CHADEMA iliasisiwa kama Chama cha Wajanja wenye Maono ya Maendeleo lakini sasa kimejaa Walugaluga kuizidi CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,138
Nakumbuka mwaka 1992 wakati Freeman anafanya scouting ya bavicha kigezo Kikuu Ilikuwa kupata vijana wanaojitambua, Wajanja na wenye fikra za Maendeleo

Zoezi likaanzia vyuo vya mjini kabisa CBE, DIT na IDM na kule mikoani yalilengwa maeneo yenye vijana wajanja sadaka Maendeleo mfano Iringa ililengwa Miyomboni na mashine 3 alipopatikana Mwamba Gervas Kalolo rip

Na kiukweli kabisa Bavicha ile Ilikuwa " imeiva vijana wenye weledi" tofauti kabisa na hii ya akina Retired

Na hata safu ya Wazee wa Chadema ile tuliwaita " Wazee Ulaya" kwa sababu Ilikuwa iliaminiwa Mzee katoka kidogo basi ujue yuko London, Paris nk

Kiukweli CCM kilikuwa chama cha Wakulima kabisa wa Jembe la Mkono ndio sababu tuliwaita " Wazalendo"

Enzi zile Born Town ukimuita Mzalendo ilikuwa mnagombana kabisa

Kwa sasa mambo yamebadilika kabisa Chadema imesheheni Walugaluga wakati CCM ndio kimekuwa Chama Cha Wajanja hata kama wanaitwa " Wapiga Dili"

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Kama huna cha kuandika ni bora ukae kimya hupungukiwi na kitu.

Mwaka 1992 Mbowe hakuwa na influence Chadema, hizo ni zama za Edwin Mtei na Bob Makani.

Miaka michache nyuma Mbowe alikuwa anatumiwa na hao wazee kama karani kwenye vikao vya vuguvugu la kudai vyama vingi vilivyokuwa vikifanyika nyumbani kwa Mzee Kimesera Masaki.

Wewe mshamba kutoka mashambani hujui lolote kaa kimya.
 
Wewe ni mgeni hapo Ufipa st

Mimi ni mmoja wa tulioisaidia Chadema kupata vijana mahili chini ya usimamizi wa Ndesamburo na Kiranja mkuu alikuwa Freeman alisaidiwa na Benja

Wakati huo wewe ulikuwa pale Msimbazi center unaosha chetezo kwa Mdimu, Siasani imeingia ukubwani wakati Padre Slaa kawa Katibu mkuu
 
Mkiachia nchi kwa njia ya karatasi Tutajua mmekuwa na uzalendo kiasi gani.
Huu uzalendo wa maandishi huu mnazidi kuharibika nchi kwa njaa Kali zilizoshika mioyo yenu
#USITUONE MAPOPOMA
 
Wewe ni mgeni hapo Ufipa st

Mimi ni mmoja wa tulioisaidia Chadema kupata vijana mahili chini ya usimamizi wa Ndesamburo na Kiranja mkuu alikuwa Freeman alisaidiwa na Benja

Wakati huo wewe ulikuwa pale Msimbazi center unaosha chetezo kwa Mdimu, Siasani imeingia ukubwani wakati Padre Slaa kawa Katibu mkuu
Mwaka 1992 chama kilichokuwa na influence vyuo vikuu hasa Udsm ni Nccr Mageuzi, wewe umekariri Chadema tu kama kasuku.
 
Nakumbuka mwaka 1992 wakati Freeman anafanya scouting ya bavicha kigezo Kikuu Ilikuwa kupata vijana wanaojitambua, Wajanja na wenye fikra za Maendeleo

Zoezi likaanzia vyuo vya mjini kabisa CBE, DIT na IDM na kule mikoani yalilengwa maeneo yenye vijana wajanja sadaka Maendeleo mfano Iringa ililengwa Miyomboni na mashine 3 alipopatikana Mwamba Gervas Kalolo rip

Na kiukweli kabisa Bavicha ile Ilikuwa " imeiva vijana wenye weledi" tofauti kabisa na hii ya akina Retired

Na hata safu ya Wazee wa Chadema ile tuliwaita " Wazee Ulaya" kwa sababu Ilikuwa iliaminiwa Mzee katoka kidogo basi ujue yuko London, Paris nk

Kiukweli CCM kilikuwa chama cha Wakulima kabisa wa Jembe la Mkono ndio sababu tuliwaita " Wazalendo"

Enzi zile Born Town ukimuita Mzalendo ilikuwa mnagombana kabisa

Kwa sasa mambo yamebadilika kabisa Chadema imesheheni Walugaluga wakati CCM ndio kimekuwa Chama Cha Wajanja hata kama wanaitwa " Wapiga Dili"

Mungu ni mwema wakati wote!
Ila Bado wao ni Bora zaidi Sana kuliko wama (ccm) /chukua chako mapema 🤔
 
Huwa nawaona wengine humu hata sijui wanasimamia nini,wanadhani CCM itaacha vijana wake ndio maana Chalamila alivyorudi wameumia.
Ni asali wanatafuta nothing else.
Tz sasa upinzani hakuna.
 
Nakumbuka mwaka 1992 wakati Freeman anafanya scouting ya bavicha kigezo Kikuu Ilikuwa kupata vijana wanaojitambua, Wajanja na wenye fikra za Maendeleo

Zoezi likaanzia vyuo vya mjini kabisa CBE, DIT na IDM na kule mikoani yalilengwa maeneo yenye vijana wajanja sadaka Maendeleo mfano Iringa ililengwa Miyomboni na mashine 3 alipopatikana Mwamba Gervas Kalolo rip

Na kiukweli kabisa Bavicha ile Ilikuwa " imeiva vijana wenye weledi" tofauti kabisa na hii ya akina Retired

Na hata safu ya Wazee wa Chadema ile tuliwaita " Wazee Ulaya" kwa sababu Ilikuwa iliaminiwa Mzee katoka kidogo basi ujue yuko London, Paris nk

Kiukweli CCM kilikuwa chama cha Wakulima kabisa wa Jembe la Mkono ndio sababu tuliwaita " Wazalendo"

Enzi zile Born Town ukimuita Mzalendo ilikuwa mnagombana kabisa

Kwa sasa mambo yamebadilika kabisa Chadema imesheheni Walugaluga wakati CCM ndio kimekuwa Chama Cha Wajanja hata kama wanaitwa " Wapiga Dili"

Mungu ni mwema wakati wote!
Mnyalukwalwe,weye na CHADEMA tu.Mgai-mbongi wina fituko.😂😂😂😂
 
Attachments

  • IMG_20220707_073408.jpg
    IMG_20220707_073408.jpg
    9.3 KB · Views: 2
Chadema limebaki genge la wasaka fursa za ubunge na udiwani tuuu, hawani dira Wala muelekeo kwa Sasa, hawaeleweki wanataka Nini na wanasimamia Nini kwa Sasa, wamebaki watu wa kudandia matukio tu, wamechanganywa na kuzidiwa na Kasi ya mh mama Samia maana anaupiga mwingi mpaka hawaelewi washike lipo na waache lipi,
 
Kumbe CDM Ina Msingi na pillars imara na bora tangu awali asante kwa taarifa ukarabati na maboresho ni mambo endelevu.
Nakwambia chadema (ile ya zamani) tulikuwa vizuri sana, na tulikuwa tumejipanga kwa hoja mbadala kuichachafya ccm; mbowe si akaruvuruga bwashee, sasa chama kiko hoi bin taabani. Eti think tank ni akina Sexless, mmawia, tindo, nk!
 
Back
Top Bottom