Huwezi amini.lakini ndo ukweli kuwa kuna wakati Chadema walikuwa wanamwona Nape Nnauye ni Shujaa wao. Ni jasiri wao. Huwa naumia sana ninapokumbuka kipindi hicho. Nilikuwa nawaza yaani Chadema...
Tanzania na Oman zimeahidi kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano katika sekta za
uwekezaji, elimu, uvuvi na utamaduni,
Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
Kwanza pole kwa kazi mh Rais wetu na Asante kwa Hotuba yako ya kutuhamasisha ili tujiandae kuhesabiwa, mh Rais napenda kukuambia kuwa watanzania huku mitaani wamehamasika vizuri na wameelewa...
Kuna umuhimu mkubwa kupata takwimu za kisiasa zitakazosaidia kuweka utaratibu na muundo bora wa utekelezaji wa demokrasia. Takwimu muhimu za kisiasa zinazohitajika;
1.Idadi ya wananchi ambao ni...
Nasubiri kuhesabiwa huku nikitazama yanayojiri duniani kupitia BBC
Kiukweli hali ni tete wakati sisi tunalia na Tozo wenzetu wazungu wa UK wanalia na Inflation kwa sasa wanakula mlo mmoja kwa...
Huu ni utabiri anaye taka abishe anaye kubali akubali.
Yapo mambo mawili makubwa yatatokea kwenye kipindi cha miaka 50 kutoka sasa.
Jambo la kwanza ambalo tutaliona ktk kipindi cha miaka 50...
Huyu bwana Dkt. Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia...
Akiongea kwa lugha ya kwetu KiNyiramba bila hata ya aibu Mhe. Mwigulu Nchemba huku akimshika mdada wa watu kamtangaza kuwa huyo mdada aanze kufikiriwa fikiriwa na Wanajimbo katika nafasi. Pamoja...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kujitokeza kuhesabiwa na kutoa ushirikiano wa kutosha kwa zoezi la Sensa linalotarajiwa kufanyika tarehe 23...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema, "CCM haijawahi kuhofia kuondoka madarakani kwa sababu ya marekebisho ya katiba tunaamini jambo hilo haliwezi kutokea...
SASA ZIMEBAKI ASILIMIA 33 TU KUKAMILISHA BWAWA LA KUFUA UMEME LA NYERERE
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema ujenzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere umefikia asilimia 67 na...
Kazi ya mbunge siyo kupongeza na kusifia watendaji na watawala.
Kazi ya mbunge ni kushauri, kuhoji na kusimamia shughuli za kimaendeleo kwa manufaa ya wananchi.
Huyu mbunge wetu Sanga tangu...
MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais...
CCM YAMUAGIZA WAZIRI WA KILIMO KUMUONDOA MRAJISI VYAMA VYA USHIRIKA TABORA
Ni kutokana na kudaiwa kuwa chanzo cha kukwamisha usajili wa Vyama vya msingi kwa wakulima wa tumbaku
Shaka apigilia...
Wakuu mambo si mambo. Kila goti sasa litapigwa. Na kila neno lilokuwa halijasemwa sasa litasemwa.
Ilani ya Chama cha mapinzduzi kama zilivyo ilani za vyama vingine vya kisiasa ndio hutoa picha...
Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu.
Nilikuta halmashauri zina hali mbaya sana kwenye usimamizi...
Kwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo.
Mpaka mda huu hakuna chama chochote ambacho kimeita media kwa ajili kukemea unyanganyi huu unaofanywa na mama...
Tanzania ndiyo nchi pekee au moja kati ya nchi chache Duniani ambazo hazikwenda lockdown ya corona, wakati wengine wamejifungia chumi zao zikidumaa sisi tulipiga kazi kama Kiongozi wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.