Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Moja kwa moja kwenye mada.. Waziri wa Fedha Comrede Mwigulu Nchemba sisi wazalendo tunaokaa Vijijini tunaona matokeo Chanya ya tozo ambazo ulizianzisha.. Naona kumezuka kundi la watu wa Mjini...
5 Reactions
160 Replies
6K Views
Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. Ni siku ya Sensa na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea. Ieleweke kuwa...
1 Reactions
5 Replies
981 Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha TLP, Augustino Mrema amefariki duninia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam alikokuwa anapatiwa matibabu. Mrema (77) aliyewahi kuwa Waziri...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hizi ni tweets zake kuhusiana na tozo zinazolalamkiwa:
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/-...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika nchi yetu kuanzia juzi vilio vya makato ya miamala ya Kibenk vimetikisa nchi yetu. Kwa bahati mbaya kabisa wenye mamlaka wamekuwa wakitoa majibu ya kejeri na kiburi ndani yake. Hawasikii...
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT Watanzania ni watu wa kulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli. Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI...
0 Reactions
8 Replies
727 Views
Uki-review hotuba za Rais Samia utagundua ni mtu asiyetaka kabisa mapapa waguswe Nchi hii wakwepa kodi wakubwa ni hawa wanaojiita mabilonea, wapo tayari waue ili wasilipe kodi Wanasiasa wengi...
1 Reactions
1 Replies
373 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungana wa Tanzania, Kwanza napenda kumshukuru mwenyeezi Mungu ambaye ni mwingi wa Rehema(kiimani itifaki imezingatiwa). Pia napenda binafsi kumshuru Mungu kwa...
11 Reactions
58 Replies
3K Views
Mwaka 2014 serikali ilitengeneza sheria ya kodi excise duty ambayo mabenki yanatakiwa kulipa 10% ya charges wanazokusanya kwa wateja wake katika kutoa huduma ikiwemo uwekaji na utoaji fedha na...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Huu utaratibu wa kukusanya Mapato ya Serikali kupitia Tamisemi unatokana na Sera za Majimbo mfumo utakaotumiwa na CHADEMA siku ikishinda Kwa kuwa CCM haifuati Sera ya majmbo ni vema Mapato yote...
2 Reactions
1 Replies
539 Views
Nilichojifunza hapa Tanzania, ukidhamiria kufanya jambo fulani, ukalipa jitihada za kutosha na fedha , lazima jambo hilo lifanikiwe. Kwenye moja ya sehemu ambayo kwa macho yangu nimeshuhudia...
23 Reactions
59 Replies
3K Views
Kwa kawaida hakuna mtu anayejua Kila kitu ndiyo maana pakawepo na matabaka ya viongozi mfano mawaziri ni tabaka la juu la viongozi. Hoja yangu ipo hapa nani? Alimshauri Rais wa jamhuri ya...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni gumu sana kulielezea au kulifahamu. Kila mtu ana tafsiri yake juu ya maendeleo. Japan imeendelea. Japan ina uwezo mkubwa wa kutengeneza magari na wananchi wake wana kiwango cha juu cha hali ya...
1 Reactions
2 Replies
477 Views
Ulipe kodi kwenye kila bidhaa unayonunua- hiyo SAWA Ukatwe Kodi (PAYE) toka kwenye mshahara - Hiyo SAWA Hiyo hiyo pesa uliyonilipa mshahara na kodi yako umesha nikata, unaniwekea benki, nikienda...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Kimsingi karibia mambo yote yaliyoazimiwa na waziri wa Fedha kwenye bunge la bajeti yametekelezwa kasoro hili la Viongozi kuuziwa magari wanayotumia ili kubana matumizi Zoezi hili litaanza lini...
1 Reactions
5 Replies
557 Views
Kiukweli wizara ya kilimo haina strategy yeyote inayoweza kukomboa kilimo chetu. Watu wengi unasikia kila mahali wakimsifu waziri bashe, ila ukiwauliza mnamsifu kwa lipi hasa alilolifanya? Hawana...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Watendaji wa taasisi za umma na binafsi ambao wanatekeleza ajenda ya kuipeleka nchi katika uchumi wa kidijiti, wametakiwa kushirikiana na kutekeleza jukumu hilo kwa weledi na ubora wa viwango vya...
0 Reactions
0 Replies
460 Views
Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah. Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Unaweza usiamini ila ndo pesa za sisi walipa kodi zinapotea huku hapo bado kufanyiwa service, mafuta na takataka zingine. Piga hesabu ndani ya miaka 10 pesa ngapi inapotea? Kwa dizaini hii...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Back
Top Bottom