Utaratibu wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo

Singo Batan

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
292
191
Nchi Tajiri zaidi Afrika Mashariki inafanya Uchaguzi kwa mifumo ya kisasa kabisa.

Je, Nchi nyingine Afrika Mashariki zinaweza kuiga matumizi ya mifumo hiyo?

Nini maoni yako kuhusu matumizi ya vifaa vya kielektroniki kubaini taarifa za wapiga kura wakati wa upigaji wa kura, kuhesabu na kutangaza matokeo?
IMG_20220809_190254.jpg
 
Nchi Tajiri zaidi Afrika Mashariki inafanya Uchaguzi kwa mifumo ya kisasa kabisa.

Je, Nchi nyingine Afrika Mashariki zinaweza kuiga matumizi ya mifumo hiyo?

Nini maoni yako kuhusu matumizi ya vifaa vya kielektroniki kubaini taarifa za wapiga kura wakati wa upigaji wa kura, kuhesabu na kutangaza matokeo?View attachment 2319346
Labda Mungu apitishe gharika ateketeze kizazi Tz wote wenye umri wa 50+
 
Ukweli na uwazi hatuuwezi Watanzania kwa sababu ya ubinafsi.Kuna watu wanadhani Wana hati miliki ya kutawala wenzao!
 
Nchi Tajiri zaidi Afrika Mashariki inafanya Uchaguzi kwa mifumo ya kisasa kabisa.

Je, Nchi nyingine Afrika Mashariki zinaweza kuiga matumizi ya mifumo hiyo?

Nini maoni yako kuhusu matumizi ya vifaa vya kielektroniki kubaini taarifa za wapiga kura wakati wa upigaji wa kura, kuhesabu na kutangaza matokeo?View attachment 2319346
Huu mfumo kura ikipigwa kila mtu anaiona kwa upande wake na kuhesabu kila mtu kivyake maana source ni moja.

Wale wakuteka Tally centres hapa wangekwama🤣🤣
 
Kwa hiyo Tz inatumia mfumo upi?
Tanzania Kuna uchafuzi. Na sababu ni kwamba wananchi hatujielewi ndiyo maana serikali inaendesha uchafuzi lkn wala hatusituki.

Tuko bize kuomba connection za akina Amber Ruty na kurushiana kejeli za utani wa Simba na Yanga.
Upumvavu huu sijui utaisha lini
 
Nchi Tajiri zaidi Afrika Mashariki inafanya Uchaguzi kwa mifumo ya kisasa kabisa.

Je, Nchi nyingine Afrika Mashariki zinaweza kuiga matumizi ya mifumo hiyo?

Nini maoni yako kuhusu matumizi ya vifaa vya kielektroniki kubaini taarifa za wapiga kura wakati wa upigaji wa kura, kuhesabu na kutangaza matokeo?View attachment 2319346
Tanzania tumeamua kuwa Wajinga chini ya Majinga maccm, God have some Mercy on us
 
Nchi Tajiri zaidi Afrika Mashariki inafanya Uchaguzi kwa mifumo ya kisasa kabisa.

Je, Nchi nyingine Afrika Mashariki zinaweza kuiga matumizi ya mifumo hiyo?

Nini maoni yako kuhusu matumizi ya vifaa vya kielektroniki kubaini taarifa za wapiga kura wakati wa upigaji wa kura, kuhesabu na kutangaza matokeo?View attachment 2319346
Kwa kweli sisi watanzania hadi tunaona aibu uchaguzi wetu unavyogubikwa na usiri wa kufa mtu!! Wenzetu fomu iliyorekodia matokeo kituoni wana-upload na mtu yeyote anaweza ku-download na kuhakiki kura zake! Huku kwetu Chadema waliweka kituo mliman city ili kupokea matokeo kutoka kwa mawakala wao. Kilichowakuta hapo tunakijua wote!! walivamiwa na kupokonywa laptops zao na mambo kama hayo! Wenzetu hawahitaji hata kusubiri matokeo yatangazwe akiona kashindwa anakiri kushindwa mapema bila shida yoyote! Tunakwama wapi? Ngoja tuone hiyo 2025!!
 
Tanzania Kuna uchafuzi. Wananchi hawajielewi ndiyo maana inaendesha naendesha uchafuzi lkn Wala hatusituki.

Tuko bize kuomba connection za akina Amber Ruty na kurushiana kejeli za utani wa Simba na Yanga.
Upumvavu huu sijui utaisha lini
Watu wengi humu JF ni wana elimu ya above O level, ila wengi walikua na shauku ya kuiona video ya Umoya ya uchi kuliko kujadili nchi yao inakwenda vipi, uzuzu na uoga ujinga na upumbavu mkuu ndio tatizo kubwa
 
Kwa kweli sisi watanzania hadi tunaona aibu uchaguzi wetu unavyogubikwa na usiri wa kufa mtu!! Wenzetu fomu iliyorekodia matokeo kituoni wana-upload na mtu yeyote anaweza ku-download na kuhakiki kura zake! Huku kwetu Chadema waliweka kituo mliman city ili kupokea matokeo kutoka kwa mawakala wao. Kilichowakuta hapo tunakijua wote!! walivamiwa na kupokonywa laptops zao na mambo kama hayo! Wenzetu hawahitaji hata kusubiri matokeo yatangazwe akiona kashindwa anakiri kushindwa mapema bila shida yoyote! Tunakwama wapi? Ngoja tuone hiyo 2025!!
Hiyo 2025 haiji kwenye golden plate,!!!
 
Nchi tajiri ambao raia wake wanalia njaa
Kenya kama nchi ni tajiri kwa kiwango cha afrika ya mashariki! Lakini raia wake walio wengi ni maskini wa kutupwa!! Wengi huishi kwa kutegemea fadhila za masetla wa kizungu wenye mashamba makubwa na viwanda!!. Ardhi ya Kenya inamilikiwa na wakenya wachache matajiri pamoja na walowezi wa kizungu! Kenya ukifukuzwa kazi ni sawa na msiba! Ndio maana wakenya wanaheshimu sana ajira na wanafanya kazi kwa bidii sana ili kuwapendeza waajiri wao!!
 
Kwa kweli shida ya kenya ni ukabila tu lakini kwa habari ya kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki hata marekani haoni ndani!!
 
Back
Top Bottom