Job Ndugai kupigiwa makofi ya nguvu bungeni inatuma ujumbe gani?

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,665
15,055
Spika msitaafu bwana Job Ndugai tangu ajihudhuru kila mara anapotajwa au anaposimama bungeni amekuwa akipigiwa makofi ya nguvu sana tofauti na wabunge wengine hii ina maana gani?

Kama akili zako huwa zinazunguka vizuri huwezi hata kuthubutu tu kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli kwa sababu Samia ametokana na kuaminiwa na Magufuli kwa maneno mengine Samia ni legacy ya Magufuli.
Hata angekuwepo hai Magufuli angefurahia mafaniko ya Rais Samia na kujipiga kifua kwamba anajua kuchagua.

Mafanikio ya mtoto ni furaha kubwa sana kwa wazazi wake, jinsi mtoto anavyofanikiwa ndiyo wazazi wake wanavyozidi kupanda chati na kuheshimika zaidi pia jinsi mtoto anaposhindwa na kuwa wa hovyo ndiyo wazazi wake wanavyozaraulika zaidi.

Kwa maneno mengine wanaoona Magufuli hafai kupitia mafanikio ya Rais Samia ni mbumbumbu, washamba na wasio na akili hata kidogo.

Hivi tuliwatuma kwenda kupigia makofi wanaume wenzao..

Hawa wabunge wamchongo akili zao zinafanana ndio wanao yuletea umasikini kwenye taifa hili
 
Nyani wanapenda sana kuzomea na kukenua
IMG-20191111-WA0001.jpg
 
Ndugai pamoja na kuwa anatoka ukoo wa panya wanaotafuna nchi hii na kuididimiza kwenye umaskini ila ndani yake ni mzalendo halisi na alisema ukweli kuhusu mikopo isiyo na tija kutuangamiza na wanaccm wengi wanajua hilo na wanamkubali!

wabunge wanamshangilia kutoka Moyoni japo mbele za watu na mbele ya Bimkubwa walivyojaa unafki watajifanya kana kwamba comrade aliteleza!
 
Hana uzalendo wowote
 
Back
Top Bottom