Furaha ya Albert Chalamila baada ya kuteuliwa Mkuu wa Mkoa Tabora

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Uteuzi wa Chalamila umetoa Funzo kubwa sana kwa vijana, Baada ya kutenguliwa Chalamila aliendelea kuwa na heshima ndani ya chama chetu cha CCM.

Chalamila aliendelea kuheshimu mamlaka ya uteuzi na aliendelea kuishi maisha ya kawaida ya kujichanganya na watu.

Vijana lazima mjifunze kuheshimu mamlaka na kuheshimu wazee wa chama.

All the best Mr Chalamala.

Tuungane nae kwenye video hii kumpongeza Mr Chalamila.

 
Uteuzi wa Chalamila umetoa Funzo kubwa sana kwa vijana, Baada ya kutenguliwa Chalamila aliendelea kuwa na heshima ndani ya chama chetu cha CCM...
Tuungane kumpongeza malipo ni shilingi ngapi maana nchi ngumu hii? tukubaliane kabisa au alivyoenguliwa ulikaa kimya.... kateuliwa sasa umejidai kutuma post ili kuonesha UNIKUMBUKE MHESHIMIWA???
 
Back
Top Bottom