Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni huko wilaya ya Butiama kwa Baba wa taifa hili Mwl J. K. Nyerere. Kwa jinsi ambavyo viongozi wetu wasivyopenda kukosolewa, si ajabu karani huyu wa sensa anafukuzwa kazi kwa kuposti picha hii na...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanabodi, Sensa kweli imekuwa sensa. Makarani wametapakaa nchi nzima katika zoezi la kuhesabu watu wanao kadiriwa kuwa kati ya milioni hamsini mpaka milioni sitini. Katika haya yote ni muhimu...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Haya ndiyo maneno ya dharau yaliyosemwa na mtangazaji kwenye media ya Kenya!
21 Reactions
156 Replies
13K Views
Wanabodi, Siasa ni ubunifu, siasa ni kujiandaa kwa mbinu zozote ulizo nazo kuwa na utandawazi nchi nzima katika pilika za kuwateka akili wananchi, kushinda uchaguzi na kuhakikisha kwamba maoni...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
HAI YA KILIMO NA VIWANDA ALIYOTUAHIDI SAASHISHA MAFUWE IMEANZA KUONEKANA AU NI SIASA ZA MSIMU? Anaandika Saitabao OleKina, Mkazi wa Kijiji cha Mtakuja Mwaka 2020 ulikuwa ni mwaka wa kashikashi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ya akina Halina Mdee na wenzake kuapishiwa wapi sijui ni cha mtoto. Yule Chebukati anadai alifuatwa na wakuu wa "vyombo" ili abadilishe matokeo lakini alikataa na akamtangaza mshindi halali...
3 Reactions
1 Replies
635 Views
Katiba mpya yaja na hili sio jambo geni wala la kubahatisha tena. Tumetoka mbali na tumepitia mengi mabaya na mazuri ya kushangaza na ya kuleta matumaini pia. MOJA LILILO WAZI ni kwamba KATIBA...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
Natafakari tu baada ya kuwaangalia kwa makini hawa akina mama wa Chadema Halina Mdee na wenzake pale mahakamani jana Hawa akina mama ni kana kwamba hawajui kinachoendelea kadhalika hawajui hata...
1 Reactions
2 Replies
621 Views
Leo ile kesi ya waliofukuzwa chadema ya Halima na wenzake ilikuwa inaendelea. Mawakili wa chadema waliiomba mahakama iwaite kina Halima na wenzake ili wahojiwe na mahakama ilikubali na kuwaita na...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Aliyewahi hojiwa kuhusu tozo afanye kama anajikuna hivi atoe uthibitisho. Mimi nasikia tu wananchi tuko tayar kulipa tozo ila sijawahi kuona nikihojiwa kuhusu tozo hizi ili nitoe maoni yangu...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Msingi wa kodi, tozo au ushuru ni mapato. Kutokana na mapato uliyoyaingiza, sehemu ya hayo mapato, wewe uliyeingiza unastahili kutoa sehemu ya hayo mapato kama kodi, ushuru, tozo au jina jingine...
33 Reactions
157 Replies
8K Views
Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho. Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Pongezi nyingi zikufikie popote ulipo CAG zanzibar,unaipenda kazi yako,umefanya kazi yako kwa weledi. Umewasilisha ripoti ambayo kama Rais Mwinyi ataamua kwa dhati kuifanyia kazi tunategemea...
1 Reactions
4 Replies
506 Views
Mwezi March nilienda nchini Somalia kikazi chini ya Shirika la Umoja wa Mataifa liitwalo Internation Organization for Migration. Ili kufupisha maada. Nilichokishuhudia huko nchini Somalia...
33 Reactions
116 Replies
9K Views
Rais Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 27, 2022 amefanya uteuzi kwa kumteua Peter Ilomo kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF). Llomo ni Katibu Mkuu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu Kuna wakati ili tuendele tunahitaji ujasiri wa kusimama, lakini si kwa kutoa majibu mepesi, bali majibu ya maswali magumu yakiwa majawabu huru. Tutoe majibu huru yasiyokuwa na harufu ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mwenye masikio mazima ambaye hajayasikia manung'uniko ya wananchi? Au basi hata yupo mwenye kutokujua ni nini kinachohitajika kufanywa hadi sasa? Si tulidhani labda wanasikia nusu nusu...
1 Reactions
4 Replies
712 Views
Habari ndugu wadau. Mimi nimehesabiwa jana.Lakini nilichokiona kwa karani na taarifa tulizompatia haikuchukua ata dakika 5 na tulikuwa kaya ya watu 9. Sasa nikajiuliza hii ndo kazi watu...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Peter Kibatala, Wakili anayemtetea Jonas Afumwisye, aliyekuwa Ofisa wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) amesema, mtumishi huyo aliyefukuzwa kazi, amekamatwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar...
10 Reactions
32 Replies
4K Views
Take home msg ni hii: 1. Job Ndugai asilaumiwe 2. Tulia Ackson asilaumiwe 3. Alaumiwe anayewalipa mshahara, ambaye ni Rais. Msikilize, jibu hoja zake kwa hoja, achana na character assassination...
12 Reactions
44 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…