NILICHOKIPENDA BAADAA YA KUKISIKIA KENYA KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2022.
Ukweli na uwazi pamoja na matumizi ya teknolojia (mtandao)
Duniani kote hakuna siasa safi inayoizidi hile ya ukweli na uwazi...
Naomba kwa wenye fikra yakinifu zisizoegemea upande wowote, wanisaidie kujibu hili swali.
Maoni yawe ni baada ya kuhesabiwa na sio wakati zoezi likiendelea
Nawasalimu kwa salamu ya jamuhuri yetu.
Vile kichwa cha habari kinavyojieleza, pamekuwa na matukio mbalimbali ya upotoshaji dhidi ya jamii ya kimasai na watu yake.
Tangu serikali ya awamu ya...
Serikali ikitaka isitumie resources nyingi katika kuhamasisha watu washiriki zoezi la sensa, njia rahisi ilikuwa ni kuchomekea swali: mtu anaehssabiwa aseme kama yeye ni Yanga au Simba.
Japo hilo...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, leo akiwasilisha Bajeti ya serikali ya 2022/2023 Bungeni, amependekeza kuongezwa chanzo kipya cha Mapato, ambacho ni VING'AMUZI VYA...
Marehemu hasemwi ila ni vizuri tujue ili tulio hai tujifunze
Alianza kazi mwaka 1966 kwenyeile idara akizuga ni mwalimu.
Mwaka 1987 akawa mbunge,1990 mbunge tena.
Akawa waziri wa mambo ya ndani...
Mh Mwigulu ni kweli wewe ni msomi wa hali ya juu na hilo halina ubishi. Kutoka Ilboru hadi UDSM sio jambo la masikhara. Wewe ni mwanasiasa msomi. Pia ni mwanasiasa mwenye haiba ya uongozi na...
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.
Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses.
Siyo siri kuwa hii nchi ni ngumu sana. Uwekezaji uliopo dhidi ya haki na usawa ni mkubwa sana.
Kwa makusudi demokrasia na uhuru wa watu vimeminywa vilivyo ili kufanikisha hayo.
Hali hii...
Zitto ahesabiwa ampa tano Rais Samia.
Zitto Kabwe kamaliza kuhesabiwa adai ana furaha kubwa Sana baada ya kupokea ujumbe wa simu kutoka kwa rais Samia ambapo naye aliuforward kwa M/ Kiti Mbowe...
Viongozi wa Chama cha Sauti Ya Umma (SAU), leo asubuhi wamefika katika ofisi za makao makuu ya chama cha TLP kusaini kitabu cha maombolezo na kuwapa pole wana TLP kwa kuondokewa na Mwenyekiti wa...
Dar es Salaam. Mfanyabiashara maarufu nchini, Ally Mufuruki amekosoa wanasiasa wanaomtumia Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kupiga siasa pamoja na kulaumu vyombo vya fedha vya kimataifa vya...
Kupitia Pascal Mayalla wa.Jf tumeshuhudia TBC wakituonyesha Viongozi Wakuu Wote wakihesabiwa kuanzia Rais Samia na Wasaidizi wake Wote
Ila sijabahatika kumuona Kiongozi mkuu wa Upinzani Tanzania...
MBUNGE anapata hela nyingi kumzidi Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa Shirika la Umma, Balozi wa Tanzania huko nchi za nje, Mkurugenzi wa Halmashauri/Manispaa/Mji, Waziri Mkuu Mstaafu...
Chaguzi za miaka inayoishia na 5 zimekuwa za kusisimua Sana kuliko miaka inayoishia na 0
Hii yote ni kwa sababu ya mbegu ya Upinzani aliyopanda mzee Mrema mwaka ule wa 1995
RIP Mkapa, Maguful...
Kwanza niishukuru Serikali Kwa kusikia kilio cha watu wa Kigamboni angalau kwa kuwaletea vivuko vya kuwasaidia wakati huu ambao kuna changamoto ya usafiri. Pia niwashukuru Azam Kwa kukubali...
Ni vyema kutambua kuwa suala la sensa ya watu na makazi halifanyiki kwa manufaa na maslahi ya chama, dini wala kabila bali linafanyika kuisaidia serikali kupanga mipango yenye tija kwa kila...
Hizi Tozo zimeongeza ugumu wa maisha. Imekua kero juu ya maisha magumu ya utafutaji.
Ingekuwa inchi zinazojielewa kama zambia, malawi, kenya nk CCM ingechomolewa madarakani comes 2025 election...
Selous hifadhi ya pori tengefu au pori la akiba kwasasa ndilo pori linalotegemewa sana na TAWA.
Kama kawaida ya binadamu hakosi alternative pale anapozidiwa njaa au shida.
Vijana wanaingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.