Usanii wa Ulega-Wizara ya Ujenzi

Usanii wa Ulega-Wizara ya Ujenzi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,138
Reaction score
29,797

Huu ni usanii ambao hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuukubali.
Mchina(Heinan) kapewa tenda ujenzi wa barabara huko mkoani.
Kapewa na Advance Payment ya 10% ili aanza kazi.
Tunachojua wachimvi ni kwamba hiyo 10% wamegawana na watoa kazi, iwe ni waziri au hata TANROADS.
Haiwezekani kampuni kupewa kazi na hela inayo na kazi isianze.
Tulio kwenye fani ni kwamba hela imeliwa na watoabkazi na mkandarasi hana hela ya kazi.

Kama Waziri yuko serious awatangulize TAKUKURU wafanye kazi yao na hapo upupu wote utabumbuluka.
 
View attachment 3641746

Huu kweli ni usanii uchwara.
Yaani miaka miwili mchina kapewa 10% Advance halafu waziri na Manager wake wanaleta ngonjera zisizoeleweka.
Hiyo 10% wanajua wameila wenyewe.
 
View attachment 3641746

Huu ni usanii ambao hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuukubali.
Mchina(Heinan) kapewa tenda ujenzi wa barabara huko mkoani.
Kapewa na Advance Payment ya 10% ili aanza kazi.
Tunachojua wachimvi ni kwamba hiyo 10% wamegawana na watoa kazi, iwe ni waziri au hata TANROADS.
Haiwezekani kampuni kupewa kazi na hela inayo na kazi isianze.
Tulio kwenye fani ni kwamba hela imeliwa na watoabkazi na mkandarasi hana hela ya kazi.

Kama Waziri yuko serious awatangulize TAKUKURU wafanye kazi yao na hapo upupu wote utabumbuluka.
Huo ulioongea ndio hali halisi ya viongozi wetu. Siku hizi kila waziri akiteuliwa anabuni software ya kupiga hela wizarani,. Hizo ndio akili walizo nazo na ukizingatia boss wao anawaita "wanangu" na akiwatengua au kuwabadilisha hivyo vyeo anaona kafanya bonge ya uwajibishaji.
 
"Mawaziri" karibia wote wa hii "serikali" ni wapiga dili. TAKUKURU sio kwamba hawajui lkn unaanzaje kumgusa "mteule" wa "rais"!
Wadau wote wanafahamu hilo.
Waxiri wa zamani Ujenzi Bwa Mbarawa aliwapa wachina lot zote za ujenxi wa DART mjini Dar na walivuta kitu kikubwa tu, na ghorofa lake pale Mwenge likakamilika.
TAKUKURU usingizi mnono.
Kazi haiendi na hakuna mchina kachukuliwa hatua.
Muda wa mkataba kumaliza kazi karibia umeisha.
 
View attachment 3641746

Huu ni usanii ambao hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuukubali.
Mchina(Heinan) kapewa tenda ujenzi wa barabara huko mkoani.
Kapewa na Advance Payment ya 10% ili aanza kazi.
Tunachojua wachimvi ni kwamba hiyo 10% wamegawana na watoa kazi, iwe ni waziri au hata TANROADS.
Haiwezekani kampuni kupewa kazi na hela inayo na kazi isianze.
Tulio kwenye fani ni kwamba hela imeliwa na watoabkazi na mkandarasi hana hela ya kazi.

Kama Waziri yuko serious awatangulize TAKUKURU wafanye kazi yao na hapo upupu wote utabumbuluka.
Nchimbi keshawaambia: acheni ku-deal na list ya mambo madogo madogo, pigeni kwenye mzizi, katiba. Tukiwa na katiba ya wananchi, usanii kama huu utakuwa vigumu kufanya, na hata ukifanyika hatua zitachukuliwa.
 
View attachment 3641746

Huu ni usanii ambao hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuukubali.
Mchina(Heinan) kapewa tenda ujenzi wa barabara huko mkoani.
Kapewa na Advance Payment ya 10% ili aanza kazi.
Tunachojua wachimvi ni kwamba hiyo 10% wamegawana na watoa kazi, iwe ni waziri au hata TANROADS.
Haiwezekani kampuni kupewa kazi na hela inayo na kazi isianze.
Tulio kwenye fani ni kwamba hela imeliwa na watoabkazi na mkandarasi hana hela ya kazi.

Kama Waziri yuko serious awatangulize TAKUKURU wafanye kazi yao na hapo upupu wote utabumbuluka.
TAKUKURU which?
 
Ndizo zimeenda kumtunuku mama dangote kwenye sherehe za kuzaliwa kwake, hawa jamaa ni wezi tu eti mke wake anampa mama dangote 16M kwa biashara gani kama hiyo anatoa mke wake je jamaa na ukwasi wa kiasi gani ?hapa majuzi alikuwa lofa tu.
 
Back
Top Bottom