Rais Samia hahitaji kusifiwa na mtu aliyemteua na kumuapisha, anachotaka ni utendaji wa huyo mteuliwa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,907
Rais Samia hahitaji kusifiwa na mtu aliyemteua na kumuapisha anachotaka ni utendaji wa huyo mteuliwa full stop

Kama kuna mteuliwa anadhani kuwa mama anachotaka ni kusifiwa anapoteza muda

Mama Samia anachotaka akikukabidhi cheo na kukuapisha aone kazi sio pambio na nyimbo za taarabu na kaswida za nani kama Mama

Mama Samia hateui wanamziki au waimba kwaya au waimba pambio au nyimbo za kumsifu!!!

Wateuliwa hii awamau sio ya walitunga nyimbo za kwaya au za mziki au pambio au kaswida za kumsifu Raisi

Angalia tu umepewa kazi ipi ufanye.Akija eneo lako ziara hahitaji pambio na nyimbo za kusifia jiandae kuonyesha umetekelezaje wewe ilani na maelekezo na utekelezaji wa pesa za maendeleo zilizokuja eneo lako

Haji kutembelea eneo lako kuja kusikiliza kwaya,au muziki au pambio au kaswida za kumsifia nani kama mama!!

Kila kiongozi ajitathimini yeye kafanya nini sio Mama Samia kafanya nini.
Mama Samia Yake kafanya wewe yako kama kiongozi mteuliwa na Raisi ni yepi umefanya? Kutunga wimbo wa kwaya au muziki au kaswida au pambio ya kumsifia mama Samia?
 
Kama Rais anaona kuna msaidizi wake hatoshi kwenye nafasi aliyompa amtoe, kumtumbua mtu sio dhambi hasa kama akijiridhisha hajamuonea, na kutumbuliwa pia sio dhambi, hawa wasaidizi wa Rais [mawaziri] na watanzania wote tujue hivyo.
 
Praising her is only way if not guarantee to remain in office. Just like when The late Magufuli was in power you praised him consistently then he chose you in any position that he saw you are fitted.
 
Rais Samia hahitaji kusifiwa na mtu aliyemteua na kumuapisha anachotaka ni utendaji wa huyo mteuliwa full stop

Kama kuna mteuliwa anadhani kuwa mama anachotaka ni kusifiwa anapoteza muda

Mama Samia anachotaka akikukabidhi cheo na kukuapisha aone kazi sio pambio na nyimbo za taarabu na kaswida za nani kama Mama

Mama Samia hateui wanamziki au waimba kwaya au waimba pambio au nyimbo za kumsifu!!!

Wateuliwa hii awamau sio ya walitunga nyimbo za kwaya au za mziki au pambio au kaswida za kumsifu Raisi

Angalia tu umepewa kazi ipi ufanye.Akija eneo lako ziara hahitaji pambio na nyimbo za kusifia jiandae kuonyesha umetekelezaje wewe ilani na maelekezo na utekelezaji wa pesa za maendeleo zilizokuja eneo lako

Haji kutembelea eneo lako kuja kusikiliza kwaya,au muziki au pambio au kaswida za kumsifia nani kama mama!!

Kila kiongozi ajitathimini yeye kafanya nini sio Mama Samia kafanya nini.
Mama Samia Yake kafanya wewe yako kama kiongozi mteuliwa na Raisi ni yepi umefanya? Kutunga wimbo wa kwaya au muziki au kaswida au pambio ya kumsifia mama Samia?
Umesikia hata mara moja akikemea jambo hilo ? au wewe ni chawa unasifia kiaina ?
 
UNAFIKI WA KIWANGO CHA LAMI
 
Kwani Neno mama maana yake mama yako? Mfano ulisema Mama Nyerere maana yake mama yako?
Ushasema mama Nyerere ye ni mke wa aliyekuwa Rais wa kwanza TZ.
Huyu ni Rais aliyepokea kijiti,mambo ya kumuita mama ndo mana anatuchukulia vitoto tu hatujui kitu na madudu yake anayofanya
 
Kwa hiyo ukisema nilikutana na bwana Juma sokoni anakuwa ni bwanako? Ndio maana ukatanguliza neno bwana?
 
Rais Samia hahitaji kusifiwa na mtu aliyemteua na kumuapisha anachotaka ni utendaji wa huyo mteuliwa full stop

Kama kuna mteuliwa anadhani kuwa mama anachotaka ni kusifiwa anapoteza muda

Mama Samia anachotaka akikukabidhi cheo na kukuapisha aone kazi sio pambio na nyimbo za taarabu na kaswida za nani kama Mama

Mama Samia hateui wanamziki au waimba kwaya au waimba pambio au nyimbo za kumsifu!!!

Wateuliwa hii awamau sio ya walitunga nyimbo za kwaya au za mziki au pambio au kaswida za kumsifu Raisi

Angalia tu umepewa kazi ipi ufanye.Akija eneo lako ziara hahitaji pambio na nyimbo za kusifia jiandae kuonyesha umetekelezaje wewe ilani na maelekezo na utekelezaji wa pesa za maendeleo zilizokuja eneo lako

Haji kutembelea eneo lako kuja kusikiliza kwaya,au muziki au pambio au kaswida za kumsifia nani kama mama!!

Kila kiongozi ajitathimini yeye kafanya nini sio Mama Samia kafanya nini.
Mama Samia Yake kafanya wewe yako kama kiongozi mteuliwa na Raisi ni yepi umefanya? Kutunga wimbo wa kwaya au muziki au kaswida au pambio ya kumsifia mama Samia?

Kwenye nchi zenye chembe chembe za kijamaa, na rais Mungu mtu, kusifiwa ni jambo kipaombele kwake.
 
Nikadhani unamnukuu yeye,kumbe ni uchawa wako tu
 
Back
Top Bottom