Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salamu wakuu. Ikumbukwe Rais ameshateua maRC, maRAS nchi nzima...Safu imekaa sawa sana. Kazi zinakimbia sana. Wakati anawaapisha Mhe. Rais alisema tutegemee mkeka wa maDC wakati wowote kuanzia...
1 Reactions
12 Replies
989 Views
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema wizara yake iko mbioni kupeleka bungeni mswada wa bima ya afya kwa wote. Mh. Ummy amesema wananchi wasiogope kwa sababu hatafungwa pingu wala kutozwa faini...
1 Reactions
0 Replies
726 Views
Wigo Wa Kodi Uongezwe Kuelekea Wapi? Kwa miaka mingi tumekua tukiilalamikia serikali iongeze wigo wa kodi na isiangalie vyanzo vile vile vilivyo zoeleka kama vinywaji baridi, pombe, sigara na...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Tulihoji na kuulizana hapa mwamba yuko wapi mbona kimya kingi? Leo mwamba ametesti mitambo! Balaa tupu hadi Vigogo wa twitani wameibuka na kupiga mayowe. Ama kweli siasa ni sayansi!
16 Reactions
32 Replies
3K Views
Mheshimiwa Waziri Simbachawene ameyasema hayo Leo wakati akijibu maswali yanayohusiana na malalamiko ya tozo akiwa sambamba na Waziri wa Fedha Mheshimiwa Mwigulu Nchemba Simbachawene amesema watu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Umekumbushwa tu kuwa huu ni mwaka wa tatu tangu uchaguliwe na fedha za mfuko wa jimbo unazila na hujui hatima ya waliokutuma Bungeni. Ukumbuke 2025 sio mbali na CHADEMA tunakuangalia tu.
1 Reactions
6 Replies
837 Views
Ili liko wako wazi wala situmii nguvu sana kudadavua. Nyumba nyingi kwenye miji na majiji hazina umeme wala maji hata kama huduma iyo imefika eneo hilo na ukiongea na mtu mmoja mmoja izo huduma...
0 Reactions
1 Replies
537 Views
Tarehe 5 ndiyo siku ya Ruling. Nakumbuka uchaguiz wa 2017 hukumu ilikuwa na page kama 500 hivi. sasa kuanzia kesho wata deliberate submissions za pande zote na kuandika hukumu ? Ku analyse...
0 Reactions
1 Replies
691 Views
Wanabodi, Serikali inatumia jitihada kubwa sana kujenga vituo vya afya na kuhakikisha kwamba huduma hizi zinawafikia wananchi katika sehemu tofauti tofauti. Nakubali kwamba kuna umuhimu wa kuwa...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Utaratibu ni kwamba ukiwa mbunge na umepiga kura kuunga mkono muswada wowote unatakiwa kuwa wa kwanza kuutetea. Lakini kama umepiga kura kupinga unatakiwa kutoa sababu za msingi za kupinga Sasa...
0 Reactions
3 Replies
517 Views
Nilikuwa nimeangalia data za Tanzania na kugundua tozo ni lazima, miradi ni ya lazima na umeme ni wa lazima. Tanzania tuna 70% ya vijana chini ya miaka 24, elimu ni bure kwa wanao chaguliwa, na...
4 Reactions
14 Replies
961 Views
Yote yalianzia jana Mbowe alipoongea kwenye eneo lisilojulikana lakini kilichonistaajabisha ni kwamba yule aliyeleta habari za Mbowe ndiyo yule yule ambaye huleta habari za Rais Samia na serikali...
1 Reactions
13 Replies
832 Views
Nimemsikia waziri Bashungwa akiwaambia waandishi wa habari kwamba ruzuku kwenye mafuta itaendelea kutupa unafuu wa maisha Hilo ni jambo jema
0 Reactions
6 Replies
597 Views
Waziri wa Tamisemi amesema Tatizo siyo kulipa Tozo bali ni zile shida walizonazo Wananchi wanaoishi pembezoni Tozo imekuwa mkombozi wa kupunguza gap ya kipato kati ya walionacho na wasionacho
1 Reactions
18 Replies
798 Views
Msemaji wa mambo ya afya wa ACT wazalendo mh Mndeme ameitaka Serikali iunganishe Mifuko ya Jamii yote na NHIF ili kumpa mwananchi uhakika wa Huduma tofauti na ilivyo sasa ambapo NHIF inasuasua...
0 Reactions
12 Replies
624 Views
Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Mehmet Gulluoglu amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kwa kuimarisha ulinzi katika mpaka wake wa...
0 Reactions
1 Replies
633 Views
Kweli shibe ni kitu kizuri sana ila kikizidi inakuwa ni ulevi. Ebu msikikizeni hapo akiwakoga wananchi wasiyo nacho.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais wangu Samia rudi kwenye misingi uliyoianzisha wewe na rafiki yako Magufuli, huyu ndiye rafiki yako mkubwa kuliko wote ulionao. Kubali kukosana na wachache kwa manufaa ya wengi
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ngoja tuone kama ni nguvu ya soda Ila kiukweli mimi siyo Chadema ola Mwamba anatisha Microphone test One Two tunatest mitambo!
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema kuwa mojawapo ya sababu zilizofanya wawakilishi wa nchi ( wabunge) waamue kukubali kupitishwa kwa tozo ni uwepo wa miradi mikubwa ya kimkakati...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom