Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,096
- 7,128
Wakili Peter Madelekea amesema akiambiwa anamuamini nani kati ya Rais Samia na Jaji Chande yeye atasema anamwamini Rais Samia
Mimi siwezi kumuamini Chande kwa sababu vyanzo vya taarifa vya Chande haviwezi kuwa sawa na vyanzo alivyokuwa navyo Rais, watu wamevuka mpaka Rais anatuambia kutoka nje ya nchi wameingia ndani ya nchi hii miezi sita kabla ya uchanguzi, vyombo vya dola vimekaa tu Amesema Wakili Madeleka
Soma Pia: Madeleka: Tume ya Jaji Chande haikuwa na mamlaka kisheria kumwamrisha pathologist kuchunguza miili ya waliokufa kwa mashaka