Utekelezaji Ilani ya CCM umegeuka chanzo cha Umaskini, njaa na mateso Tanzania

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,011
Wakuu mambo si mambo. Kila goti sasa litapigwa. Na kila neno lilokuwa halijasemwa sasa litasemwa.

Ilani ya Chama cha mapinzduzi kama zilivyo ilani za vyama vingine vya kisiasa ndio hutoa picha halisi ya namna Nchi itakavyopiga hatua kimaendeleo na ktk nyanja zingine za maisha.

Huwezi kupanda maharage ukatarajia kuvuna Maepo.

Nchi sasa ni dhahiri shahiri iko ktk hali mbaya ya kiuchumi. Kwa hili hawatasema ukweli wala usiangalie data za kwenye maandishi. Hali ni mbaya kila kona.
Tofauti ya sasa na ile ya awamu ya tano ni kuwa angalau tunapewa nafasi ya kulalamika.Awamu ya tano ukisikika ukisema vyuma vimekaza basi jiandae kulala segerea. Leo wale wakamatishaji wa vyuma kukaza na wao wanalialia eti Tozo.

Ukweli ni kuwa Ilani ya Ccm ni mbovu na nyote mmkekuwa mashahidi sasa. Si mwanaccm wala asiyena chama tunakubali kwa pamoja kuwa ccm na ilani yake imeleta matokeo mabovu tena ya hovyo.

Sasa milo sio miwili tena inaenda kuwa mmoja au kukosa kabisa.

Ilani ya Ccm imeshindwa kwenye

1. Siasa za maendeleo
2. Kilimo....njaa kila kona
3. Umeme na nishati.
4. Afya na ustawi wa jamii.
5. Miundombinu na mazingira
6. Haki na uwajibikaji.
7. Rushwa na ufisadi
8.Teknolojia na mawasiliano
9. Mali asili na hifadhi ya jamii

10. Elimu na ujuzi

Chanzo cha yoote ni

a) kuhendekeza siasa za chuki badala ya kujikita kwenye siasa za haki na kuleta maendeleo.

b) kuwekeza nguvu nyingi kuua vyama vya siasa badala ya kumaliza umaskini

C) Kuwekeza sheria nyingi za kudhibiti watoa taarifa za ufisadi na wizi badala ya kupambana na wezi

d) Kupenda sifa binafsi badala ya sif za kitaifa

e) Kuteua viongozi wasio na uwezo kwa maslahi ya kikundi cha watu wachache mfano bunge limejaa waliopita bila kupingwa wasio na uwezo wa kuisimamia serikali.

f) matumizi mabaya ya .........!.( sote tumeelewa)

g) Kukosa mahakama huru ambapo tunaweza kuwawajibisha viongozi wasiofaa

h) kukosa tume huru ya uchaguzi, hivyo viongozi hawana hofu yoyote na wala hawaoni umuhimu wa kuwajibika ipasavyo( wako confort zone, hata tulie vipi hawana habari)

i)Kukosa Katiba Bora katiba mpya.

Eti nasikia kuna watu wa chama fulani wao wamepewa Kuponi za Hati Punguzo, eti kila wanapoenda kununua bidhaa wanapewa bei nafuu wakionesha kadi zao za Chama.

Karibuni Tuendelee kutoa machozihata tufanye nini hawatasikia, na uchaguzi mkuu 2025 wako Happy kabisa hakuna wa kuwababaisha na watarudi kama safu yao ilivyo.

Kama unaona vyuma vimekaza- weka girisi.
 
Kumlaum Mwigulu ni kumwonea. Mwigulu sio aliywjichagua na kujipa uwaziri.

Wala mwigulu siye anayekusanya kodi
 
Tulaum viuongozi wanaochepusha pesa z maendeleo kwenda kwenye matumizi yao ya anasa badala ya umma.
 
Kilio kila kona
 
Hili ni la kujadiliwana kila mtamzania. Ccm imeleta umasjkini for over 60 yrs
 
Salvation is coming......nakuambia mkuu angola, Sierra Leon,liberia na central mambo yalianza kama hivi ila ipo cku tutakiwasha
 
Mkuu ilo itokee mpaka wasalitiane. Lakini hawa wa kampuni hii ni wajanja sana. Wanakula pamoja kwa mgao sawa.
 
Yaaani mkuu nakuambia ipo cku maana wasomi wa elimu ya mkoloni ni wengi cku tukichoka bac bendera haitakua kijani bali rangi za upinde wa mvua
 
🤣🤣🤣ngoja tusubiri tuone. Ndio rangi gani hizo za upinde wa mvua
 
Hiki chama kina viongozi wa roho na sio wakiroho ile patriot ya kupigania nchi ila kwao ni sifa kusomesha watoto wao nchi za magharibi kwa kutumia kodi za walalahoi....too much sadness
Ni kweli wanatumia vibaya sana fursa tuliyowapa ya kutuongoza
 
Back
Top Bottom