Jumuiya za CCM: UVCCM, UWT, Wazazi, Juwata, Ushirika

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,932
141,898
Tunakumbushana tu kwamba hizo ndio Jumuiya za CCM tokea kitambo hapo zinazovuma ni UVCCM na UWT

JUWATA ndio Tucta na ina wabunge wa viti maalumu kwenye bunge la JMT wanaosimamia maslahi ya wafanyakazi

Kabla ya kulalamika Jifunze kwanza historia ya hicho unacholalamikia

Sabato yenye baraka!
 
Alijisemea mzee wa kiraracha (Agustino Mrema ) "hii inji"
 
... wafanyakazi wanatetewa na JUWATA (TUCTA/CCM) ha ha ha! Imekula kwao!
 
Back
Top Bottom