Ufisadi AUWSA TSh 36.3 bilioni kutokana na usimamizi mbovu na kutofuata Sheria za Manunuzi na Mikataba unaosababishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa AUWSA

Moshi town

Senior Member
Dec 7, 2021
171
120
Mkataba kati ya Sinohyro na AUWSA ulisainiwa tarehe 9 Oktoba,2018 na alianza Ujenzi rasmi tarehe 09 Disemba, 2018 na Muda wa Ujenzi wa mradi ulikuwa ni miaka miwili(2) yaani miezi 24. Sinohyro alitakiwa kukabidhi mradi tarehe 08 Disemba,2020 lakini kutokana na Usimamizi mbovu wa kula rushwa wa Mkurugenzi wa AUWSA hakuweza kukamilisha Mradi.

Sinohydro aliomba kuongezewa muda wa miezi nane (8)hadi agosti,2021 akashindwa kukamilisha mradi kwa kuwa usimamizi mbovu wa Kula rushwa wa Mkurugenzi AUWSA.

Sinohydro akaomba kuongezewa muda wa miezi wa miezi minne (4) hadi Disemba, 2021. Akashindwa kukamilisha mradi kwa kuwa na usimamizi mbovu wa Mkurugenzi AUWSA.

Sinohydro akaomba kuongezewa muda wa miezi saba hadi 07 Julai,2022. Mkandarasi akashindwa tena kukamilisha mradi na kukabidhi mradi ili Wananchi wa Jiji la Arusha waanze kutumia maji yaliyo safi na salama ambayo hayana fluoride.

Kazi ambazo sinohydro hajakamilisha ni
Ujenzi wa Visima Ishirini (20) vya Majimoto- Hai ambavyo maji hayana madini ya fluoride.
Ujenzi miundombinu ya Mabomba kutoka kwenye visima 20 hadi PS1: CHEMKA.
Ujenzi wa mashine za kusuma maji kutoka PS1-CHEMKA kwenda PS2-Mbuguni Kwa sasa maji yanasukumwa kutoka visima kumi (10) Mbuguni ambavyo vina fluoride zaidi ya 6mg/l. Wananchi wanakunywa maji yanayosukumwa kutoka PS2 hadi Themi.

Katika Mkataba kati ya AUWSA na Sinohyro unaruhusu Variation-Addendum Sub-Clause 13.1.3 any additional work, plant, Materials or Service necessary for the Permanet works, including Any associatedTests on Completion, boreholes and other testing and exploratory work kipengele kinataka Mkandarasi aongezewe kazi mpya endapo bila Mkandarasi kuongezewa kazi mpya hataweza kukamilisha kazi ya awali na pia hataweza kufanya majaribio ya kazi ya awali kwa kuwa zitakuwa zinategemeana. Kwa kifungu hiki Sinohydro alikuwa hana sifa za kupata Addendum ya Construction of De-fluoridation system at Seedfarm kwa kuwa tayari kashindwa kumaliza kazi ya awali kwa wakati.

Sababu za Mkurugenzi wa AUWSA kumpatia variations(Addendum) ya Construction of De-fluoridation system at Seedfarm kampuni ya Sinohydro ni kama hizi:

Kubadilisha gharama za ujenzi kutoka Tshs 20 Bil. hadi Tshs 36.3 Bil kinyume na Engineering Estimate ili aweze kupata rushwa kutoka kwa Mkandarasi. Zaidi ya Tshs 16. 3 Bil zinakuwa zimeenda kwenye matumbo ya watu, Serikali inakuwa imepata hasara

Kumuokoa Mkandarasi na Delay Damages kinyume na Sub-Clause 8.7.1 ya Mkataba ambavyo Mkandarasi alitakiwa kukamilisha kazi tarehe 07 Julai,2022 na utekelezaji wa mradi umefikia 78% na Particular Condition ya mkataba sub-clause 8.7.1 & 14.15.1 (b)-0.1% of the Contract Price per day and Maximum amount of delay deamages -8.7.1- 10% of the final contract price . Kulingana na kazi ambazo hajafanya anatakiwa kwa siku akatwe Tshs 100 Mil(100,000,000) na kama hatakuwa hajamaliza kazi ndani ya siku 100 anatakiwa awe amekatwa Tshs 10 Bil. (10,000,000,000).

Kumuongezea Muda kijanja Mkandarasi bila Mkandarasi kuomba kuongezewa muda na wala Consultant kupitia nyongeza ya Muda ili Mkandarasi aweze kuongezewa muda wa kukamilisha kazi zake za awali kinyume na mkataba sub- clause 8.2.1 cha kukamilisha kazi ndani ya muda wa Mkataba.

Mkataba wa Addendum kati ya AUWSA na Sinohydro umeisababishia Serikali hasara ya Tshs 26.3 bil na hii bila kuweka gharama za athari za Wanachi kutumia maji ambayo yana fluoride kwa sababu za kuchelewesha mradi. Makubaliano ya aide Memoire- special supervision mission kati 13-17 Juni,2022 yalisema kwamba rejea kipengele 3.24 &25

3.24 Construction of De-Fluoridation system at SeedFarm: The consultant has finalized the preparation of designs and tender documents for the construction of the De-Fluoridation System at SeedFarm. The bidding documents were submitted on 8 February 2022 for Bank’s review and consideration for “no objection”. During the review, the AUWSA came with an option of intending assign the construction work to the contractor (M/S Sinohydro Corporation Ltd) who is on site implementing the contract of the New Water System. The Bank advised the AUWSA to come up with clear justification including work rates and completion time of the proposed option.

3.25 The proposed option was discussed during the mission and agreed that; The AUWSA will prepare the justification together with contractor’s offer and share with the Bank for review and consideration for “no objection” by 24 June 2022. In case the justification won’t be accepted or the contractor on site refuse to accept the additional works, the AUWSA will proceed with the procurement procedures which will shorten the process of engaging a new contractor. The mission agreed that AUWSA will share the bidding documents together with the specific procurement note by 30 June 2022 for the Bank review and consideration for no objection.

Mkurugenzi wa AUWSA hakutaka kufuata hata maelekezo ya AfBD akasaini Addendum bila kupata No Objection ya bank ambavyo yeye mwenyewe alisaini hayo makubaliano. Bank hawajatoa no Objection kwa kuwa rate za BoQ za Addendum zimepanda kwa 82% kutoka kwenye zile rate za awali na Hakuna Engineering Justification.

02- Mkataba wa Ujenzi wa mabwawa ya kutibu majitaka Mkandarasi alitakiwa kufanya marekebisho kipindi cha Defects Liability kama Sub-Clause 11.1 inavyoelekeza, kipindi cha DLP ili kurekebisho Plastic Membrane ambayo yalikuwa yanajaa upepo na kuelea juu ya maji, lakini Mkurugenzi AUWSA alituma Watumishi wa AUWSA kutoboa na kuweka mawe ili kuyakandamiza kuyazuia yasielee. Kazi hii ilitakiwa kufanywa marekebisho na Mkandarasi kwa sababu ilikuwa ndani ya DLP na hata hivyo kutobolewa ni kinyume na Mkataba ila yote haya ni sababu za Mkurugenzi wa AUWSA kuchukua rushwa. Kwa sasa Makaratasi hayo hayana kazi na Serikali imepata hasara zaidi Tshs 2.8 Bil, taarifa hii ni ya kwel, tunaomba Serikali iunde tume na kuwauliza Watumishi wa Kitengo cha Majitaka na hata pia Wananchi wanaoishi karibu na bwawa hili. Serikali kupoteza Tshs 2.8 Bil ni gharama kubwa sana kwa walipa kodi.

03- Mkataba wa AUWSA na Tumaini Engineer Wenye thamani ya Tshs 2.5 Bil kujenga mtandao wa majitaka kutoka A to Z ni Wakifisadi na haukufuata taratibu za manunuzi.

Mfano wa ufisadi kwenye Mkataba unakifungu cha kuchimba na kufukia bomba Tshs 358,500,000 umbali wa kuchimba =8500m maana yake 1m inachimbwa Tshs 42,176 badala ya T.shs 12,000/=

Mkataba kutopitishwa na Bodi ya Zabuni (Tender Board) ya AUWSA kinyume na Sheria ya Manunuzi PPA,2011 section 35(1),(2) & (3)

Zabuni kutofuata Sheria ya Manunuzi (The Public Procurement (Amendment) Regulation,2016- section 91- Method of tendering for Non Consultancy Services.

Tumaini Engineer hadi Mkataba unavunjwa alikuwa tayari kalipwa zaidi Tshs 200,000,000 Mkurugenzi AUWSA na Tumaini Engineer wanatakiwa warudishe hizi Fedha kwa kuwa mkataba ulikuwa batili
 
Watu washadhulumiana hukoo

Mkikosana kwenye sheria na mifumo ya haki mtatafutana kwa Sangoma
 
Ndugu Moshi Town, kuna mdau humu alikupa namba ya Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Hamduni na ukakiri kuipokea, naamini uliwasiliana nae na kumpa Data hizo, na Waziri Mkuu mbona haendi kushughulikia suala hili kama alivyoenda kumshughulikia yule Mkurugenzi wa Jiji la Arusha siku ile?
 
Ndugu Moshi Town,kuna mdau humu alikupa namba ya Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Hamduni na ukakiri kuipokea,naamini uliwasiliana nae na kumpa Data hizo,na Waziri Mkuu mbona haendi kushughulikia suala hili kama alivyoenda kumshughulikia yule Mkurugenzi wa Jiji la Arusha siku ile??
Nchi hii ngumu sana PCCB Arusha wapo Busy na kesi ndogo ndogo za wizi wa kuku wanaacha kuzuhia Rushwa ya Tzs 36 bilion ambao mkataba wake bado mbichi wanaweza wakaokoa hizi Fedha
 
Mbona hizi threads nimeziona mara nying humu JF, Je watu wa serikali wako wapi hawazioni. Kwanini viongozi wote wa Mkoa, wilaya, Wizara wasishtukie ufisadi mkubwa namna hii? Kuna nini? Tunaomba tuombe mrejesho. Mkurugenzi ni mtu mdogo sana kuweza kufunika viongozi wote hawa.
 
Teh teh teh umemkalia sana kooni jamas. Ila waafrika tunateswa sana na wivu, kijicho chuki na vinyongo. Pole sana hama hiyo idara inaweza kukusaidia kuponya jeraha lako.
Ila kwa data anazo toa inaonyesha kuna ukweli. Na yupo karibu sana na sources za hizo ofisi
 
Mkataba kati ya Sinohyro na AUWSA ulisainiwa tarehe 9 Oktoba,2018 na alianza Ujenzi rasmi tarehe 09 Disemba, 2018 na Muda wa Ujenzi wa mradi ulikuwa ni miaka miwili(2) yaani miezi 24. Sinohyro alitakiwa kukabidhi mradi tarehe 08 Disemba,2020 lakini kutokana na Usimamizi mbovu wa kula rushwa wa Mkurugenzi wa AUWSA hakuweza kukamilisha Mradi.

Sinohydro aliomba kuongezewa muda wa miezi nane (8)hadi agosti,2021 akashindwa kukamilisha mradi kwa kuwa usimamizi mbovu wa Kula rushwa wa Mkurugenzi AUWSA.

Sinohydro akaomba kuongezewa muda wa miezi wa miezi minne (4) hadi Disemba, 2021. Akashindwa kukamilisha mradi kwa kuwa na usimamizi mbovu wa Mkurugenzi AUWSA.

Sinohydro akaomba kuongezewa muda wa miezi saba hadi 07 Julai,2022. Mkandarasi akashindwa tena kukamilisha mradi na kukabidhi mradi ili Wananchi wa Jiji la Arusha waanze kutumia maji yaliyo safi na salama ambayo hayana fluoride.

Kazi ambazo sinohydro hajakamilisha ni
Ujenzi wa Visima Ishirini (20) vya Majimoto- Hai ambavyo maji hayana madini ya fluoride.
Ujenzi miundombinu ya Mabomba kutoka kwenye visima 20 hadi PS1: CHEMKA.
Ujenzi wa mashine za kusuma maji kutoka PS1-CHEMKA kwenda PS2-Mbuguni Kwa sasa maji yanasukumwa kutoka visima kumi (10) Mbuguni ambavyo vina fluoride zaidi ya 6mg/l. Wananchi wanakunywa maji yanayosukumwa kutoka PS2 hadi Themi.

Katika Mkataba kati ya AUWSA na Sinohyro unaruhusu Variation-Addendum Sub-Clause 13.1.3 any additional work, plant, Materials or Service necessary for the Permanet works, including Any associatedTests on Completion, boreholes and other testing and exploratory work kipengele kinataka Mkandarasi aongezewe kazi mpya endapo bila Mkandarasi kuongezewa kazi mpya hataweza kukamilisha kazi ya awali na pia hataweza kufanya majaribio ya kazi ya awali kwa kuwa zitakuwa zinategemeana. Kwa kifungu hiki Sinohydro alikuwa hana sifa za kupata Addendum ya Construction of De-fluoridation system at Seedfarm kwa kuwa tayari kashindwa kumaliza kazi ya awali kwa wakati.

Sababu za Mkurugenzi wa AUWSA kumpatia variations(Addendum) ya Construction of De-fluoridation system at Seedfarm kampuni ya Sinohydro ni kama hizi:

Kubadilisha gharama za ujenzi kutoka Tshs 20 Bil. hadi Tshs 36.3 Bil kinyume na Engineering Estimate ili aweze kupata rushwa kutoka kwa Mkandarasi. Zaidi ya Tshs 16. 3 Bil zinakuwa zimeenda kwenye matumbo ya watu, Serikali inakuwa imepata hasara

Kumuokoa Mkandarasi na Delay Damages kinyume na Sub-Clause 8.7.1 ya Mkataba ambavyo Mkandarasi alitakiwa kukamilisha kazi tarehe 07 Julai,2022 na utekelezaji wa mradi umefikia 78% na Particular Condition ya mkataba sub-clause 8.7.1 & 14.15.1 (b)-0.1% of the Contract Price per day and Maximum amount of delay deamages -8.7.1- 10% of the final contract price . Kulingana na kazi ambazo hajafanya anatakiwa kwa siku akatwe Tshs 100 Mil(100,000,000) na kama hatakuwa hajamaliza kazi ndani ya siku 100 anatakiwa awe amekatwa Tshs 10 Bil. (10,000,000,000).

Kumuongezea Muda kijanja Mkandarasi bila Mkandarasi kuomba kuongezewa muda na wala Consultant kupitia nyongeza ya Muda ili Mkandarasi aweze kuongezewa muda wa kukamilisha kazi zake za awali kinyume na mkataba sub- clause 8.2.1 cha kukamilisha kazi ndani ya muda wa Mkataba.

Mkataba wa Addendum kati ya AUWSA na Sinohydro umeisababishia Serikali hasara ya Tshs 26.3 bil na hii bila kuweka gharama za athari za Wanachi kutumia maji ambayo yana fluoride kwa sababu za kuchelewesha mradi. Makubaliano ya aide Memoire- special supervision mission kati 13-17 Juni,2022 yalisema kwamba rejea kipengele 3.24 &25

3.24 Construction of De-Fluoridation system at SeedFarm: The consultant has finalized the preparation of designs and tender documents for the construction of the De-Fluoridation System at SeedFarm. The bidding documents were submitted on 8 February 2022 for Bank’s review and consideration for “no objection”. During the review, the AUWSA came with an option of intending assign the construction work to the contractor (M/S Sinohydro Corporation Ltd) who is on site implementing the contract of the New Water System. The Bank advised the AUWSA to come up with clear justification including work rates and completion time of the proposed option.

3.25 The proposed option was discussed during the mission and agreed that; The AUWSA will prepare the justification together with contractor’s offer and share with the Bank for review and consideration for “no objection” by 24 June 2022. In case the justification won’t be accepted or the contractor on site refuse to accept the additional works, the AUWSA will proceed with the procurement procedures which will shorten the process of engaging a new contractor. The mission agreed that AUWSA will share the bidding documents together with the specific procurement note by 30 June 2022 for the Bank review and consideration for no objection.

Mkurugenzi wa AUWSA hakutaka kufuata hata maelekezo ya AfBD akasaini Addendum bila kupata No Objection ya bank ambavyo yeye mwenyewe alisaini hayo makubaliano. Bank hawajatoa no Objection kwa kuwa rate za BoQ za Addendum zimepanda kwa 82% kutoka kwenye zile rate za awali na Hakuna Engineering Justification.

02- Mkataba wa Ujenzi wa mabwawa ya kutibu majitaka Mkandarasi alitakiwa kufanya marekebisho kipindi cha Defects Liability kama Sub-Clause 11.1 inavyoelekeza, kipindi cha DLP ili kurekebisho Plastic Membrane ambayo yalikuwa yanajaa upepo na kuelea juu ya maji, lakini Mkurugenzi AUWSA alituma Watumishi wa AUWSA kutoboa na kuweka mawe ili kuyakandamiza kuyazuia yasielee. Kazi hii ilitakiwa kufanywa marekebisho na Mkandarasi kwa sababu ilikuwa ndani ya DLP na hata hivyo kutobolewa ni kinyume na Mkataba ila yote haya ni sababu za Mkurugenzi wa AUWSA kuchukua rushwa. Kwa sasa Makaratasi hayo hayana kazi na Serikali imepata hasara zaidi Tshs 2.8 Bil, taarifa hii ni ya kwel, tunaomba Serikali iunde tume na kuwauliza Watumishi wa Kitengo cha Majitaka na hata pia Wananchi wanaoishi karibu na bwawa hili. Serikali kupoteza Tshs 2.8 Bil ni gharama kubwa sana kwa walipa kodi.

03- Mkataba wa AUWSA na Tumaini Engineer Wenye thamani ya Tshs 2.5 Bil kujenga mtandao wa majitaka kutoka A to Z ni Wakifisadi na haukufuata taratibu za manunuzi.

Mfano wa ufisadi kwenye Mkataba unakifungu cha kuchimba na kufukia bomba Tshs 358,500,000 umbali wa kuchimba =8500m maana yake 1m inachimbwa Tshs 42,176 badala ya T.shs 12,000/=

Mkataba kutopitishwa na Bodi ya Zabuni (Tender Board) ya AUWSA kinyume na Sheria ya Manunuzi PPA,2011 section 35(1),(2) & (3)

Zabuni kutofuata Sheria ya Manunuzi (The Public Procurement (Amendment) Regulation,2016- section 91- Method of tendering for Non Consultancy Services.

Tumaini Engineer hadi Mkataba unavunjwa alikuwa tayari kalipwa zaidi Tshs 200,000,000 Mkurugenzi AUWSA na Tumaini Engineer wanatakiwa warudishe hizi Fedha kwa kuwa mkataba ulikuwa batili
, z
 
Mbona hizi threads nimeziona mara nying humu JF, Je watu wa serikali wako wapi hawazioni. Kwanini viongozi wote wa Mkoa, wilaya, Wizara wasishtukie ufisadi mkubwa namna hii? Kuna nini? Tunaomba tuombe mrejesho. Mkurugenzi ni mtu mdogo sana kuweza kufunika viongozi wote hawa.
Ungekua umefanya kazi sekta ya maji kwenye hii nchi usingeeza andika hiki kitu.
 
PCCB wanashughulika na rushwa ndogo ndogo, hakimu mahakama ya mwanzo kula rushwa ya elfu kumi, mara mkuu wa shule kala rushwa ya elfu 50. Kwenye mambo kama haya huwezi waona. Labda waagizwe na waziri au mkuu wa mkoa.
 
Alafu kuna watu wanakomaliaa buku 2,3 wanazochkua matrafic

Ova
 
Ndugu Moshi Town, kuna mdau humu alikupa namba ya Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Hamduni na ukakiri kuipokea, naamini uliwasiliana nae na kumpa Data hizo, na Waziri Mkuu mbona haendi kushughulikia suala hili kama alivyoenda kumshughulikia yule Mkurugenzi wa Jiji la Arusha siku ile?

Ukitaka kila mtu awe anawasilisha matatizo kama hayo sehemu husika, sijui unataka JF tujadili nini.

Hii ni moja ya platform ya whistle blowing, wenye mamlaka wanawajibu wa kuwepo humu na sehemu nyingine za social media.

Dunia imebadirika, ni kidijitali zaidi. Ukisubiria barua, sijui simu. Utafeli sana.

Ukusanyaji wa taarifa huku ndio sehemu sahihi.
 
Back
Top Bottom