiu yake ya kutafuta umaarufu kwa gharama ya damu za watu iliendelea kumwanika vibaya kama mwanasiasa aliyefilika.

6. Ni mwanasiasa anayehamasisha siasa za chuki na kutumia damu za watanzania ili kufikia maslahi yake ya kisiasa.

7. Ni mwanasiasa anayeamini kuwa Tanzania inatakiwa kuongozwa na umoja wa mataifa – msimamo unaoanika akili kisoda alizo nazo. Anajitoa akili kuwa alitaka kuzuia uchaguzi ambao chama chake hakikushiriki na akashindwa. Kumbe yeye na chama chao walikuwa wanaamini kuwa nchi yetu inapaswa kukabidhiwa umoja wa mataifa. Imagine!

USSR
Mkiambiwa bangi mbaya mnabisha. Sasa akili inakutuma kujadili mambo ya mwanaume mwenzio tena kwa uongo. Unadhani mwisho wa siku si inaweza kukutuma kudin..nywa
 
Nyinyi ndio uhalisi wa elimu ya kibongo, empty sets
Kwanini asijadiliwe kama ameamua kuwa mwanasiasa, angekaa ndani amsaidie mke wake kusonga ugali hakuna mtanzania hata mmoja angemjua, ndio nyinyi mnaleta mada kwenye jukwaa huru la kijamii hapa JF mkipigwa madongo mnaanza kulialia na kukasirikia kuwa wachangiaji kwanini wamekuja kwenye mada yako utafikiri ni mtandao wako na familia yako
 
7. Ni mwanasiasa anayeamini kuwa Tanzania inatakiwa kuongozwa na umoja wa mataifa – msimamo unaoanika akili kisoda alizo nazo. Anajitoa akili kuwa alitaka kuzuia uchaguzi ambao chama chake hakikushiriki na akashindwa. Kumbe yeye na chama chao walikuwa wanaamini kuwa nchi yetu inapaswa kukabidhiwa umoja wa mataifa. Imagine
Ajabu ni kuwa unapata muda wa kupoteza kuandika takataka kama hii.

Kwa vile unao muda, nakupa kazi ulete hapa jamvini andiko juu ya Samia Suluhu Hassan; ukijikita katika tabia zake za ulaghai mwingi, uongo na utapeli.

Hiyo itakuwa ni kazi nyepesi sana, kuliko ulivyohangaika hapa na mambo yasiyomhusu kabisa John Heche.
 
Nyinyi ndio uhalisi wa elimu ya kibongo, empty sets
Kwanini asijadiliwe kama ameamua kuwa mwanasiasa, angekaa ndani amsaidie mke wake kusonga ugali hakuna mtanzania hata mmoja angemjua, ndio nyinyi mnaleta mada kwenye jukwaa huru la kijamii hapa JF mkipigwa madongo mnaanza kulialia na kukasirikia kuwa wachangiaji kwanini wamekuja kwenye mada yako utafikiri ni mtandao wako na familia yako
Ukiondoa hiyo "empty sets" kwa maana ya kwamba haina maana yoyote kuhusu "elimu";
leo nakubaliana nawe kwenye baadhi ya uliyoandika huko chini..

Najiandaa kumchambua Samia Suluhu Hassan kama mtu laghai na tapeli mkbwa asiyestahili hata mara moja kuwa kiongozi wa nchi mahali popote.
Nitakukaribisha uchangie mada hiyo itakapoletwa hapa jukwaani.
 
Unamjua lakini? Ni kijana aliyezaliwa mwaka 1981. Haiba yake na sura yake haviendani na umri mdogo alio nao. Kwa nini? Amejaa ganzi na gesi zinazomfanya ajisikie kuripuka kila wakati.

Fikiria, ni kijana anayetoka eneo lililobarikiwa na Mungu madini ya kutosha ya dhahabu. Akili yake isivyoweza kuona mbali, amejiweka kwenye harakati za kuichafua nchi yake badala ya kukamata fursa. Ni mwanasiasa aliyefilisika katika mambo yafuatayo:

1. Alitaka kuwa Chacha Wangwe mpya. Watanzania walimshtukia mapema na kumweka sehemu anayostahili.

2. Alishiriki kampeni ya kumpaka matope Freeman Mbowe kwa kumsaidia Tundu Lissu kuendesha kampeni ya kumdhalilisha mwenyekiti wake. Juhudi zake hizo, zimekigawa chama chake na baadhi ya viongozi kukimbilia kwingineko.

3. Anatamani Tundu Lissu aendelee kukaa ndani ili atumie nafasi hiyo kuongoza chama chake kwa kipindi kirefu.

4. Anatamani kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Kila akimtazama Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba anazidi kuumia roho, akihisi yeye ndiye angefaa kuchukua nafasi hiyo. Uwaziri Mkuu ni nafasi yenye heshima yake; siyo ya wavuta bangi wa milimani.

5. Alianzisha kampeni haramu ya kuwakimbiza wawekezaji wa uchimbaji wa madini wa Kampuni ya North Mara huko kwao Nyamango, akiwahamasisha vijana kuvamia mgodi kila mara. Kiu yake ya kutafuta umaarufu kwa gharama ya damu za watu iliendelea kumwanika vibaya kama mwanasiasa aliyefilika.

6. Ni mwanasiasa anayehamasisha siasa za chuki na kutumia damu za watanzania ili kufikia maslahi yake ya kisiasa.

7. Ni mwanasiasa anayeamini kuwa Tanzania inatakiwa kuongozwa na umoja wa mataifa – msimamo unaoanika akili kisoda alizo nazo. Anajitoa akili kuwa alitaka kuzuia uchaguzi ambao chama chake hakikushiriki na akashindwa. Kumbe yeye na chama chao walikuwa wanaamini kuwa nchi yetu inapaswa kukabidhiwa umoja wa mataifa. Imagine!

USSR
Hoja zote hazina ukweli, wachilia mashiko. Kukulia katika eneo lenye madini, na lililoghubikwa na umasikini, ni kichocheo la kila mwenye akili timamu kuwa kama yeye ili kuhakikisha rasilimali zozote., popote zinamnufaisha aliye nazo, sio kinyume.
Kaanza kujihusisha na harakati miongo kadhaa iliyopita, kama kupishana kimtazamo alianza na akina Magufuli, wewe unaongelea mtu aliyepewa uwaziri juzi?
Kila chenye mwanzo kina mwisho, Mbowe ulitaka awe mwenyekiti milele? Kwa kufanya uchaguzi, chama chao kimeonesha kweli na uhalisia wa kuitwa ni cha kidemokrasia.
Kuwa mahabusu kwa mwenyekiti wao, kunahusiana vipi na yeye? Yeye alimkamata, alimbambikia kosa lisilo na dhamana, ndiye anayeendesha mashtaka mahakamani? Uje kwa jinsi tofauti ya kumshutumu mtu, kama una tatizo naye binafsi, pengine utafute na njia tofauti ya kumuelezea, ila si kwa shuta zisizo na uhalisia.
 
Unamjua lakini? Ni kijana aliyezaliwa mwaka 1981. Haiba yake na sura yake haviendani na umri mdogo alio nao. Kwa nini? Amejaa ganzi na gesi zinazomfanya ajisikie kuripuka kila wakati.

Fikiria, ni kijana anayetoka eneo lililobarikiwa na Mungu madini ya kutosha ya dhahabu. Akili yake isivyoweza kuona mbali, amejiweka kwenye harakati za kuichafua nchi yake badala ya kukamata fursa. Ni mwanasiasa aliyefilisika katika mambo yafuatayo:

1. Alitaka kuwa Chacha Wangwe mpya. Watanzania walimshtukia mapema na kumweka sehemu anayostahili.

2. Alishiriki kampeni ya kumpaka matope Freeman Mbowe kwa kumsaidia Tundu Lissu kuendesha kampeni ya kumdhalilisha mwenyekiti wake. Juhudi zake hizo, zimekigawa chama chake na baadhi ya viongozi kukimbilia kwingineko.

3. Anatamani Tundu Lissu aendelee kukaa ndani ili atumie nafasi hiyo kuongoza chama chake kwa kipindi kirefu.

4. Anatamani kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Kila akimtazama Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba anazidi kuumia roho, akihisi yeye ndiye angefaa kuchukua nafasi hiyo. Uwaziri Mkuu ni nafasi yenye heshima yake; siyo ya wavuta bangi wa milimani.

5. Alianzisha kampeni haramu ya kuwakimbiza wawekezaji wa uchimbaji wa madini wa Kampuni ya North Mara huko kwao Nyamango, akiwahamasisha vijana kuvamia mgodi kila mara. Kiu yake ya kutafuta umaarufu kwa gharama ya damu za watu iliendelea kumwanika vibaya kama mwanasiasa aliyefilika.

6. Ni mwanasiasa anayehamasisha siasa za chuki na kutumia damu za watanzania ili kufikia maslahi yake ya kisiasa.

7. Ni mwanasiasa anayeamini kuwa Tanzania inatakiwa kuongozwa na umoja wa mataifa – msimamo unaoanika akili kisoda alizo nazo. Anajitoa akili kuwa alitaka kuzuia uchaguzi ambao chama chake hakikushiriki na akashindwa. Kumbe yeye na chama chao walikuwa wanaamini kuwa nchi yetu inapaswa kukabidhiwa umoja wa mataifa. Imagine!

USSR
Umeandika kama Malaya alie nyimwa offer ya BIA 😌😑

NB. MAUMIVU YA KIZIDI MUONE DAKTARI.
 
Mabandiko kama haya ndio yanawafanya wale watu makini waikimbie jf. Jf ya leo ni machawa na watu wenye undindio wa ubongo tu.
 
Back
Top Bottom