Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wamama na watu wanaolalamika kubomolewa nyumba zao ukifuatilia aliyehusika kubomoa nyumba hizo ni mtu wa Kilimanjaro. Watu wa mkoa huo kukudhulumu eneo lako ni kitu cha kawaida sana. Fuatilia...
7 Reactions
43 Replies
550 Views
Nani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine. Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake. Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na...
6 Reactions
41 Replies
642 Views
BWAWA LA UMEME JNHPP- LINATIMIZA NDOTO YA NYERERE, NA NI MAFANIKIO YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MWELEKEO MPYA WA UCHUMI. Ameandika Cde Shaka Hamdu Leo ni siku ya kihistoria, Siku...
5 Reactions
38 Replies
891 Views
Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza...
1 Reactions
2 Replies
48 Views
Tunahitaji usaidizi.
2 Reactions
11 Replies
234 Views
https://youtu.be/VucOADP1loY?si=f0xgGxMinKLYLnbZ Mnajua yuko wapi huyu Jesusi wa mbinguni, Askofu Josephat Gwajima? Mnakumbuka aliyowahi kusema huko nyuma kuhusu Tanzania na mwisho wa CCM...
2 Reactions
9 Replies
340 Views
Nini maana ya uchawa? - UCHAWA ni UPUMBAVU kwasababu tafsiri ya UPUMBAVU ni kuujua ukweli lakini ukaupindisha. -UCHAWA unatokana na Mtu kuwa MCHAFU hivyo anatafuta Watu kwa gharama zozote zile...
2 Reactions
14 Replies
87 Views
Anasema Kuna dogo mmoja wa kihaya ndo anauza siri za Chadema kwa Abdul Ameir.Anasema Kuna mwanamke mmoja anatoka naye Bariadi amezaa na mtoto wa Samuya siku Moja alienda kwa Mambaz na Abdul.Huyo...
1 Reactions
3 Replies
131 Views
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa...
18 Reactions
35 Replies
891 Views
https://youtu.be/_oeaplrbrKI?si=csV0SmcI42OT19ak Tundu Lissu: Ramadhani Kingai anakuja kunitetea Mhudhuriaji wa mahakama: Wewe si umesema mna ugomvi naye, sasa atakuja kuteteaje? Tundu Lissu...
21 Reactions
47 Replies
860 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini imeshindwa kuwa huru na kutekeleza wajibu wake kikamilifu. "Tume...
1 Reactions
0 Replies
99 Views
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), David Kafulila, akizungumza na wasomi wa Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, alitoa maelezo ya kuvutia kuhusu...
6 Reactions
27 Replies
567 Views
Huyu mzee ni miongoni mwa watu waliokua na mvuto karibia kwa watanzania wote alikua akitokea na tabasamu lake na kicheko basi watanzania wote tunalidhika na kusema huyu mzee ni mgwana huyu mzee...
9 Reactions
44 Replies
743 Views
Yaan Mfugaji aloingiza Ng'ombe , Mbuzi na Kondoo wake, kula Majani na Nyasi, kuhusu yeye Kuliwa na wanyama wakali atajijua mwenyewe . Kwann sasa Ukamate Mifugo yake?? Utaifishe?? Umuue hata...
5 Reactions
3 Replies
68 Views
Watu sita akiwemo Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) anayefahamika kwa jina la Gift Eliaika (34) mkoani Tabora (pichani), ni miongoni mwa watu sita waliouawa baada ya...
5 Reactions
17 Replies
273 Views
PPP ipo siku itaipiku dhana ya vijiji vya Ujamaa? Nawaza tu maana nchi yoyote duniani ina raisi wa kwanza mmoja tu
0 Reactions
10 Replies
59 Views
Wakili Maduhu William Amechambua kuhusu kuitwa kwa CDF JACOB MKUNDA,,IGF CAMILLIUS WAMBURA NA DCI RAMADHAN KINGAI NA UTETEZI DHIDI YA KESI YA UHAIN NAYOMKABILI MHE LISSU Na haya ndio maswali...
6 Reactions
14 Replies
421 Views
Mwakilishi wa Kiwanda cha Twiga Cement "Sasa leo kwanza tumefurahi sana ujio wa mgeni wetu rasmi ambaye ni kamishna general wa TRA, na tunachofurahia ni kwamba wamekuja wamejifunza nini ambacho...
4 Reactions
30 Replies
796 Views
Nimeona matusi na sintofahamu nyingi mtandaoni baada ya kuchapisha ujumbe wa kutoa pole kwa Mama Samia, hasa niliponukuu salamu za pole za Mwenyekiti Lissu kutoka gerezani. Kwa sisi jamii...
15 Reactions
75 Replies
1K Views
Back
Top Bottom