Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 259
- 353
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Mamlaka ya Maji katika jiji la Arusha litatumia Sh. Bilioni 12 kutekeleza mradi wa maji ambao utafanya jiji hilo la kitalii kupata maji wa 100%
Kwa sasa usambazaji wa maji katika jiji la Arusha ni 75% na baada ya uwekezaji huu wa Bilioni 12 basi hadi ifikapo 2023 Jiji la Arusha litakuwa na maji 100%.
Kwa sasa usambazaji wa maji katika jiji la Arusha ni 75% na baada ya uwekezaji huu wa Bilioni 12 basi hadi ifikapo 2023 Jiji la Arusha litakuwa na maji 100%.