Makala Ya Kasungura Ni Bomba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makala Ya Kasungura Ni Bomba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtu Mzima, Oct 12, 2007.

 1. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2007
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Bi sent 50 una haki kutoa maoni yako,lakini pia nafikiri kwa mtazamo wangu ama umeielewa vibaya makala ile ya Kasungura au umepotoka hasa kwa kumtuhumu moja kwa moja mwandishi kuwa anatumiwa.Mimi niliisoma makala ile,ujumbe aliokuwa anataka kuufikisha kwa jamii umejikita zaidi kutokana na kauli mbalimbali alizotoa waziri kigogo mwenyewe.
  Binafsi nampongeza mwandishi wa makala ile namuomba asikatishwe tamaa bali aendelee kutoa mchango wake katika vita hii ya ukombozi wa fikra.Mimi naamini kuwa MUHIMU ZAIDI NI NCHI YETU TANZANIA NA WANANCHI WAKE SIO KIONGOZI KAMA MTU BINAFSI.Kiongozi yupo leo kesho hayupo lakini Tanzania na Watanzania wataendelea kuwepo.
  Kama kiongozi analeta usanii lazima apewe ukweli na sio kujikomba huku moyoni unasononeka.

  BIG UP wana JF wote wanaotetea uhuru wa maoni
   
 2. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2007
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Big up Mtu Mzima...

  hiyo makala ya kasungura imewagusa big time na wanajaribu kufanya mashambulizi yasijewakuta yale ya ndege inayopaa..

  kazi wanayo mbona!
   
 3. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  JF imegeuka kijiwe cha umbea !
   
 4. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2007
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  kama ni umbea wewe unafanya nini hapa...

  anzisha web yako uiite kijiwekisichochaumbeakamajfilivyo.com or something like that...

  kila mara unaipondea JF na yet bado wewe ni memba wake!
   
 5. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  bandu bandu !
   
 6. M

  Mnyalu Member

  #6
  Oct 13, 2007
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big up..Mwana wakijiji ...Hao ndio viongozi wana maneno mengi mpaka wanasahau jana walisema nini...ni bora kuwa na mmoja mpenda sifa mwingine mchapa kazi...lakini wakiwa wote watu wa longo longo ni balaa..Nahisi hata hotuba zao wanaandikiwa tu ama uelewa wao ni finyu..hivi kweli leo waweza sema uchumi wapaa kama ndege.....siku chache baadae ukaanza kutuambia mambo ya visungura?
   
Loading...