Baada ya Simon Sirro kung'olewa, who is Next?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,299
Reaction score
283,265
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.

Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
 
May be nyuma ya mageti makubwa na ile nyumba nyingine yenye siri kali.
 
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.

Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
Mbowe mbioni kung'olewa
 
Ili asichanganyikiwe "kagawiwa" ubalozi.

mahahara 80% +kiinua mgongo.

gari la kutembelea kutoka serikalini na huduma za vyakula na vinywaji.

ulinzi nyumbani na aendako+escort.

ndugu zangu maskini kama nyinyi ndio mtachanganyikiwa sio hao viongozi.
yaani mtu anapewa chaka ili asiendeee kuiumiza serikali halafu iajiri mtu mwingine sehemu fulani.anapewa yeye.
 
Sukuma gang on the move
 
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.

Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
Inayofiata ni TANESCO🤔
 
Kingai kawa DCI. Usisahau hilo
 
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.

Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
TISS.
Mama anatakiwa afanyekazi na anaowaamini kwani Sukumagang walikuwa kotekote so wakishaondoka hao basi kwani watakuwa chini ya uangalizi.
Hata Sirro kupewa Ubalozi ni sehemu ya uangalizi.
Mwendazake alisisi chama ndani ya chama kwani lazima waondolewe ili kumfanya Kiongozi Mku awe huru ktk utendaji wake.
Mama anafanyia Kazi ktk mazingira magumu hata machinga kuondolewa alishauriwa vibaya ili aendelee kuchukiwa kwani chuki kwake ni kubwa.
Na tukumbuke mama ameridhi madeni makubwa ambayo anayoyalipa ndo maana mambo mengine hayaendi lakini wengine wanaojua hili hawaliongelei
 
Swala la machinga huwezi kusema kashauriwa. Hilo ni swala ambalo lipo na siku zote linatakiwa kutekelezwa ila ni sababu za utu na siasa ndo zinafanyaga lisitimizwe vizuri
 
Back
Top Bottom