Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawaza tu lakini. Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?
9 Reactions
134 Replies
2K Views
Hivi kumbe inawezekana watu wakawa ni mapacha lakini wasifanane. Hii nimeona leo, mmoja yupo South America, mwingine yupo Africa. Huyu wa America juzi hapa katoa kibali kwa Wafaransa wanyonye...
2 Reactions
2 Replies
85 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la Pongezi kwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda, ni multi talented, Sio tuu ni profesa wa sayansi, mhadhiri wa chuo kikuu, mbunge, waziri na mwanasiasa, Prof...
8 Reactions
28 Replies
436 Views
Rais Samia Suluhu amekutana na Papa Francis mjini Vatican. Angalia picha hapa, VIDEO: TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA Picha - Mwananchi Written by Mjanja M1 ✍️
15 Reactions
95 Replies
10K Views
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗥𝗢𝗠𝗔, 𝗜𝗧𝗔𝗟𝗜𝗔 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
2 Reactions
18 Replies
389 Views
Majaji wanadanganya watoe hukumu ya kumuonea Lissu na kuhukumu anyogwe kwa kuwaambia pamoja na kwamba hana hatia Raisi atampa msamaha. Swali ni lini huyu Raisi fake amekuwa mkweli. Majaji ndiyo...
15 Reactions
32 Replies
745 Views
  • Redirect
Mimi nitamkumbuka kwa mauaji ya raia wake.
0 Reactions
– Replies
– Views
Jaji Augustin Ramadhani akiongea na Mwandishi wa habari juu ya kesi Fulani,aliwahi kusema hivyo. Alisema kua kesi zote duniani hua zinasikilizwa mara mbili,ndani ya MAHAKAMA na nje ya MAHAKAMA...
8 Reactions
9 Replies
213 Views
Jezi ya Barcelona imeandikwa Samia 10 badala ya Serengeti, Ngorongoro nk. CCM wametepeta. Hajali Nchi tena. Halafu tunaionea wivu vist Rwanda
10 Reactions
39 Replies
1K Views
Hawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo. Kupitia Kingai wametoa kauli kuwa hawako tayari kumtetea Mh. Lissu. Sasa najiuliza kwani waliitwa pale...
16 Reactions
59 Replies
842 Views
Hamjambo! Unapozungumzia Ukristo basi jua unazungumzia nchi za ulaya Magharibi. Siasa za ulaya magharibu zinamchango mkubwa katika kuenea kwa ukristo katika nchi nyingi za Bara la Afrika...
5 Reactions
19 Replies
330 Views
Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji...
7 Reactions
113 Replies
3K Views
Wanabodi Kwa Maslahi ya Taifa kwenye gazeti la Nipashe la leo. Kufuatia kuibuka kwa kada mpya ya ajira ya uchawa, ambayo nasikia inalipa sana, kila mtu akisifia tuu uongozi au kiongozi anaitwa...
18 Reactions
154 Replies
11K Views
Je, hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala...
6 Reactions
65 Replies
750 Views
Akizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na...
3 Reactions
15 Replies
308 Views
Natamani Waziri Dorothy Gwajima aje kuwa Rais baadae. Dudubaya amesema hayo wakati wa mahojiano na ST Bongo, ambapo amemsifia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
7 Reactions
27 Replies
425 Views
DCO wa katavi yule muhaya kanyooka sana. Watu kama hawa ni hazina kwa Taifa. Ni vile mfumo mbovu unawameza hata watu wazuri. Leo bwana DCO umenikosha sana
3 Reactions
54 Replies
849 Views
Wana-JamiiForums, Kama wewe ni mfuatiliaji wa vyombo vya habari nchini Tanzania, hususan vipindi vya asubuhi, bila shaka utakuwa umekutana na kipindi cha 'Jana na Leo' kinachorushwa na Wasafi...
7 Reactions
13 Replies
295 Views
Back
Top Bottom