Ipi ni siasa bora!

Poker

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
5,295
14,130
Siasa ni nini tuanzie hapo kwanza. Siasa ni shughuli za kumuinua mtu hadhi yake au nguvu yake katika taasisi fulani. Je kiserikali siasa ina maana gani? Hapa tunaona siasa ni shughuli za kichama kupata nguvu kuongoza eneo au nchi.
Sasa umewahi kujiuliza siasa ina faida gani katika nchi yetu na ipi siasa bora? Je wafahamu political science inazungumzaje kuhusu political system ya nchi husika?
Kuna aina 3 ya siasa katika utawala wa nchi
1- Authoritarian
2-Monarchy
3-Democracy
Je hapa Tanzania tuna system ipi kati ya authoritarianism na domecracy?
Tanzania tuna authoritarianism system ambapo maamuzi yote yako centered kwa kikundi cha watu fulani. Wengi wetu hatu uhuru wa kuongea au hata kuandika. Tumetawaliwa na fikra na nidhamunza uwoga kwa viongozi wetu. Hatuna ruksa ya kuhoji wala kukosoa, bali kusifia hata yasiyofaa ijapokuwa hatupo kwenye totalitarian government ila tujikwamwue tusifike huko na kuwa kama korea ya kaskazini bali tuwe taifa lenye democrasia na haki kwa kila mmoja wetu. Hio ndio siasa bora.
 
Back
Top Bottom