Albert Chalamila ni kiongozi mwenye msimamo

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,626
3,141
Ki ukweli, nilimkubali sana Chalamila wakati ule wa JPM. Hata sasa namkubali sana tena sana.

Kiongozi lazima uwe na msimamo, lakini pia ni lazima kuchukua hatua kali pale inapobidi.

Hongera sana TINGATINGA kwa kuteuliwa tena kuwa RC.
 
Msimamo upi ss mkuu?

Mbona alienda Kwa Mwamposa kulia kule mpk akaombewa!
Thubutu yake!

We shukuru Mungu kamkumbuka basi,hakuna Cha msimamo wala nn
 
Kama mimi siendi walichomfanyia mwanzo ni uhuni muhuni hata vyombo hakushushs uteuzi ukapigwa juu juu akarudi
 
Back
Top Bottom