Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Marato Sinda, Dar es Salaam Kampuni ya Kimataifa ya huduma ya Kontena Tanzania (TICTS) inadaiwa kushindwa kutekeleza makujukumu yake na wadau wa sekta za biashara na usafirishaji ambao...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Watanzania wanasoma ili wapate Vyeti siyo maarifa ndio sababu Watu wanaoteuliwa ni wale wale Waliotumbuliwa Mfano mzuri ni Chadema hakuna mwanachama mwenye maarifa na ubunifu kumzidi Freeman...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
KAZI INAENDELEA, RAIS SAMIA KUZINDUA MRADI WA MAJI WA MBALIZI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI ASUBUHI HII SAA 5. Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa Agosti 05, 2022 anatarajia Kuzindua...
2 Reactions
2 Replies
943 Views
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Kasulu leo Agosti 3, 2022, kuhusu utekelezaji wa Bajeti ya ofisi hiyo kwa Mwaka 2021/22 na Mwelekeo wa Bajeti ya Mwaka 2022/23. Waziri Ndalichako alisema...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema rushwa imekithiri na kuota mizizi katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) kiasi cha madaktari kuombana rushwa wenyewe kwa wenyewe. Ummy...
0 Reactions
1 Replies
768 Views
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Mbarawa amesema mkataba wa TICTS pale Bandari unabisha September 2022 na ni wakati huo Wananchi watajulishwa kama mkataba unahuishwa ama la Mungu ni mwema...
0 Reactions
14 Replies
997 Views
Kupitia katika taarifa mbalimbali za kiuchumi bandari ya Dar es salaam imeonekana kuipiku bandari ya Mombasa kwa upakuaji wa mizigo takwimu zinaonyesha bandari ya Dar imepanda uzalishaji kwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Utata umeibuka kuhusu ujenzi wa jengo la biashara linalojengwa katika eneo la Ndovu jijini Arusha baada ya halmashauri ya jiji kuzuia ujenzi huo lakini mmiliki wake ambaye hajajulikana amekaidi na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Tanzania itapunguza Gharama za Umeme maradufu ili kuwapa unafuu Wananchi na kuwaletea Maendeleo ya haraka Hayo yamesemwa katika Kongamano la Wadau wa Nishati lililohudhuriwa na Waziri mkuu mh...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Ukiona jinsi hospitali binafsi zinavyozidisha gharama za matibabu kwa mgonjwa mwenye kadi ya bima hasa NHIF huoni future NHIF. Gharama za OPD yaani wagonjwa Wa nje ambao hawajalazwa ni kubwa mno...
14 Reactions
69 Replies
5K Views
Anaandika Mbunge wa Kigoma, Zitto Kabwe. Jambo moja linanisumbua sana. Nisaidieni tafadhali Inawezekanaje Serikali ikasaini mkataba wa shilingi Trilioni 7 kujenga Reli bila kuweka vifungu vya...
96 Reactions
259 Replies
30K Views
Alitumbuliwa Marehemu Mwele Malechela kwa kusimamia tu profession yake ikapelekea kutumbuliwa eti ateseke Akatumbuliwa Rawrence Mafuru kwa kusema tu serikali kujiondoa kwenye mfumo wa benki...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Fikiria chama kinaweza kumpa mtu kesi ya kuua. Ili ahukumiwe kifo au jela maisha. Fikiria chama hiki kinaweza kumpa mtu kesi ya ugaidi. Kikashirikiana na polisi na mwenyekiti wa hicho chama...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi Tanzania ni Kanda ya Ziwa Pekee? Nani kamdanganya Rais kiasi kwamba ziara zinafanywa mikoa ya huko tuu? Mh.Rais toka umekuwa Rais wetu umetembelea Mwanza, Mara...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wana Jamvi? Naomba kuleta kwenu mada hii tuijadili kwa kina na weledi. Nafikiri tunaofatilia mgogoro wa Mashariki ya congo tunalikujifunza na ikiwezekana kuliangalia kwa jicho tatau. 1...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
1. Rais Samia amewezesha kuondolewa kodi (Zero rating) kwa mbolea inayozalishwa hapa nchini na mahitaji mengine muhimu ya wakulima kama vile mbegu, vifaa katika mashamba ya maua na mbogamboga n.k...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetoa taarifa ya tathmini ya uhuru wa vyombo vya habari nchini kati ya kipindi cha mwezi Januari hadi Juai 2022. Taarifa hiyo imeeleza kupungua kwa kiasi kikubwa...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada, mods msiuunge huu uzi na nyuzi nyingine, ladha zinatofautiana. Inawezekana kabisa walioko kwenye mifumo wanajua shida iko wapi, ila tatizo lao kubwa ni ubinafsi na...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
'Nimekamilisha ziara ya kuzunguka nchi nzima'. Picha niliyoiona ni ya uhaba mkubwa wa maji tiririka katika water bodies kama vile mito. Hili litaathiri kwa kiasi kikubwa kujaa kwa mabwawa ya...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Mbowe kila siku alikuwa anasema anawaonea wivu CCM. Tumeona wote yaliyomkuta. Amekaà mahabusu siku mia. Vitabu vya Dini vimeeleza,without equivocation,bila kigugumizi,kwamba mtu hatakiwi kuwa na...
2 Reactions
5 Replies
687 Views
Back
Top Bottom