Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,488
- 2,762
Assalaam aleykum wakuu,
Nimeona kuwepo na thread maalum kuelekea kwenye tukio la kihistoria la maandamano na mikutano nchi nzima lililoandaliwa na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA)/UKAWA
Leo la uzi huu ni kuanza kupeana taarifa za maandalizi ya UKUTA kutoka mikoa tofauti tofauti nchi nzima.
Kupeana ratiba ya maandamano kwenye eneo husika.