Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 8,847
- 15,252
Mbali na tamko la waziri la waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe kutoa bei elekezi ya mbolea kuwa ifikapo tarehe 15/08/22 maduka yote nchini yanayouza pembejeo za kilimo yawe yameshusha bei ya mbolea na kuuza kwa bei elekezi ya serikali ili kumpatia nafuu mkulima.
Lakini hadi sasa. Wafanyabiashara wamegoma kushusha bei kwa kuuza kwa bei elekezi waliyopangiwa na serikali kama ifuatavyo:
Mbolea ya Urea kg ni sh 60,000
NPK kg 50 ni sh 70,000
CAN kg 50 ni sh m60, 000
Lakini hadi sasa mbolea hizo zimekuwa zikiuzwa kati ya sh 145,000 na kuendelea.
Baadhi ya wakulima ambao wameenda maduka ya kilimo kwa ajili ya. Kujipatia mbolea kwa ya ruzuku iliyopangwa na serikali na kukuta bado bei ya mwanzo ndio ipo madukani wamelalamikia kitendo hicho cha wafanyabiashara kuivimbia serikali na kufanya wanavyotapanya wao.