Waziri Nape amnanga Humphrey Polepole, amfagilia Shaka Hamdu Shaka

Huyu jamaa mshamba sana,alafu upeo wake mdogo sana.Kwani kukaa karibu na Mahakama ndiyo kujua sheria?Watu hatujazaliwa TANU/CCM Ila Azimio la Arusha tunalo na katiba ya CCM tunayo!!Hivi kweli Samia,Nape ana hadhi ya kuwa Waziri 🤣🤣🤣.
Msoga Jazz Band-walamba asali leo tupo hapa-Burudani iendelee!
 
Ninakumbuka mzee Makamba alipokuwa katibu mkuu alimtimua Nape na akasema hata aende mbinguni hatorudi CCM.Hekima za JK kama mwenyekiti wa chama zikamrudisha Nape kundini.
Huyu jamaa atamfikisha sehemu rais Samia Suluhu Hassan ajutie kumpa nafasi ya uwaziri katika serikali yake.
Kama kuna washauri humu na wafikishe salamu kwamba imani ya Samia isigeuzwe uwanja wa chuki na visasi binafsi.
 
Nnauye is a lightweight, upeo finyu, amekaa serikalini muda mrefu nafasi nyeti na bado haelewi basic do's and dont's of public service at prominent levels.

Unamtupiaje madongo presidential appointee mwenzio, tena balozi?

Hiyo ni dharau kwa Rais Tatizo Rais mwenyewe anasisitiza kuitwa Mama, watu wa hulka ya Nape wanamwona dhaifu, they can walk all over her.
 
Nape na Pole pole sioni tofauti yao, maana wote waganga njaa tu...... mwenye Ile clip wakati anatembea km1 kwenda kuomba radhi atukumbushe nayo hapa
 
Hata mimi kama Jabali la Siasa nakubaliana na Nape Nnauye kuwa Shaka Hamdu Shaka ni kiongozi mnyenyekevu sana.

Shaka ana uchungu na Chama chetu cha Mapinduzi kwelikweli.

Msikilize hapa Bwana Nape mpaka mwisho.

View attachment 2244144
Yaani wasikilizaji woote wamekaa kimya hata kumpigia makofi wamegoma. Ni dalili kuwa aliyoropoka Nape hawakuyaafiki.
Huyu Nape hamna kitu. Yeye ndio Mropokaji namba moja
Ni yeye akiwa akiwa katibu mwenenzi aliinjinia kuondoka Lowasa chini ya kauli mbiu kuvua gamba na alipotaka chini ya Polepole Lowasa alirudi CCM.. Sasa hapo tusemeje
 
Back
Top Bottom