Kukosoa safari za Rais kwa kusema anasafiri sana ni upuuzi wa kiwango cha juu

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Kukosoa safari za Rais kwa kusema anasafiri sana ni upuuzi wa kiwango cha juu.

Unajua msituletee legacy za ajabu ajabu hapa.

Safari za nje ni muhimu sana, Binafsi sioni shida ya rais kusafiri madhali ni ziara za kikazi.

Upuuzi ni pale mtu na akili zake unapopinga safari za rais Samia.

Japo sikubaliani na mama kuhusu mambo mengi hili la kupinga safari Big No, mwacheni asafiri tena huko atajifunza na kuelewa umuhimu wa demokrasia tu.

Kipindi cha mwendazake mlipinga sana alivyokua kajifungia na hasafiri nyie nyie mlokua mnalalamika mwendazake kwanini hasafiri mkimtaka asafiri ndo nyie nyie mnaolalamika kuhusu samia kusafiri.

Totoleeni unafiki wenu hapa,Mnatuletea mambo ya mwendazake ya kujifungia na kutosafiri?Kwahiyo mnataka mama afuate nyayo za yule jamaa?Big No hakuna kufuata legacy za hovyo hovyo hapa.

Mama na mwendazake sio kitu kimoja na haitokaa itokee Unguja na Chato iwe kitu kimoja?Big No..

Sipendagi ujinga mimi mwacheni mama asafiri, msituletee legacy za ajabu ajabu hapa.
 
HATA MIMI NAOMBEA KWA ANGALAU SIKU 200 ZA MWAKA AWE NJE YA NCHI ILI KUPATA EZPOSURE..HATA MIMI SASA NIKO KWENYE MSAFALA MAMBO SUPER...TUKIENDA HIVI ANGALUA TUKAWA TUNASPENDA AIKU 200 KATI YA MIATATU 60 KWA MWAKA ITAPENDEZA SANA
 
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kumtetea huyo bibi,kwa nini usiseme watu waliokuwa wanapinga safari za Kikwete ndo wanapinga safari za Chief Hangaya
 
Ma- Rais chunguzima wa Africa wamesafiri kwenye kikao hiki. Kwanini wetu asisafiri ?

Hawa wanaopinga kwa kizingizio cha kubana matumizi ni Washamba sawa na mwendazake
 
Kada nyingi tu lazima kuwe na muongozo husika wa kazi kuanzia afya mpaka idara nyingine tatzo polisi wanafanya kazi kwa mazoea na hii si polisi tu bali hata kada nyingine kuna hilo tatzo la kufanya kazi kwa mazoea
 
Kukosoa safari za Rais kwa kusema anasafiri sana ni upuuzi wa kiwango cha juu

Unajua msituletee legacy za ajabu ajabu hapa

Safari za nje ni muhimu sana, Binafsi sioni shida ya rais kusafiri madhali ni ziara za kikazi,

Upuuzi ni pale mtu na akili zake unapopinga safari za rais Samia

Japo sikubaliani na mama kuhusu mambo mengi hili la kupinga safari Big No, mwacheni asafiri tena huko atajifunza na kuelewa umuhimu wa demokrasia tu

Kipindi cha mwendazake mlipinga sana alivyokua kajifungia na hasafiri nyie nyie mlokua mnalalamika mwendazake kwanini hasafiri mkimtaka asafiri ndo nyie nyie mnaolalamika kuhusu samia kusafiri

Totoleeni unafiki wenu hapa,Mnatuletea mambo ya mwendazake ya kujifungia na kutosafiri?Kwahiyo mnataka mama afuate nyayo za yule jamaa?Big No hakuna kufuata legacy za hovyo hovyo hapa

Mama na mwendazake sio kitu kimoja na haitokaa itokee Unguja na Chato iwe kitu kimoja?Big No....

Sipendagi ujinga mimi mwacheni mama asafiri, msituletee legacy za ajabu ajabu hapa
Daaah...! Aisee watu Kama nyie Ni hatari Sana kwa afya ya Taifa.
 
Kipindi cha mwendazake mlipinga sana alivyokua kajifungia na hasafiri nyie nyie mlokua mnalalamika mwendazake kwanini hasafiri mkimtaka asafiri ndo nyie nyie mnaolalamika kuhusu samia kusafiri
Hapa Mkuu,umemaliza kila kitu,yaani wale pinga pinga watakua wamejidharau wao wenyewe.
 
Kukosoa safari za Rais kwa kusema anasafiri sana ni upuuzi wa kiwango cha juu

Unajua msituletee legacy za ajabu ajabu hapa

Safari za nje ni muhimu sana, Binafsi sioni shida ya rais kusafiri madhali ni ziara za kikazi,

Upuuzi ni pale mtu na akili zake unapopinga safari za rais Samia

Japo sikubaliani na mama kuhusu mambo mengi hili la kupinga safari Big No, mwacheni asafiri tena huko atajifunza na kuelewa umuhimu wa demokrasia tu

Kipindi cha mwendazake mlipinga sana alivyokua kajifungia na hasafiri nyie nyie mlokua mnalalamika mwendazake kwanini hasafiri mkimtaka asafiri ndo nyie nyie mnaolalamika kuhusu samia kusafiri

Totoleeni unafiki wenu hapa,Mnatuletea mambo ya mwendazake ya kujifungia na kutosafiri?Kwahiyo mnataka mama afuate nyayo za yule jamaa?Big No hakuna kufuata legacy za hovyo hovyo hapa

Mama na mwendazake sio kitu kimoja na haitokaa itokee Unguja na Chato iwe kitu kimoja?Big No....

Sipendagi ujinga mimi mwacheni mama asafiri, msituletee legacy za ajabu ajabu hapa
Asante!
 
Japo sikubaliani na mama kuhusu mambo mengi hili la kupinga safari Big No, mwacheni asafiri tena huko atajifunza na kuelewa umuhimu wa demokrasia tu
Safari zinakusaidia nini wewe std seven wameshafanya mitihan na hakuna mahala madarasa yanajengwa...

Subiri.
 
Kukosoa safari za Rais kwa kusema anasafiri sana ni upuuzi wa kiwango cha juu.

Unajua msituletee legacy za ajabu ajabu hapa.

Safari za nje ni muhimu sana, Binafsi sioni shida ya rais kusafiri madhali ni ziara za kikazi.

Upuuzi ni pale mtu na akili zake unapopinga safari za rais Samia.

Japo sikubaliani na mama kuhusu mambo mengi hili la kupinga safari Big No, mwacheni asafiri tena huko atajifunza na kuelewa umuhimu wa demokrasia tu.

Kipindi cha mwendazake mlipinga sana alivyokua kajifungia na hasafiri nyie nyie mlokua mnalalamika mwendazake kwanini hasafiri mkimtaka asafiri ndo nyie nyie mnaolalamika kuhusu samia kusafiri.

Totoleeni unafiki wenu hapa,Mnatuletea mambo ya mwendazake ya kujifungia na kutosafiri?Kwahiyo mnataka mama afuate nyayo za yule jamaa?Big No hakuna kufuata legacy za hovyo hovyo hapa.

Mama na mwendazake sio kitu kimoja na haitokaa itokee Unguja na Chato iwe kitu kimoja?Big No..

Sipendagi ujinga mimi mwacheni mama asafiri, msituletee legacy za ajabu ajabu hapa.
KIKWETE alizurura sana ila hatukuona chochote watu walienda ulaya kama chuoni

Sasa hivi samia anasafari 9 ndani ya miezi sita wakati Joe BADENI rais wa malekani amesafiri nje mara tatu tangu aingie nadhani tuache uongo kuzurura kwa viongozi wa africa ni kukosa maono
Mfano RAIS DANEIL ARAP MOYI

ALITAWALA KENYA MIAKA 24 ILA UHURU KENYATTA ANA MIAKA 8 TU AMESAFIRI MARA NYINGI NJE YA JE TUJIULIZE

KATI YA ARAP MOYI NA UHURU NANI KAFANYA MENGI NADHANI DANIEL ARAP MOYI KAFANYA MENGI NA YAKUIGWA
MCHUKUE JAKAYA NA MAGUFULI ndio utaona sasa kikwete hii nchi aliimariza kabisa

Nadhani huo uongozi wa kuzurara na ndege walizonunua wenzio sio vizuri tunaitaji kuona cha samia hata kimoja
Ndani ya miezi sita magufuli alijenga barabara kwa kuahirisha maazimisho ya uhuru tuliona raisi anawaongoza watanzania kufanya usafi magu baba alituvusha na korona magu alikuja na dhana ya kuchapa kazi
Kwel uwajibikaji ulikuwa kwa kila mtu

Sasa hii wapi sasa kila kukicha malawi , zambia uganda , kenya

Hatuoni hata matokeo hakuna mtafutaji anaye zunguka HUU NI ULAJI WA BATA SANA
 
Kukosoa safari za Rais kwa kusema anasafiri sana ni upuuzi wa kiwango cha juu.

Unajua msituletee legacy za ajabu ajabu hapa.

Safari za nje ni muhimu sana, Binafsi sioni shida ya rais kusafiri madhali ni ziara za kikazi.

Upuuzi ni pale mtu na akili zake unapopinga safari za rais Samia.

Japo sikubaliani na mama kuhusu mambo mengi hili la kupinga safari Big No, mwacheni asafiri tena huko atajifunza na kuelewa umuhimu wa demokrasia tu.

Kipindi cha mwendazake mlipinga sana alivyokua kajifungia na hasafiri nyie nyie mlokua mnalalamika mwendazake kwanini hasafiri mkimtaka asafiri ndo nyie nyie mnaolalamika kuhusu samia kusafiri.

Totoleeni unafiki wenu hapa,Mnatuletea mambo ya mwendazake ya kujifungia na kutosafiri?Kwahiyo mnataka mama afuate nyayo za yule jamaa?Big No hakuna kufuata legacy za hovyo hovyo hapa.

Mama na mwendazake sio kitu kimoja na haitokaa itokee Unguja na Chato iwe kitu kimoja?Big No..

Sipendagi ujinga mimi mwacheni mama asafiri, msituletee legacy za ajabu ajabu hapa.
Usipanic bwamdogo

Taja nchi Afrika imeendelea kwa sababu ya Safari za Rais

Taja nchi Afrika haijaendelea kwa sababu Rais hasafiri

Tueleze Safari ngapi za marais wa USA, CHINA, JAPAN na nchi zingine ndizo zimeleta maendeleo

Ingekuwa kusafiri ni maendeleo, Basi Marais wangegongana huko angani
 
Back
Top Bottom