Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nianze Kwa kutoa pole kwa changamoto za kuishi! Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na taarifa kuhusu kupanda Kwa Bei za mafuta na gesi duniani, huku Urusi, Moja ya wazalishaji wakubwa wa mafuta...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
By Simon Mkina Every time governments turn off the internet, they use one of these five arguments to grease -up the real intention; it is a matter of national security; elections must be...
3 Reactions
0 Replies
956 Views
Wanabodi Kwanza naomba nami nianze kwa kuishangilia na kuipongeza hii bajeti kwa sababu tuu watu walipiga makofi, kushangilia na kupongeza, as when you are in Rome, do as the Romans does...
38 Reactions
89 Replies
13K Views
Ni siku nyingi mambo ambayo Wazazi wenye Watoto wao wanaosoma katika shule ya SEKONDARI Mnyambe Wilayani Newala wamekuwa wakisikitishwa nayo na si Wazazi pekee bali jamii kwa ujumla haielewi...
1 Reactions
4 Replies
716 Views
Waziri Makamba amesema wakati fulani alihudhuria mechi pale Uwanja wa Mkapa akaambiwa watatumia VAR lakini imeunganishwa kwenye Jenereta Waziri anasema aliumia sana na mara moja akaongea na...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Licha ya mapungufu machache, mfano karani na mwenyekiti wanazunguka bila hata reflector na kofia utadhani ni bibi na bwana wanatafuta shamba hapa Kijijini lakini hii Ni sensa super Sana. 1...
0 Reactions
5 Replies
734 Views
Baada ya kutoka Kenya,JK Yuko kama Muangalizi wa jopo la watu mashuhuri kwenye uchaguzi wa Angola. Kwa hiyo nyie haters wake tambueni kwamba Mungu ndie hupanga maisha ya watu.. Na Rais Samia...
7 Reactions
61 Replies
4K Views
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Habari na Utamaduni ya Shirikisho nchini humo imesema serikali inataka kulinda vipaji vya ndani na kukuza uchumi. Kwa mujibu wa Wizara ya Habari, kuanzia sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tatizo hii nchi wameshindwa kukunya kodi vizuri za TRA sababu kuu biashara karibu kubwa zote zinamikono ya viongozi wa hii nchi. Ukiomba risit utapigwa maneno kuwa machne mbovu na mizgo...
0 Reactions
3 Replies
814 Views
Leo nimejikuta nawaza! Nini hasa ambacho kipo nyuma ya pazia kati ya Hayati Magufuli na Jenerali Ulimwengu? Msingi wa swali langu unatokana na maneno ya Jenerali Ulimwengu kwa Hayati Magufuli...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh. Fatma amewaonya vibaka na wale wote watakaojaribu kuwasumbua au kuwapora vishikwambi makarani wa sensa. Mh. Fatma amesema, mtu atakayepora kishikwambi atachukuliwa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kumbuka Better sio Kwamba kilichofanyika ni kibaya bali hata kama ni kizuri, Je kingeweza kuboreshwa? Binafsi sina tatizo hata kama sensa ingechukua mwezi mzima au mwaka, let alone siku 7...
1 Reactions
0 Replies
446 Views
Bila shaka kila Mtanzania wa leo anaguswa na machungu mbalimbali yanayotokana na ULEGEVU wa Viongozi wetu waliopo sasa. Mbaya zaidi, Wabunge waliotakiwa kutusemea na kututetea sisi Wapigaji kura...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi, ametangaza kuwa serikali itasamehe mikopo 23 iliyokomaa na isiyo na riba kutoka nchi 17 za Afrika zenye uchumi unaoibukia. Hatua hiyo haihusishi idadi kubwa ya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Tarehe 23 Agosti ni siku rasmi ya kuanza zoezi la kuhesabu idadi ya Watu waliopo ndani ya mipaka ya nchi yetu. Zoezi hili limeandaliwa kwa umakini mkubwa tena kwa muda mrefu hivyo kutoa nafasi ya...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Hali ya unyanyasaji wa Watoto Nchini imetajwa kuchangiwa na mmomonyoko wa maadili katika jamii, wengine wakisingizia hali ngumu ya kiuchumi inawafanya kutokuwa na muda wa kulinda na kutoa malezi...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Hivi ndugu zangu hivi huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar upoje huu mimi ua sielewi chochote kuhusu huu Muungano. Mimi naishi katika nchi ambayo ina Muungano wa nchi mbali mbali. Sitokwenda...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hakuna asiyejua umuhimu wa sensa kwa maendeleo ya Taifa letu. Serikali imetenga fedha nyingi sana kwa ajili ya sensa kutokana na umuhimu wake katika nchi yetu Lkn kuna watu wanaikwamisha serikali...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Natamani kuona kila mtu akihesabiwa kwa maendeleo sawa ya nchi yetu. Ila bado nailaumu Serikali na NBS kwa kulifanya lionekane swala la Kisiasa. Wameshindwa kutumia Teknolojia...
1 Reactions
3 Replies
753 Views
Watu wako frustrated majumbani. Hawakupewa elimu jinsi mambo yatakavyokwenda. Mtaani kwetu hadi alasiri leo hakuna karani hata mmoja kapita, lakini nikiingia Twitter na Instagram naona makarani...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom