Je, umewahi kujiuliza Tanzania itakuwa wapi kisiasa na kiuchumi miaka 50 ijayo?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,184
11,201
Huu ni utabiri anaye taka abishe anaye kubali akubali.

Yapo mambo mawili makubwa yatatokea kwenye kipindi cha miaka 50 kutoka sasa.

Jambo la kwanza ambalo tutaliona ktk kipindi cha miaka 50 kutoka sasa litategemea na utashi wa kisiasa chini ya serikali ya ccm.

Ikiwa ccm atakuwa na ndoto kuendelea kuwa chama kina tawala either kwa box la uchaguzi au kwa mabavu na kuona hakuna chama kitaweza tawala ila ccm basi kwa aina ya utaratibu wanatumia ndani ya chama kuchaguwa viongozi na kutengeneza watoto wao kutawala uko mbeleni hali itakuwa ndivyo sivyo.

Siasa zitatufanya kuto songa mbele na juyafikia mataifa jirani na upo uwezekano siasa zetu zikawa zina ongozwa na mabepari wa chache toka nchi jirani jambo litafanya taifa hili kuwa vipande au blocks.

Maana wenzetu hawalali wanawaza kutugawa ccm waliamini kwa wao
 
Huu ni utabiri anaye taka abishe anaye kubali akubali.

Yapo mambo mawili makubwa yatatokea kwenye kipindi cha miaka 50 kutoka sasa
Jamaa unapenda ligi sasa utakuwepo? Unazungumzia ya 50yrs to come mbona unairuka 2025?
 
Back
Top Bottom