Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wafanyakazi walihitaji nyongeza za uhakika. Ila anachofanya sasa ni vituko tu. Kwa maisha haya elfu ishirini itasaidia nini. Watumishi wanaitaji vitendo zaidi. Kwa wastani kila mtumisi kaongezewa...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Nawashangaa Sana hii mifanyakazi ilivyo mibinafsi. Sisi wengine hawatufikirii kabisa inajifikilia yenyewe. Mama achana nao kwanza walipata prevelege ya kuajiriwa tu na siyo lazima tuko wengi...
0 Reactions
2 Replies
744 Views
UPDATES. TAREHE 23/72022 WATUMISHI WALICHOKUTANA NACHO HAWATAKUJA KUSAHAU HIZI NGONJERA ZA KUPOKEA TAARIFA KWA MBWEMBWE MPAKA SERIKALI INATAKA KUTOA UFAFANUZI UPYA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI...
7 Reactions
88 Replies
8K Views
Nimesikia watu wanaojiita wazee wa yanga kuwa eti wanataka kwenda kwa mh Rais Samia kulalamikia hukumu ya Haji Manara kwa makosa aliyofanya yasiyo ya kimaadili. Kwanza nitoe masikitiko yangu...
2 Reactions
2 Replies
603 Views
Hii nimeiona pahala pengi tu kwa mfano Libya Iraq North Korea na hata Hapa Ufipa st nchini Tanzania Ndio najiuliza ni nini hasa huwafanya Wananchi wa kawaida wawapende viongozi wao Madilkteta...
2 Reactions
10 Replies
821 Views
Sio kawaida ya hawa Matarumbeta kushangilia Kila kitu, what happened? Hizi kelele za mitandaoni wangekua wameshasema neno, hii "Nyongeza" wameamua kuikalia kimya, au ni pesa ya vocha? Samia...
0 Reactions
8 Replies
882 Views
Nimesoma mahali kwamba sijui hiyo inayoitwa gesi ya Rostamu kuzuiwa kuwekeza nchini Kenya, kwangu mimi huu ni usanii na naweza hata kwenda mbali kusema kwamba labda ni Uongo mkubwa na kuna vitu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi kwa jina la Ada ya UWAKALA ifutwe. Kujiunga na Vyama vya wafanyakazi libaki kuwa Jambo la hiari. Hii ni DHULMA. Wabunge Wana mishahara ya 3.8M kwanini...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Tunakumbushana tu kwamba hizo ndio Jumuiya za CCM tokea kitambo hapo zinazovuma ni UVCCM na UWT JUWATA ndio Tucta na ina wabunge wa viti maalumu kwenye bunge la JMT wanaosimamia maslahi ya...
1 Reactions
4 Replies
927 Views
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe. Bila shaka mabadiliko...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki siku ya ufungaji wa Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Jijini Arusha Rais wa Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Assalaam aleykum wakuu, Nimeona kuwepo na thread maalum kuelekea kwenye tukio la kihistoria la maandamano na mikutano nchi nzima lililoandaliwa na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA)/UKAWA...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Spika msitaafu bwana Job Ndugai tangu ajihudhuru kila mara anapotajwa au anaposimama bungeni amekuwa akipigiwa makofi ya nguvu sana tofauti na wabunge wengine hii ina maana gani? Kama akili zako...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
RIDHIWANI: SERIKALI YA RAIS SAMIA ITAENDELEA KUPIMA ARDHI ILI KUPAMBANA NA MIGOGORO YA ARDHI. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Rais...
1 Reactions
1 Replies
794 Views
Sijui kuna laana gani huko ndani ya CCM! yaani kila kitokeacho hapa nchini lazima mtie mkono na kuharibu. Sasa huko Arusha na pengine na kwingine pia imeanza kampeni kwamba wanaopewa ajira za...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Zamani kwenye sherehe za Mei mosi kilikuwa kinaongozwa Kima Cha Chini cha Mishahara yaani KCC kwamba ndio kimeongezeka. Mishahara mingine ya ngazi za juu ilirekebishwa kimya kimya Nadhani hata...
2 Reactions
3 Replies
677 Views
Mbunge wa Iringa mjini anayeongoza kwa kuchangia mada za mapenzi Bungeni mweshimiwa Jesca Msambatavangu amekumbana na aibu ya mwaka pale alipohutubia watu 12,katika mkutano wake Mbunge huyu...
46 Reactions
198 Replies
13K Views
RC MAKALLA APOKEA MSAADA WA VITANDA VYA WAGONJWA KUTOKA UJERUMANI. - Ni Vitanda 108, Meza 38 na Vyuma161 kwaajili ya majeruhi wa Ajali. - Avigawanya kwa kila Halmashauri ya Mkoa. - Ampongeza...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno. Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi...
10 Reactions
175 Replies
10K Views
Back
Top Bottom